Pokeeni mgeni wanaJf, hii ni siku kubwa kwetu

Pokeeni mgeni wanaJf, hii ni siku kubwa kwetu

Laroi Butata

Member
Joined
Oct 28, 2020
Posts
91
Reaction score
103
Naomba mnipokee na ninawasalimu wakubwa kwa wadogo humu ukumbini.

Leo ni siku kubwa kwetu nchi yetu ikiwa kwenye uchaguzi mkuu wa kitaifa, namimi nikaona niweke kumbukumbu kwa kuwa mwanachama rasmi wa jamii forum baada ya kuww msomaji kwa miaka kadhaa.

Naomba mnipokee.
 
Male or female...kama female....unaruhusu wana waje piemu ama?
 
Back
Top Bottom