Dancani
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 796
- 403
Nawe unajiona umethink big, wakati umeshindwa kulinganisha, angalia shule ya wigamba mwenye number, 0088 na 0101 wote wana F ya B math ila wana division 4 wakati mmoja anapoints 45 na mwingine 43 wakati number 0082 anapoints 45 ila yeye amepewa division 0 pomoja na number 0095 mwenye points 43 pia ana 0 labda kama wanavigezo vingine sio mathematics japo nilihisi ni C ya kiswahili ila nimeona number0001 kwa Dr nchimbi ana points 43 na hana C ya kiswahili ila amepewa div 4Acha umburula mtoa mada kuwa makini naona hata wachangiaji wengi wameshindwa kuthink big. Kuna kitu kinaitwa Penalty au sio, hususani ukifeli Mathematics.