Sawaaa ngoja nikae tayariNisha pandisha za Tigo hapo juu..
Wa voda wajiandae..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawaaa ngoja nikae tayariNisha pandisha za Tigo hapo juu..
Wa voda wajiandae..
Aisee, nanyi ntawakumbuka.. Soon nta update kwa wale wa Airtel. Ngoja nimalizane na Vodacom
Acha mawazo ya kimaskini jamaa angu...Vocha namba desh desh imewekwa kwenye namba desh desh,,
"kuna member wa jf hajulikani alipo"labda kasafiri bwana"sijui".
Hau katekwa na watu wasojulikana,huenda ngoja tukaripoti polisi,,
Vya bure ni ghali,,
,,,,NAWAZA TU,,,
We unatumia ipi mkuu..
Pokea mkono wa Iddi mkuu.
View attachment 1118622
Kuna jamaa mmoja anawaza kutekwa, uzuri mkuu unanipata vyema.
Nina speed ya ajabu naweza pata zote[emoji23][emoji23][emoji23]Soon, kaa tayari.
Maana nta update pale juu,
Halotel, Airtel, TTCL na Airtel.
Ni speed yako tu kuingiza hyo vocha...
Maana situmi kwa PM
Nina speed ya ajabu naweza pata zote[emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani ingewezekana[emoji23][emoji23][emoji23]Nipe namba yako nikusaidie kuingiza.
Natamani ingewezekana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kumbe,[emoji23][emoji23][emoji23]basi hii nimeshashindwa.Mpambano umeshakuwa wa moto huu, hapo inabidi uwe na device mbili, moja ya JF nyingine ya kuingizia hizo namba.