Kuna kitu kinaitwa "purchasing power", kama mwananchi ana uwezo wa kuwa na Pesa za kutosha za kununua bidhaa,hali hii itaifanya biashara ziende vizuri, itaifanya serikali kukusanya kodi nzuri.,
Kama Serikali itaweza kuzishawishi kampuni za nje kuja kuwekeza ndani ya nchi, hali hii itaifanya nchi iingize Pesa za kigeni, itaifanya wananchi wapate ajira, itaifanya wananchi wawe na Uwezo wa kununua "purchasing power", itaifanya serikali ikusanye kodi nzuri
Bila stability ya kisiasa hayo yote sio rahisi kufanyika, wageni hawatokuja kuwekeza, wananchi hawatapandishwa mishahara, serikali itakosa kodi....