Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Matilio ndio nini? Sijawahi kusikia mtu anaambiwa apake rangi ya mafuta ili ipunguze baridi ndani ya nyumba yake.1.V.O.C hupatikana katika matilio nyingi ndani ya nyumba kuliko Rangi .
Mf.mafuta ya kula,Varnishes,Perfumes,Sprays, Dawa za kupuliza za kuua wadudu,samani za mbao,makapeti na mazuria
- Why Oil paint...?
Hairuhusu Unyevu/Mvuke kuwa absorbed, ambapo inaweza kutorosha joto kwenye kuta.
-Ukuta wa rangi za mafuta hung'aa,ambapo ina maajisha mwanga/joto unadunda na kubaki ndani.
-Rangi za mafuta hazipigwi marufuku ila baadhi ya malighafi ndiyo zakatazwa kuwekwa and maboresho yanafanywa kila leo.
Pitia
Heat transfer
Light & Heat reflection
V.O.C
Marekani majimbo ya New York, New Jersey, Pennsylvania, Virginia, Maryland na DC yamepiga marufuku oil based paints kwa jumla na sio ingredients zake tu.
Haujui unachoongea ( mbaya zaidi haujui kuwa haujui)na unanipotezea muda.
Amandla...