Point tatu muhimu zinazowatofautisha watu wa kanda ya ziwa Na watu wa kaskazini katika utafutaji wa pesa

Point tatu muhimu zinazowatofautisha watu wa kanda ya ziwa Na watu wa kaskazini katika utafutaji wa pesa

Kwenye kuishi na watu hilo piga chini. Hakuna mchaga anaweza kuishi na watu vzr ammzidi mtu wa kanda ya ziwa hususan msukuma hana uchoyo.

La kujishusha kinafiki ili apate kitu kwako kama hajajipata piga Tiki kubwa ttatizo la watu wa kanda ya ziwa hawana Unafiki huu na hili huwaangusha kiutafutaji, wanakiwa wao halisi mno
 
Punguza kebehi na majigambo mchagga. Mpaka watu wakuite tapeli kuna kuzagaa kizembe au operation zako aidha zinafanana hivyo au umefanya hivyo wakati fulani. Mfano unaweza kusahau kulipa buku buku zinazopungua katika manunuzi dukani, katika maduka kadhaa.

Watu lazima warukie conclusion.
Tengua kauli yako...Mimi sio taperi
 
Nimeishi kanda ya kaskazini miaka minne nilikuwa ninaishi Moshi mjini lakini nafanya kazi mkoa wa Arusha...Na hizi ndio point tatu muhimu Na moto wa gesi zinazowatofautisha watu wa kaskazini na watu wa kanda ya ziwa katika utafutaji wa pesa.

( 1)Ujuaji yaani kujifanya kujua Kila kitu, watu wa kaskazini hasa hata awe Na PhD nane kama bado hajajipata kimaisha au kiuchumi Huwa wana uwezo wa kujifanya mafara ili tu aweze kupata kitu flani, Na hii ni tofauti kwa ndugu zangu wa kanda ya ziwa akiwa hata Na diploma tu utamjua tu (Kiswanglish) kingi Na Huwa hawakubali kujishusha au kutafuta ujuzi zaidi wa mtaani kwa mtu aliemzidi kimaisha.

(2)Dharau, watu wa kanda ya kaskazini ni ngumu kukuonyesha moja kwa moja Dharau hata kama amekuzidi Kila kitu, mara nyingi wao Huwa wanatabia ya kumfanyia mtu wema au kumpa heshima mtu kama akiba ya baadae kwani hutambua muda wowote Alie chini kiuchumi anaweza kutoboa kimaisha Na yeye ikawa ndio point yake muhimu ya kupata zaidi au kutoboa zaidi kimaisha nadhani kwa wale ambao mmeishi uchagani mnaweza kutoa ushahidi juu ya hili.

(3)Ubinafsi, Kila mtanzania ni mbinafsi japo tunazidiana ubinafsi watu wa kaskazini anaweza kuwa mbinafsi lakini anabakiza point kidogo au nafasi kidogo akiamini muda wowote unaweza kuwa msaada kwake pale akipata shida kubwa au akikwama.hii ni tofauti kwa watu wa kanda ya ziwa akiamua kuwa mbinafsi ni moja kwa moja habakishi hata nafasi kidogo.

Mwizugukuru mgikuru Mimi mama yangu ni muhaya wa kamachumu Kagera Na baba yangu ni mchaga wa machame, Kilimanjaro kwa sadara..
Umeongea ukweli kabisa, niliwahi kukutana na baadhi ya matajiri wa Machame kwa nyakati tofauti, nilijifunza mengi sana.

Hawa watu wanaheshimiana sana, mfano yule Clement wa Machame safari na Lim(Mr Uronu) na Mbowe n.k wanaheshimiana vibaya mno.
Hii kitu huwezi kuiona Kanda ya Ziwa, mtu mmoja anataka kuwa tajiri peke yake.

Nilikutana na Harsho, mara ya kwanza alikuwa mtu wa kawaida sana, hakujionyesha kabisa kuwa ana pesa nyingi, ila baadae kuja kunipeleka kwenye kiwanda chake nilishangaa sana.
Mwamba ana kiwanda kinachotoa ajira kwa watu 1000+.

Anyway hawa jamaa wataendelea sana.
 
Mimi ni mkanda ya ziwa umeandika ukweli kabisa. Tunamengi ya kujifunza kwa wenzetu. Jamaa wa kili wengi pia kwenye huo unyenyekevu huwa kuna kitu wanakuvizia ni pretended humbleness. Weziwezi na wadhurumati sana.
 
Mama yako ni mbinafs sana basi tu Baba yako anamoyo wa uvumilivu.

Ulichokisema juu ni kweli tupu watu wa Kanda ya ziwa jau sana hawapendi kuinuana (ubinafs) wanajeuri hata wakiwa na buku plus misifa.

Kimsingi Mimi mwenyewe ni Mkurya ila siku hizi nimeamua kua Mtanganyika tu, hii inakaaje?
 
Ukabila ni kitu cha hovyo kinachowatesa watanzania bila kujijua. Hili jukwaa limejaa ukanda na ukabila na kwa hili Kaskazini msahau kupata urais Nchi hii.
 
Kila leo kuwashambulia watu wa kanda ya ziwa na kutengeneza mazingira ya kujiona mko special sana, mmekuwa watu wa hovyo sana, acheni ukabila na ukanda
 
Wachagga sio uniform na uchaga sio kabila ni desturi fulani kwa kundi hilo, mwandishi hajakutana na wachagga jeuri, dharau na kiburi
Yupo sahihi kuwa timing ya maisha wanaijua sana, in short yuko sahihi kwa asilimia kubwa hao Wachaga unaowangumzia wewe ni rare cases.
My first marriage nilikuwa na Mchaga na nilijichanganya nao sana katika level ya ya kifamilia, I know them kwa sana tu yaani. Unyenyekevu na kuamini kuwa kila mtu anaweza kutoboa akaja kuwa na umuhimu kwa namna moja au nyingine hiyo wanayo sana.
I'm from lake zone.
 
Mchaga akiwa mpole sana kwako,ujuwe huyo anakulia taming uingie kwa 18 zake akupige mazima! Kitaalamu tunasema wachaga ni wazuri wa kukujengea trust, na ukisha muaamini tu hiyo imekula kwako! Hata matapeli wengi wa viwanja na majumba kina Mzee Mushi walianza kuwa wapole kwa wazaramo kabla ya kuwadhulumu viwanja vyao!!
Kwamba wazaramo walizulumiwa 😄😄 au ni uvivu wao wa kufikiri
 
Nimeishi kanda ya kaskazini miaka minne nilikuwa ninaishi Moshi mjini lakini nafanya kazi mkoa wa Arusha...Na hizi ndio point tatu muhimu Na moto wa gesi zinazowatofautisha watu wa kaskazini na watu wa kanda ya ziwa katika utafutaji wa pesa.

( 1)Ujuaji yaani kujifanya kujua Kila kitu, watu wa kaskazini hasa hata awe Na PhD nane kama bado hajajipata kimaisha au kiuchumi Huwa wana uwezo wa kujifanya mafara ili tu aweze kupata kitu flani, Na hii ni tofauti kwa ndugu zangu wa kanda ya ziwa akiwa hata Na diploma tu utamjua tu (Kiswanglish) kingi Na Huwa hawakubali kujishusha au kutafuta ujuzi zaidi wa mtaani kwa mtu aliemzidi kimaisha.

(2)Dharau, watu wa kanda ya kaskazini ni ngumu kukuonyesha moja kwa moja Dharau hata kama amekuzidi Kila kitu, mara nyingi wao Huwa wanatabia ya kumfanyia mtu wema au kumpa heshima mtu kama akiba ya baadae kwani hutambua muda wowote Alie chini kiuchumi anaweza kutoboa kimaisha Na yeye ikawa ndio point yake muhimu ya kupata zaidi au kutoboa zaidi kimaisha nadhani kwa wale ambao mmeishi uchagani mnaweza kutoa ushahidi juu ya hili.

(3)Ubinafsi, Kila mtanzania ni mbinafsi japo tunazidiana ubinafsi watu wa kaskazini anaweza kuwa mbinafsi lakini anabakiza point kidogo au nafasi kidogo akiamini muda wowote unaweza kuwa msaada kwake pale akipata shida kubwa au akikwama.hii ni tofauti kwa watu wa kanda ya ziwa akiamua kuwa mbinafsi ni moja kwa moja habakishi hata nafasi kidogo.

Mwizugukuru mgikuru Mimi mama yangu ni muhaya wa kamachumu Kagera Na baba yangu ni mchaga wa machame, Kilimanjaro kwa sadara..
Kwa hiyo wewe kanda yako ya ziwa ni Kwa Wahaya tu? Wacha hizo mwamba!
 
Umelenga wachaga vs wahaya. Mikoa ila mengine kanda ya ziwa hawana mambo ya Phd zaidi wahwya. Ubataka kusema wasukuma wana ubinafsi au una maanisha mkoa wa mara na Kagera. Halafu ukisema kaskazini hata mara wapo kaskazini . Au ungesema kas magh.
Watanzania wote ni wavumilivu kuishi nao labda ujifanye unajua kuliko wenyeji. Watu ambao namashaka nao ni wa mkoa wa mara. Watu wengi wameshindwa kuishi mara.
 
Rutashobya, Rwegasira, Rweyomamu, Rwegasira, Mama Koku, Rugemarila tokeni huko marekani njoo ni huku kuna mwehu anatutafuta. Pandeni ndege mtanikuta Bukoba international Airport.

Halafu Maxence Melo hili jukwaa uliache kwa wahaya tu wengine waanzishe yakwao.
Unafahamu kuwa forum ni mtindo uliopitwa na wakati. Hivi forum ni ngum kuanzisha kama social media zingine ? Hii si kama blog au website. Hivi ni mambo magumu kuanzisha ?
 
Mama yako ni mbinafs sana basi tu Baba yako anamoyo wa uvumilivu.

Ulichokisema juu ni kweli tupu watu wa Kanda ya ziwa jau sana hawapendi kuinuana (ubinafs) wanajeuri hata wakiwa na buku plus misifa.

Kimsingi Mimi mwenyewe ni Mkurya ila siku hizi nimeamua kua Mtanganyika tu, hii inakaaje?
Kwa nini wakulya hampendi kuishi na wakuja ? Utasikia watu wamebakwa, au mmedhuru watumishi. Kuna jamaa angu mpaka aliamua kupiga kazi chini kisa hujuma za wakulya.kumuibia, kuharibu mali zake nasikia hata mahindi huwa mnaenda kuyafyeka kisa tu kalima mtumishi. Sehemu nyingine hawahuj7mu watumishi japo wanaweza wasiwapende.
 
Mbona hujauliza kwanini Tarime (Mara kwa ujumla) ndo sehem pekee penye matajiri wazawa(wazawa wanatawala uchumi)

Jibu la hili swali ndo jibu la swali lako🤣
 
Back
Top Bottom