Point tatu muhimu zinazowatofautisha watu wa kanda ya ziwa Na watu wa kaskazini katika utafutaji wa pesa

Aah kumbe!Kagera ndio noma hata akiwa msaga mashine anajiita injinia.
 
Wachagga sio uniform na uchaga sio kabila ni desturi fulani kwa kundi hilo, mwandishi hajakutana na wachagga jeuri, dharau na kiburi
Mchaga akiwa mpole sana kwako,ujuwe huyo anakulia taming uingie kwa 18 zake akupige mazima! Kitaalamu tunasema wachaga ni wazuri wa kukujengea trust, na ukisha muaamini tu hiyo imekula kwako! Hata matapeli wengi wa viwanja na majumba kina Mzee Mushi walianza kuwa wapole kwa wazaramo kabla ya kuwadhulumu viwanja vyao!!
 
Sisi watu wa Kanda ya ziwa ni watu poa tu,
Sisi tunaishi kindugu wala hatuna roho mbaya
Sio kweli, mnajificha kwenye kivuli cha ukarimu, Ila nyinyi ni watu wabaya sana......upendo wa mtu wa kanda ya ziwa atakuonyesha kama huna kitu yaani ndio bado unajitafuta, Ila anza kuwa Na mafanikio au mwanga katika maisha hapo ndio utamjua vizuri mtu wa kanda ya ziwa, kule usukumani ndanindani ukienda kuishi Na ukawa ni mtu wa kutupia pamba Kali Na Hali ya kuwa hawafahamu kazi unayoifanya jiandae kuitwa majina yote mfano taperi Na mengineyo Na hii ni tofauti Na watu wa kaskazini wewe piga pamba uwezavyo tena Na hapo ndio utajiongezea marafiki zaidi
 
Kama ulikuwepo , jamaa alianza nikimkopesha 50k anarudisha kama mara 4 hivi ...Baadae akaja kukopa laki ndio kibati halafu mnafikia ananipanga kabisa kesho nakupa halafu kimya .

Mwaka sasa umepita hajanilipa na pesa anapata .
 
100%

Siku nikisitisha uanachama wangu TEAM KATAA NDOA, nikamuaga kabisa mwenyekiti wetu dronedrake lazima nioe usukumani.

Wasukuma kwa % kubwa ni watu poa sana wajamaa wale sijapata kuona. Hata chakula wao hupika cha 'walipo, na watakaokuja', hawapimi vyakula kama sie wengine.
 
Aah kumbe!Kagera ndio noma hata akiwa msaga mashine anajiita injinia.
Mama yangu Mimi mwizugukuru mgikuru ni muhaya kuna wakati Huwa ana Dharau hata kile kidogo ninachompa , utasikia anasema " tu sofa gani hutu twa hovyohovyo tu sofa twenyewe tuwili" 🤣🤣 Na Hali ya kuwa nimemkuta hata kiti cha plastic hana, anakaa chini kwenye sakafu hata mkeka hana.......
 
Upo sahihi sana! Wasukuma wengi wana wivu na husda sana aisee
 
Kupiga pamba?mambo ya kitoto hayo
 
Huwajui wachagga wewe.

Mchagga Kama unamzidi kitu, ayakunyekea kwa kila Hali, hata awe mzee atakusalimia shikamoo.

Ila ni magwiji wa unafiki, kukuteta kichagga, kukuwinda, kukuchomea ni dakika sifuri na hawapendi kabisa kujulikana kabisa wamekuchomea.

Uchaggani unaweza kuchomwa hata ile mibisu ya kuchinjia nguruwe na hakuna mtu atatoa ushirikiano popote, hata upelelezi uchaggani ni mgumu mnooo.

Wachagga 98% wanafanikiwa kwa deal haram ila wewe chasaka (mtu wa porini) ukifanya watakuuza asubuhi tu, utakamatwa halafu watafurahia vibaya sana.

Mchagga muda wote anatamani asikie limekukuta Jambo baya na zito ndio furaha yake.


Uchaggani siyo sehemu ya kuishi.
 
Sijawahi kulifikiria hili lakini umesema ukweli.
 
Wahaya ni high spenders but low savers

Wasukuma high spenders high savers

Wachaga ni low spender high savers

Wachaga wataendelea kukimbiza maana wana sifa Kama za wazungu za kutumia kidogo na kuweka kikubwa Kama Akiba na kuwekeza.

Financial discipline
Hard workers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…