Point tatu muhimu zinazowatofautisha watu wa kanda ya ziwa Na watu wa kaskazini katika utafutaji wa pesa

Nimeishi kanda ya kaskazini miaka minne nilikuwa ninaishi Moshi mjini lakini nafanya kazi mkoa wa Arusha...Na hizi ndio point tatu muhimu Na moto wa gesi zinazowatofautisha watu wa kaskazini na watu wa kanda ya ziwa katika utafutaji wa pesa.

( 1)Ujuaji yaani kujifanya kujua Kila kitu, watu wa kaskazini hasa hata awe Na PhD nane kama bado hajajipata kimaisha au kiuchumi Huwa wana uwezo wa kujifanya mafara ili tu aweze kupata kitu flani, Na hii ni tofauti kwa ndugu zangu wa kanda ya ziwa akiwa hata Na diploma tu utamjua tu (Kiswanglish) kingi Na Huwa hawakubali kujishusha au kutafuta ujuzi zaidi wa mtaani kwa mtu aliemzidi kimaisha.

(2)Dharau, watu wa kanda ya kaskazini ni ngumu kukuonyesha moja kwa moja Dharau hata kama amekuzidi Kila kitu, mara nyingi wao Huwa wanatabia ya kumfanyia mtu wema au kumpa heshima mtu kama akiba ya baadae kwani hutambua muda wowote Alie chini kiuchumi anaweza kutoboa kimaisha Na yeye ikawa ndio point yake muhimu ya kupata zaidi au kutoboa zaidi kimaisha nadhani kwa wale ambao mmeishi uchagani mnaweza kutoa ushahidi juu ya hili.

(3)Ubinafsi, Kila mtanzania ni mbinafsi japo tunazidiana ubinafsi watu wa kaskazini anaweza kuwa mbinafsi lakini anabakiza point kidogo au nafasi kidogo akiamini muda wowote unaweza kuwa msaada kwake pale akipata shida kubwa au akikwama.hii ni tofauti kwa watu wa kanda ya ziwa akiamua kuwa mbinafsi ni moja kwa moja habakishi hata nafasi kidogo.

Mwizugukuru mgikuru Mimi mama yangu ni muhaya wa kamachumu Kagera Na baba yangu ni mchaga wa machame, Kilimanjaro kwa sadara..
Aah kumbe!Kagera ndio noma hata akiwa msaga mashine anajiita injinia.
 
Wachagga sio uniform na uchaga sio kabila ni desturi fulani kwa kundi hilo, mwandishi hajakutana na wachagga jeuri, dharau na kiburi
Mchaga akiwa mpole sana kwako,ujuwe huyo anakulia taming uingie kwa 18 zake akupige mazima! Kitaalamu tunasema wachaga ni wazuri wa kukujengea trust, na ukisha muaamini tu hiyo imekula kwako! Hata matapeli wengi wa viwanja na majumba kina Mzee Mushi walianza kuwa wapole kwa wazaramo kabla ya kuwadhulumu viwanja vyao!!
 
Sisi watu wa Kanda ya ziwa ni watu poa tu,
Sisi tunaishi kindugu wala hatuna roho mbaya
Sio kweli, mnajificha kwenye kivuli cha ukarimu, Ila nyinyi ni watu wabaya sana......upendo wa mtu wa kanda ya ziwa atakuonyesha kama huna kitu yaani ndio bado unajitafuta, Ila anza kuwa Na mafanikio au mwanga katika maisha hapo ndio utamjua vizuri mtu wa kanda ya ziwa, kule usukumani ndanindani ukienda kuishi Na ukawa ni mtu wa kutupia p
DSC_0137.JPG
amba Kali Na Hali ya kuwa hawafahamu kazi unayoifanya jiandae kuitwa majina yote mfano taperi Na mengineyo Na hii ni tofauti Na watu wa kaskazini wewe piga pamba uwezavyo tena Na hapo ndio utajiongezea marafiki zaidi
 
Mchaga akiwa mpole sana kwako,ujuwe huyo anakulia taming uingie kwa 18 zake akupige mazima! Kitaalamu tunasema wachaga ni wazuri wa kukujengea trust, na ukisha muaamini tu hiyo imekula kwako! Hata matapeli wengi wa viwanja na majumba kina Mzee Mushi walianza kuwa wapole kwa wazaramo kabla ya kuwadhulumu viwanja vyao!!
Kama ulikuwepo , jamaa alianza nikimkopesha 50k anarudisha kama mara 4 hivi ...Baadae akaja kukopa laki ndio kibati halafu mnafikia ananipanga kabisa kesho nakupa halafu kimya .

Mwaka sasa umepita hajanilipa na pesa anapata .
 
We jamaa labda useme wahaya ndio wana majivuno kanda ya ziwa , wasukuma kwa mikoa ya bara ndio watu poa zaidi hakuna ...Msukumu hata umdharau fresh tu ...Watu wa kaskazini ni wajivuni sana na kupenda kuweka utambulisho wao mbele hata kama sehemu sio muhimu .

Narudi tena hakuna watu wa bara wanaweza kuwafikia wasukumu kwa ukarimu ndio maana hata matajiri wa kisukumu huko migodomi ni nadra kusikia anaitwa bilionea sasa nenda kaskazini , mtu anayenunuliwa watu bi anaitwa bilionea yaani jamaa wakiingia kweny ukumbi wanataka kujulikana kwamba wana pesa , uchawa haswa wka vijana wasiojitambua .

Nimesoma nao advance na chuo mpaka leo wale wasukuma ndio rafiki zangu tutazikana inshallah , hao kaskazini kujiona wanajua sana kuna dogo nimemtema nilitaka kumuunga kweny kazi kwa kiburi cha kishmba.
100%

Siku nikisitisha uanachama wangu TEAM KATAA NDOA, nikamuaga kabisa mwenyekiti wetu dronedrake lazima nioe usukumani.

Wasukuma kwa % kubwa ni watu poa sana wajamaa wale sijapata kuona. Hata chakula wao hupika cha 'walipo, na watakaokuja', hawapimi vyakula kama sie wengine.
 
Aah kumbe!Kagera ndio noma hata akiwa msaga mashine anajiita injinia.
Mama yangu Mimi mwizugukuru mgikuru ni muhaya kuna wakati Huwa ana Dharau hata kile kidogo ninachompa , utasikia anasema " tu sofa gani hutu twa hovyohovyo tu sofa twenyewe tuwili" 🤣🤣 Na Hali ya kuwa nimemkuta hata kiti cha plastic hana, anakaa chini kwenye sakafu hata mkeka hana.......
 
Sio kweli, mnajificha kwenye kivuli cha ukarimu, Ila nyinyi ni watu wabaya sana......upendo wa mtu wa kanda ya ziwa atakuonyesha kama huna kitu yaani ndio bado unajitafuta, Ila anza kuwa Na mafanikio au mwanga katika maisha hapo ndio utamjua vizuri mtu wa kanda ya ziwa, kule usukumani ndanindani ukienda kuishi Na ukawa ni mtu wa kutupia pView attachment 3072391amba Kali Na Hali ya kuwa hawafahamu kazi unayoifanya jiandae kuitwa majina yote mfano taperi Na mengineyo Na hii ni tofauti Na watu wa kaskazini wewe piga pamba uwezavyo tena Na hapo ndio utajiongezea marafiki zaidi
Upo sahihi sana! Wasukuma wengi wana wivu na husda sana aisee
 
Sio kweli, mnajificha kwenye kivuli cha ukarimu, Ila nyinyi ni watu wabaya sana......upendo wa mtu wa kanda ya ziwa atakuonyesha kama huna kitu yaani ndio bado unajitafuta, Ila anza kuwa Na mafanikio au mwanga katika maisha hapo ndio utamjua vizuri mtu wa kanda ya ziwa, kule usukumani ndanindani ukienda kuishi Na ukawa ni mtu wa kutupia pView attachment 3072391amba Kali Na Hali ya kuwa hawafahamu kazi unayoifanya jiandae kuitwa majina yote mfano taperi Na mengineyo Na hii ni tofauti Na watu wa kaskazini wewe piga pamba uwezavyo tena Na hapo ndio utajiongezea marafiki zaidi
Kupiga pamba?mambo ya kitoto hayo
 
Nimeishi kanda ya kaskazini miaka minne nilikuwa ninaishi Moshi mjini lakini nafanya kazi mkoa wa Arusha...Na hizi ndio point tatu muhimu Na moto wa gesi zinazowatofautisha watu wa kaskazini na watu wa kanda ya ziwa katika utafutaji wa pesa.

( 1)Ujuaji yaani kujifanya kujua Kila kitu, watu wa kaskazini hasa hata awe Na PhD nane kama bado hajajipata kimaisha au kiuchumi Huwa wana uwezo wa kujifanya mafara ili tu aweze kupata kitu flani, Na hii ni tofauti kwa ndugu zangu wa kanda ya ziwa akiwa hata Na diploma tu utamjua tu (Kiswanglish) kingi Na Huwa hawakubali kujishusha au kutafuta ujuzi zaidi wa mtaani kwa mtu aliemzidi kimaisha.

(2)Dharau, watu wa kanda ya kaskazini ni ngumu kukuonyesha moja kwa moja Dharau hata kama amekuzidi Kila kitu, mara nyingi wao Huwa wanatabia ya kumfanyia mtu wema au kumpa heshima mtu kama akiba ya baadae kwani hutambua muda wowote Alie chini kiuchumi anaweza kutoboa kimaisha Na yeye ikawa ndio point yake muhimu ya kupata zaidi au kutoboa zaidi kimaisha nadhani kwa wale ambao mmeishi uchagani mnaweza kutoa ushahidi juu ya hili.

(3)Ubinafsi, Kila mtanzania ni mbinafsi japo tunazidiana ubinafsi watu wa kaskazini anaweza kuwa mbinafsi lakini anabakiza point kidogo au nafasi kidogo akiamini muda wowote unaweza kuwa msaada kwake pale akipata shida kubwa au akikwama.hii ni tofauti kwa watu wa kanda ya ziwa akiamua kuwa mbinafsi ni moja kwa moja habakishi hata nafasi kidogo.

Mwizugukuru mgikuru Mimi mama yangu ni muhaya wa kamachumu Kagera Na baba yangu ni mchaga wa machame, Kilimanjaro kwa sadara..
Huwajui wachagga wewe.

Mchagga Kama unamzidi kitu, ayakunyekea kwa kila Hali, hata awe mzee atakusalimia shikamoo.

Ila ni magwiji wa unafiki, kukuteta kichagga, kukuwinda, kukuchomea ni dakika sifuri na hawapendi kabisa kujulikana kabisa wamekuchomea.

Uchaggani unaweza kuchomwa hata ile mibisu ya kuchinjia nguruwe na hakuna mtu atatoa ushirikiano popote, hata upelelezi uchaggani ni mgumu mnooo.

Wachagga 98% wanafanikiwa kwa deal haram ila wewe chasaka (mtu wa porini) ukifanya watakuuza asubuhi tu, utakamatwa halafu watafurahia vibaya sana.

Mchagga muda wote anatamani asikie limekukuta Jambo baya na zito ndio furaha yake.

Uchaggani siyo sehemu ya kuishi.
 
Nimeishi kanda ya kaskazini miaka minne nilikuwa ninaishi Moshi mjini lakini nafanya kazi mkoa wa Arusha...Na hizi ndio point tatu muhimu Na moto wa gesi zinazowatofautisha watu wa kaskazini na watu wa kanda ya ziwa katika utafutaji wa pesa.

( 1)Ujuaji yaani kujifanya kujua Kila kitu, watu wa kaskazini hasa hata awe Na PhD nane kama bado hajajipata kimaisha au kiuchumi Huwa wana uwezo wa kujifanya mafara ili tu aweze kupata kitu flani, Na hii ni tofauti kwa ndugu zangu wa kanda ya ziwa akiwa hata Na diploma tu utamjua tu (Kiswanglish) kingi Na Huwa hawakubali kujishusha au kutafuta ujuzi zaidi wa mtaani kwa mtu aliemzidi kimaisha.

(2)Dharau, watu wa kanda ya kaskazini ni ngumu kukuonyesha moja kwa moja Dharau hata kama amekuzidi Kila kitu, mara nyingi wao Huwa wanatabia ya kumfanyia mtu wema au kumpa heshima mtu kama akiba ya baadae kwani hutambua muda wowote Alie chini kiuchumi anaweza kutoboa kimaisha Na yeye ikawa ndio point yake muhimu ya kupata zaidi au kutoboa zaidi kimaisha nadhani kwa wale ambao mmeishi uchagani mnaweza kutoa ushahidi juu ya hili.

(3)Ubinafsi, Kila mtanzania ni mbinafsi japo tunazidiana ubinafsi watu wa kaskazini anaweza kuwa mbinafsi lakini anabakiza point kidogo au nafasi kidogo akiamini muda wowote unaweza kuwa msaada kwake pale akipata shida kubwa au akikwama.hii ni tofauti kwa watu wa kanda ya ziwa akiamua kuwa mbinafsi ni moja kwa moja habakishi hata nafasi kidogo.

Mwizugukuru mgikuru Mimi mama yangu ni muhaya wa kamachumu Kagera Na baba yangu ni mchaga wa machame, Kilimanjaro kwa sadara..
Sijawahi kulifikiria hili lakini umesema ukweli.
 
Wahaya ni high spenders but low savers

Wasukuma high spenders high savers

Wachaga ni low spender high savers

Wachaga wataendelea kukimbiza maana wana sifa Kama za wazungu za kutumia kidogo na kuweka kikubwa Kama Akiba na kuwekeza.

Financial discipline
Hard workers
 
Back
Top Bottom