Point tatu muhimu zinazowatofautisha watu wa kanda ya ziwa Na watu wa kaskazini katika utafutaji wa pesa

Watu wanatofautiana sana, ni ngumu kusema kwa mifano kadhaa uliyotaja

Ubinafsi upo kwa wote, lakini kuna sehemu mojawapo ya hapo uliyoitaja

ukimkuta mtu mkarimu unashangaa sababu pesa imetangulizwa mbele katika kila kitu, mtu hata kukupa maji ya kunywa tu roho inamuuma anatamani kukuuzia wakati ni jambo la utu

Upande mwengine mtu kukusaidia haijalishi ukiwa mgeni utafurahi sababu wao hawaangalii nani bali ni utanzania wako unatosha,

Kanda mojawapo ya hiyo, mtu atataka kukujua wewe nani akigundua wewe una kitu atajipendekeza ila kama unajitafuta atakuwekea kauzibe na hata ukifanikiwa roho inamuuma kwanini ndugu zake hawafanikiwi ilhali wewe huvunji sheria na unajitafutia rizki


Ogopa sana watu ambao wapo tayari kufanya chochote hata kama ni kiovu ili tu wawe matajiri

Mnaosoma mnajua wakina nani
 
Huwajui wachaga wewe unasukumwa na chuki. Magu aliwachukia akaimbiwa parapanda.
 
Nimeanza kusoma comment za mwanzo hadi nikashangaa,kanda ya ziwa kuna wasukuma ambao ni wengi na ni watu poa sana,lakin mwandish alivyowaelezea huenda anazungumzia wahaya
 
Nipo nao huku kanda ya nyonyo najionea hiki ulichoandika
 
Tukiwaambia mchaga anauisraeli....huwa mnabishaaa
 
Hawana lolote ni wanafiki sana hao watu. Wangekuwa watu poa wasinge ua vikongwe na kuoneana wivu wa maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…