Safi kabisa. Na ndio maana nilileta pointing sake kama zilivyo. Sasa kuna watu wameona tu kuwekwa JPM na kusema right track, basi wakaanza kujibu tu na kusema kuongeza mishahara hukuza uchumi.Dambisa Moyo ana Phd ya uchumi, ungemsoma kwanza Dambisa kabla ya kumjibu mleta uzi, ili uweze kumjibu Dambisa mwenyewe
Safi kabisa. Na ndio maana nilileta pointing sake kama zilivyo. Sasa kuna watu wameona tu kuwekwa JPM na kusema right track, basi wakaanza kujibu tu na kusema kuongeza mishahara hukuza uchumi.
Hata namna yako tu ya kuongea inaonesha aidha una utoto mwingi au upumbavu. Nini maana ya kudouble mara 1000?Ukiwanyang'anya mashamba watu 60,000 na ukayatumia kuzalisha miwa ufungue kiwanda cha sukari, ni kweli utakuwa umefanikiwa kuzalisha sukari kwa wingi, lakini at the same time utakuwa umeua PURCHASING POWER ya zaidi ya watu 40,000 : kiwanda cha sukari kikiua lazma utahitaji miwa zaidi: na miwa zaidi itatoka wap? lazma watu waanze kulima mashamba , ukitengeneza sukari zaidi, utauza mpaka nje zaidi apo umedouble purchasing power mara 1000: na cha zaidi umeongeza foreign currency, na hatimae umechangia ada kwa mtu anaetaka kwenda kusoma nje ya nchi akarudi na ujuzi akakuza sector ingine: wangebaki na hayo mashamba unategemea nn?
Hata namna yako tu ya kuongea inaonesha aidha una utoto mwingi au upumbavu. Nini maana ya kudouble mara 1000?
Unapaswa kujua mipango yeyote ya kiuchumi huzingatia pia Jiografia na siasa ya nchi kwa kuwa namna ya mahusiano ya nchi kikanda na kimataifa pia huamua kiwango gani cha biashara utafanya na watu wengine nje na ndani ya nchi yako. Kuuza nje ni neno tu, vitendo ni muafaka wa pande mbili. Umeshajiuliza ikiwa sisi tukiwekwa kwenye mizani, ni wachuuzi au ni walaji?
Kwa maelezo kama haya, ukiachilia mbali aina ya jinsi ulivyowakilisha hoja yako na kuita wengine wapumbavu, ni wazi kabisa Tanzania tuna wachumi walioiva.Umeelewa vibaya. Uchumi Ni Mambo yafuatayo.
C= individual consumption
I= Both foreign and domestic investments.
G= Government spending both recurent and progressive
(X-M) = Net exports
Vyote happy juu jpm anaviharibu na hivyo haukui unadiminis at high decreasing rate.
Mfano ukiincrase mishara ya wafanyakazi unakuza (C) na ukiruhusu mikutano ya wanasiasa unakuza (I) Mana investors wanawekeza kwenye sehemu zenye demokrasia ili serikali ikiwanyanyasa wanapitia kwa wapinzani kutetea maslahi yao bungeni, Sasa hivi bunge limewekwa mfukoni hivyo hakuna mwekezaji mwehu atakayewekeza ambapo serikali onaongozwa kwa matamko tu, it's too risky to investors.
Mwisho kabisa soma uelewa usidownload material na kujustify upumbavu wako.
wewe ndio una uchumui wa kukariri darasani.Umeelewa vibaya. Uchumi Ni Mambo yafuatayo.
C= individual consumption
I= Both foreign and domestic investments.
G= Government spending both recurent and progressive
(X-M) = Net exports
Vyote happy juu jpm anaviharibu na hivyo haukui unadiminis at high decreasing rate.
Mfano ukiincrase mishara ya wafanyakazi unakuza (C) na ukiruhusu mikutano ya wanasiasa unakuza (I) Mana investors wanawekeza kwenye sehemu zenye demokrasia ili serikali ikiwanyanyasa wanapitia kwa wapinzani kutetea maslahi yao bungeni, Sasa hivi bunge limewekwa mfukoni hivyo hakuna mwekezaji mwehu atakayewekeza ambapo serikali onaongozwa kwa matamko tu, it's too risky to investors.
Mwisho kabisa soma uelewa usidownload material na kujustify upumbavu wako.
Huko kwenye Nationalist politics ndiyo wapi?Je, ndiko nchi yetu inakoelekea?Mataifa yote ndicho wafanyacho?Hiyo ndiyo Sera yetu?Ipo katika ilani?Na ni kawaida kwa sababu mahitaji ya nchi kwa muongo uliopita ni tofauti na mahitaji ya sasa. Hata diplomasia ya kimataifa pia hubadilika. Globalization inaelekea kufa, tunakuja kwenye nationalists politics na resources nationalism. Sasa utafanyeje hayo bila kupigia debe kujitegemea? Utajitegemeaje bila kuelekeza fedha nyingi kwenye miradi ya maendeleo?
Kuna kitu kinaitwa "purchasing power", kama mwananchi ana uwezo wa kuwa na Pesa za kutosha za kununua bidhaa,hali hii itaifanya biashara ziende vizuri, itaifanya serikali kukusanya kodi nzuri.,Yaani mishahara ya wafanyakazi na mikutano ya kisiasa ndio hukuza uchumi? Mimi sikuambii mpumbavu kama ulivyoniambia, lakini jaribu kurejea maoni au kauchambuzi kako.
Mishahara ya wafanyakazi ni; na inatakiwa kuwa ni matokeo ya kukuzwa kwa uchumi kupitia production na appropriate investiment.
Nationalist Politics, ni Socialism.. Mfumo ambao umefeli Dunia nzima..Huko kwenye Nationalist politics ndiyo wapi?Je, ndiko nchi yetu inakoelekea?Mataifa yote ndicho wafanyacho?Hiyo ndiyo Sera yetu?Ipo katika ilani?
Purchasing power is a secondary factor. What to purchase with your power to purchase? Investment and production are primary which then create jobs(labour). When there are jobs(labour), then you can talk about increasing salaries to provide purchasing power. No investments, no production no jobs no salaries. Tukiendelea na investment zile zile wakati population inakua na kusababisha pressure to services kama umeme, maji, roads, schools and hospitals, tutakuwa kizazi cha ajabu mno.Kuna kitu kinaitwa "purchasing power", kama mwananchi ana uwezo wa kuwa na Pesa za kutosha za kununua bidhaa,hali hii itaifanya biashara ziende vizuri, itaifanya serikali kukusanya kodi nzuri.,
Kama Serikali itaweza kuzishawishi kampuni za nje kuja kuwekeza ndani ya nchi, hali hii itaifanya nchi iingize Pesa za kigeni, itaifanya wananchi wapate ajira, itaifanya wananchi wawe na Uwezo wa kununua "purchasing power", itaifanya serikali ikusanye kodi nzuri
Bila stability ya kisiasa hayo yote sio rahisi kufanyika, wageni hawatokuja kuwekeza, wananchi hawatapandishwa mishahara, serikali itakosa kodi....
Nationalists politics zipo sana Ulaya na Marekani kuliko Africa kwa sasa. Hufuatilii mgogoro wa uhamiaji na wahamiaji katika nchi za Ulaya? Je, unajua kwanini US wanajenga ukuta mpaka wa Mexico? Je, unajua kwanini kuna vita ya kibiashra kati ya Marekani na China? Kama unafahamu hizo, basi ndio nationalistis politics.Nationalist Politics, ni Socialism.. Mfumo ambao umefeli Dunia nzima..
Socialism inawezekana katika nchi Tajiri sio nchi Masikini kama TZ..
How can somebody investing in a country where there is no political stabilities, how can people motivated when there is no increasing of salaries..Purchasing power is a secondary factor. What to purchase with your power to purchase? Investment and production are primary which then create jobs(labour). When there are jobs(labour), then you can talk about increasing salaries to provide purchasing power. No investments, no production no jobs no salaries. Tukiendelea na investment zile zile wakati population inakua na kusababisha pressure to services kama umeme, maji, roads, schools and hospitals, tutakuwa kizazi cha ajabu mno.
Don't we have political stability? Any violence in this country? Any rebels in any region? Any strikes and demonstrations? We are very stable politically.H
How can somebody investing in a country where there is no political stabilities, how can people motivated when there is no increasing of salaries..
On my behalf, I think Purchasing power is the key factor if any country decided to boost its economy.
Do you know why there is Welfare system in western countries, hii system ya Welfare imetengenezwa kwa Makusudi ya kukuza na kudhibiti mizunguko wa Pesa katika nchi husika ili mambo mengi yafanye kazi invyotakikana
Wafungwa wa kisiasa,wapinzani nje ndani kila siku,Maisha magumu, raia hawana furaha, etc, etcDon't we have political stability? Any violence in this country? Any rebels in any region? Any strikes and demonstrations? We are very stable politically.