Point tatu muhimu zinazowatofautisha watu wa kanda ya ziwa Na watu wa kaskazini katika utafutaji wa pesa

Mama yako ni mbinafs sana basi tu Baba yako anamoyo wa uvumilivu.

Ulichokisema juu ni kweli tupu watu wa Kanda ya ziwa jau sana hawapendi kuinuana (ubinafs) wanajeuri hata wakiwa na buku plus misifa.

Kimsingi Mimi mwenyewe ni Mkurya ila siku hizi nimeamua kua Mtanganyika tu, hii inakaaje?
Ipi sasa inakaaje, ya ukurya kuwa mtanganyika au? Wewe ukiwa mtu wa asili ya kanda ya ziwa ni mbinafsi?
 
Mbona hujauliza kwanini Tarime (Mara kwa ujumla) ndo sehem pekee penye matajiri wazawa(wazawa wanatawala uchumi)

Jibu la hili swali ndo jibu la swali lako🤣
1. Ni wilaya iko pembezoni na mpakani na Kenya, haijapata interaction za watu wengi wa maeneo tofauti kwa sababu kadhaa kama vile kuchelewa kwa project za serikali kufikishwa. Hapo hapo naku challenge, Moshi vipi matajiri wanaotawala uchumi sio Wachaga, nao ni sehemu ya pembezoni na mpakani.

Mpaka hapo umeongea uongo kuita kuwa ni sehemu ya kipekee ambayo wazawa wanatawala uchumi, sehemu nyingine ni nyingi tu Mbeya,Iringa,Kigoma. Ukiondoa jiji kubwa Dar na Mwanza kidoogoo. The rest panafanana. Na ni jambo jema kwa wazawa kutawala uchumi.

Jifunze hii uone aibu yake, inasemekana watu wa asili ya Asia ni chini ya asilimia thelasini(30%) ya watanzania wote na wanamiliki asilimia sabini (70%) ya uchumi wote, unataka ikawe hivyo kote?
Tanzania Mo- muhindi, Bakhressa arab ,Fiddah hussein mwarabu,Rostam Aziz,Yogesh Manek, Shekhar Kanabar hao ni wakubwa mamilionaire, bado wadogo wadogo.

So ulitaka labda Wachaga wakamiliki asilimia sabini ya njia kuu za uchumi Tarime, wazawa wapambane na 30%, Moshi nako Wanyakyusa wakamiliki asilimia 80% ya uchumi wachaga wapambane na 20%?

Hii topic ni ya lawama tu za umasikini ambao adui anajulikana ila tumeamua kujifanya hatumuoni.
 
Toka hapo nenda nje ukatafute exposure bro.
Huwezi kuzaliwa hapo,usomee hapo then ukifa uzikwe hapo
Kweli mtu kama huyo aliki yake ina dumaa na anakua yupo nyuma sana kwenye mambo ya kijamii ndiyo mana mtu kama huyo ukienda mgeni kutafuta Maisha lazima akuchukie.
 
Ndio utajiri wenyewe 😁😁
Sasa mkuu mbona utajiri wao hawa ufaidi utakuta kija wakichaga anapata mafanikio ya kiuchumi baada ya miaka michache anafariki shida nini?
Yani vijana wakichaga wengi wao wanao kufa ni wale waliofanikiwa kiuchumi.
 
Tusidanganyane TABIA ni hulka ya mtu siyo KABILA.

TABIA=KABILA ni vitu viwili tofauti
Kila mtu ameumbwa Kwa namna yke
Usidhani kwasababu umekutana na mchaga mwema ukadhani wachaga wote ni wema NO. au ukutane na mpare mchoyo ukadhani wapare wote wachoyo No.

Shida ya Waafrica tuna penda kujumuisha vitu ambapo kiuhalisia haitakiwi hivo.

"KABILA HALIBEBI TABIA YA MTU"
Wanaita halo effect. Unatafsiri tabia ya mtu mmoja na Ku generalize kwamba jamii yote iko hivyo.
 
Mbona hujauliza kwanini Tarime (Mara kwa ujumla) ndo sehem pekee penye matajiri wazawa(wazawa wanatawala uchumi)

Jibu la hili swali ndo jibu la swali lako🤣
Mzawa anatawala kwa kumuibia mwingine hio ni kanuni ya wapi ? Ukafyeke mahindi ya mtu kisa wewe mzawa , kwani mashamba mengine hamna ? Ukamwagie mtu TV yake maji kisa wewe mzawa ? Hivi kila mzawa wa nchi hii akifanya hivyo patakalika ?
Kama huko mnatawala nini kinawasumbua kuhangaika kwenye mikoa ya makabila mengine.
Jibu lako liaonesha jinsi gani mlivyo primitive, Tabia hii inapelekea hata wenyewe kukatana mapanga.
Bado kesi za kubaka watumishi zimekuwa zikiripotiwa sana mkoa wa mara.
Wenzenu wanyakyusa huwa wanawaoa watumishi nyie mnawabaka, are you not crazy.
Wenzenu wazaramu wasinge karibisha wageni leo Dar ingekuwa jiji ?
Acheni tabia ya kiprimitive kama wanyama.
Unajua wanyama hawana reasoning ability.
Msipo badirika makabila mengine yatakuwa na mashaka na nyie na hamtafika popote kisiasa, kiuchumi na hata kijamii.
Muigeni babu yenu nyerere aliwapenda hata wahindi.
 
Nimeishi kanda ya kaskazini miaka minne nilikuwa ninaishi Moshi mjini lakini nafanya kazi mkoa wa Arusha...Na hizi ndio point tatu muhimu Na moto wa gesi zinazowatofautisha watu wa kaskazini na watu wa kanda ya ziwa katika utafutaji wa pesa.

( 1)Ujuaji yaani kujifanya kujua Kila kitu, watu wa kaskazini hasa hata awe Na PhD nane kama bado hajajipata kimaisha au kiuchumi Huwa wana uwezo wa kujifanya mafara ili tu aweze kupata kitu flani, Na hii ni tofauti kwa ndugu zangu wa kanda ya ziwa akiwa hata Na diploma tu utamjua tu (Kiswanglish) kingi Na Huwa hawakubali kujishusha au kutafuta ujuzi zaidi wa mtaani kwa mtu aliemzidi kimaisha.

(2)Dharau, watu wa kanda ya kaskazini ni ngumu kukuonyesha moja kwa moja Dharau hata kama amekuzidi Kila kitu, mara nyingi wao Huwa wanatabia ya kumfanyia mtu wema au kumpa heshima mtu kama akiba ya baadae kwani hutambua muda wowote Alie chini kiuchumi anaweza kutoboa kimaisha Na yeye ikawa ndio point yake muhimu ya kupata zaidi au kutoboa zaidi kimaisha nadhani kwa wale ambao mmeishi uchagani mnaweza kutoa ushahidi juu ya hili.

(3)Ubinafsi, Kila mtanzania ni mbinafsi japo tunazidiana ubinafsi watu wa kaskazini anaweza kuwa mbinafsi lakini anabakiza point kidogo au nafasi kidogo akiamini muda wowote unaweza kuwa msaada kwake pale akipata shida kubwa au akikwama.hii ni tofauti kwa watu wa kanda ya ziwa akiamua kuwa mbinafsi ni moja kwa moja habakishi hata nafasi kidogo.

Mwizugukuru mgikuru Mimi mama yangu ni muhaya wa kamachumu Kagera Na baba yangu ni mchaga wa machame, Kilimanjaro kwa sadara..
Kwa ufupi ni hivi
1.Wachaga ni.wanafiki
2 watu.wa.kanda ya ziwa ni.real.

Sijwahi kuona mchaga.mwena hata siku moja wote ni mafia. That is kupata aridhi.uchagani ni.ngimu kuliko sehemu yoyoye ya Tanzania..akaapo mchaga migogoro haiishi
 
Mzawa anatawala kwa kumuibia mwingine hio ni kanuni ya wapi ? Ukafyeke mahindi ya mtu kisa wewe mzawa , kwani mashamba mengine hamna ? Ukamwagie mtu TV yake maji kisa wewe mzawa ? Hivi kila mzawa wa nchi hii akifanya hivyo patakalika ?
Kama huko mnatawala nini kinawasumbua kuhangaika kwenye mikoa ya makabila mengine.
Jibu lako liaonesha jinsi gani mlivyo primitive, Tabia hii inapelekea hata wenyewe kukatana mapanga.
Bado kesi za kubaka watumishi zimekuwa zikiripotiwa sana mkoa wa mara.
Wenzenu wanyakyusa huwa wanawaoa watumishi nyie mnawabaka, are you not crazy.
Wenzenu wazaramu wasinge karibisha wageni leo Dar ingekuwa jiji ?
Acheni tabia ya kiprimitive kama wanyama.
Unajua wanyama hawana reasoning ability.
Msipo badirika makabila mengine yatakuwa na mashaka na nyie na hamtafika popote kisiasa, kiuchumi na hata kijamii.
Muigeni babu yenu nyerere aliwapenda hata wahindi.
Naona umebubujikwa sana na Machozi, povu jaba.
Pole, Msumali ni nchi 6. Huwez kaa kwenu.
Kule ukija kubali unyonge ukileta ujuaji utapakatwa kabla ya jogoo kuwika.
 
Primitive people. Yaani nyie na Hadzabe gape ni 1%. Nyie wenyewe mnakatana mapanga sembuse mgeni. Nyie mlitakiwa mjumuishwe kwenye mbuga za wanyama(serengeti) maana mnafana tabia, hamuwezi ishi na watu.
Mzee walioba na Nyerere walitakiwa wawaelimishe sana nyie watu lakini walishindwa. Kama JK alishindwa kuwabaditisha nyie basi mtabaki hivyo hivyo mpaka kiama. Ndio maana makabila mengine hayataki kuoana na nyie? Badirikeni, masai wenzenu washabadirika, wasukuma wamebadirika na sasa wamejaa maofisini wanafanya kazi za kitaalamu. Nimefanya kazi nyanda za juu kusini sijaona mtu wa mara, hii inaashiria nyie ni marginalized ktk mambo ya taaluma. Acha ujuaji badirikeni tupo dunia ya ushindani wa akili sio nguvu. Wasukuma na masai wameweka sime na marungu pembeni nyie bado mpo zama za 90's.
 
Umeongea ujinga mwingi katika aya nene nene, hii inaashiria unamaumivu ya kihisia uliyosababishiwa na wahuni hawa.
Nikupe tu pole sina muda wa kukuaminisha kwamba ufalme wa Mungu(raha za dunia) utatwaliwa na wenye nguvu.
Endelea kua mnyonge kama unaamini kutoboa kupitia kupakatwa.
 
Hamna nguvu yoyote. Kanda ya ziwa inatawaliwa na wasukuma wanafuatia wahaya. Kielimu wanatawala wahaya wanafuatoa wasukuma. Kiuchumi wanatawala wasukuma wanafuatia wahaya ipo hivo, kama una data zako sawa.Hizo nguvu una ziitumia kufanyia nini ?
Endelea kujifariji tu , but you are a looser. Mnatamkika kwa kuchanjana nyembe tu. Mnachanja wagen hsatoshi mnatiana nyembe hadi wenyewe. Kisaikolojia usipokuwa tayari kulikubali tatizo huwezi pata tiba. Nyie ni wagonjwa wa kisaikolojia ila hamtaki tiba.
Zama za kutumia mguvu zimepita, tupo zama za kutumia akili na ndio maana unaona tunajadili hapa. Zama za lutumia nguvu ungeisha shika kisu unichome ila sasa huwezi. Halafu nguvu zenu sio za mapigano kavu kavu bali kikimbilia kushika kisu, panga, rungu, mti. Hamna nguvu za kupigana bila silaha kwa hio hio ni dalili ya uoga.
 
Hii sijasoma, nimechoka.
 
Asa
Nimeishi kanda ya kaskazini miaka minne nilikuwa ninaishi Moshi mjini lakini nafanya kazi mkoa wa Arusha...Na hizi ndio point tatu muhimu Na moto wa gesi zinazowatofautisha watu wa kaskazini na watu wa kanda ya ziwa katika utafutaji wa pesa.

( 1)Ujuaji yaani kujifanya kujua Kila kitu, watu wa kaskazini hasa hata awe Na PhD nane kama bado hajajipata kimaisha au kiuchumi Huwa wana uwezo wa kujifanya mafara ili tu aweze kupata kitu flani, Na hii ni tofauti kwa ndugu zangu wa kanda ya ziwa akiwa hata Na diploma tu utamjua tu (Kiswanglish) kingi Na Huwa hawakubali kujishusha au kutafuta ujuzi zaidi wa mtaani kwa mtu aliemzidi kimaisha.

(2)Dharau, watu wa kanda ya kaskazini ni ngumu kukuonyesha moja kwa moja Dharau hata kama amekuzidi Kila kitu, mara nyingi wao Huwa wanatabia ya kumfanyia mtu wema au kumpa heshima mtu kama akiba ya baadae kwani hutambua muda wowote Alie chini kiuchumi anaweza kutoboa kimaisha Na yeye ikawa ndio point yake muhimu ya kupata zaidi au kutoboa zaidi kimaisha nadhani kwa wale ambao mmeishi uchagani mnaweza kutoa ushahidi juu ya hili.

(3)Ubinafsi, Kila mtanzania ni mbinafsi japo tunazidiana ubinafsi watu wa kaskazini anaweza kuwa mbinafsi lakini anabakiza point kidogo au nafasi kidogo akiamini muda wowote unaweza kuwa msaada kwake pale akipata shida kubwa au akikwama.hii ni tofauti kwa watu wa kanda ya ziwa akiamua kuwa mbinafsi ni moja kwa moja habakishi hata nafasi kidogo.

Mwizugukuru mgikuru Mimi mama yangu ni muhaya wa kamachumu Kagera Na baba yangu ni mchaga wa machame, Kilimanjaro kwa sadara..
Asante kwa clarification múrua
 
Back
Top Bottom