Point tatu muhimu zinazowatofautisha watu wa kanda ya ziwa Na watu wa kaskazini katika utafutaji wa pesa

Point tatu muhimu zinazowatofautisha watu wa kanda ya ziwa Na watu wa kaskazini katika utafutaji wa pesa

Duh umezaliwa katikati ya pande mbili za dunia, ila huo ni mchanganyiko mzuri mno nadhani utakuwa na akili za kutosha za mambo yote.
Sina ajira rasmi lakini kwa jinsi ninavyo dribble kwenye utafutaji wa maisha, mafanikio yangu hayalingani kabisa Na hustle zangu, jamii Huwa haiamini kile ninachokifanya naitwa majina yote, taperi, jambazi Na majina yote mabaya
 
kwa hiyo kanda ya kaskazini ina milikiwa na wachaga pekee? maana ndo umewatolea mifano?

nimeishi manyara arusha na moshi ulichoandika ni sifuri bin o

kanda ya ziwa hao uliowasema wanapenda kujikweza ni wahaya na baadhi ya wasukuma wanyatunzu.

lakin watu kama waajita, wakurya, na wasukuma wa mwanza na geita huwezi kuta hizo tambo kamwe.

wale utakuta wanatambiana kimasihala yaani utani hata yule asiye soma au asiye na hela hapa utamkuta anakutambia ni kawaida na ni sehemu ya maisha ya watu wa huku.

ili kuprove hili mpe kazi msukuma wa kinyantuzu hata kama ni kusukuma toroli uone atakavyo wapiga bao.

mabos wengi wa mwanza,kahama katoro ni wanyantuzu na hawajasoma na walianza kwa kuendesha baiskeli na za kubeba abiria maalafu kama dalala
 
Sina ajira rasmi lakini kwa jinsi ninavyo dribble kwenye utafutaji wa maisha, mafanikio yangu hayalingani kabisa Na hustle zangu, jamii Huwa haiamini kile ninachokifanya naitwa majina yote, taperi, jambazi Na majina yote mabaya
Kaza moyo.......
 
Mchaga katika utafutaji ni next level jamaa wanajinyima sana wakati wa kutafuta ila kinawaponza pombe ,hawa jamaa nadhani kama hunywi pombe wanakuona kama sio mchaga halisi
 
Punguza kebehi na majigambo mchagga. Mpaka watu wakuite tapeli kuna kuzagaa kizembe au operation zako aidha zinafanana hivyo au umefanya hivyo wakati fulani. Mfano unaweza kusahau kulipa buku buku zinazopungua katika manunuzi dukani, katika maduka kadhaa.

Watu lazima warukie conclusion.
 
Back
Top Bottom