😂😂tumetengwa aiseeHahahahaa, ttcl itakuwa,(wazee wa gawio)
sis wa gawio (ttcl) huu mkono wa eid hautuhusu mkuu?Stay tune...
Vocha ya Buku mbili ya Vodacom nta update pale juu..
Hiyo ndo itakuwa ya mwisho kwa leo. Inshallah next time.
sis wa gawio (ttcl) huu mkono wa eid hautuhusu mkuu?
Ulikuwa wapi?
had natak nilie voch zote hizo kwel sin bahatUlikuwa wapi?
😂😂mie nimevamia tu mkuuTtcl ni yawafanyakazi wa Serkali nyie mnamapesa
Hahaa ni upendo gani mkuu.
Soon na update vocha pale juu.
Hahaa ni upendo gani mkuu.
Soon na update vocha pale juu.
BILGERT nakusalimu
kabisa🤣we ndo mkuu sasa
Teh
Hamjambo
Huu ndio Uzi kati ya nyuzi za Jf[emoji23]we ndo mkuu sasa
Teh
Hamjambo
Hawa ndo wanastahili kuitwa wakuuHuu ndio Uzi kati ya nyuzi za Jf[emoji23]
Teh ...Kwa nn mkuu..
Hahaha!!Hawa ndo wanastahili kuitwa wakuu
Teh ..