Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Kuchimba bahari? Au Mimi ndo sijaelewaKwa hiyo wanachimba bila kukata miti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchimba bahari? Au Mimi ndo sijaelewaKwa hiyo wanachimba bila kukata miti?
Hii ni comment ya mtu asiyejua chochote kwenye nishati. Afrika inunue gesi wakaitumie kuoga? Kuna uzalishaji gani Afrika wa kufanya Russia ijenge bomba mpaka hapa. Na ni nchi zipi, maana za Kaskazini wale Waarabu hawahitaji gesi kutoka nje, Nigeria hawahitaji gesi, South Africa mbali kote uko kutokea Urusi bado hahitaji gesi. Auziwe nani sasa au Somalia. Hapa hatuzungumzii hii mitungi ya Mihan na Oryx, hii ni upuuzi hata kwenye soko la gesi duniani inawezekana haijulikani kama ipo mitungi. Tunazungumzia mitambo mikubwa ya LNG, viwanda vinavyotumia umeme wa gesi, mabomba, nyumba za Ulaya zinazohitaji gesi kipindi cha winter.Afrika itanunua gesi ya Urusi. Soko ni kubwa halafu ni cheap gas
Marekani anatumia mafuta mengi kwa sikuHivi US hakuna energy crisis kama Europe?
heading from russia to german....inamaanisha nini...gesi inatoka wapi?Putin anaimaliza Urusi yake kwa ujinga wake, soko linamtoka kizembe sana...
"The era of Russian domination of gas is coming to an end, an era marked by blackmail, threats and coercion," Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki said Tuesday at the symbolic inauguration of the Baltic Pipe compressor station in Goleniow near the Polish port city of Szczecin.
About 100 kilometres (60 miles) east of Denmark and 75 kilometers north of Germany and Poland, two pipelines meet silently in the dark depths of the Baltic Sea. One is heading from Russia to Germany, the other from Norway to Poland.
umesababisha nimecheka kwa sauti...msamehe bure tuHii ni comment ya mtu asiyejua chochote kwenye nishati. Afrika inunue gesi wakaitumie kuoga? Kuna uzalishaji gani Afrika wa kufanya Russia ijenge bomba mpaka hapa. Na ni nchi zipi, maana za Kaskazini wale Waarabu hawahitaji gesi kutoka nje, Nigeria hawahitaji gesi, South Africa mbali kote uko kutokea Urusi bado hahitaji gesi. Auziwe nani sasa au Somalia. Hapa hatuzungumzii hii mitungi ya Mihan na Oryx, hii ni upuuzi hata kwenye soko la gesi duniani inawezekana haijulikani kama ipo mitungi. Tunazungumzia mitambo mikubwa ya LNG, viwanda vinavyotumia umeme wa gesi, mabomba, nyumba za Ulaya zinazohitaji gesi kipindi cha winter.
Unadhani kuna mbadala wa mteja wa hiyo gesi, China mwenyewe hawezi kununua gesi iliyokuwa inaenda Ulaya maana tiyari alikuwa ana supply ya gesi. Hawezi nunua gesi ziada kisa inapatikana, anachukua kulingana na mahitaji.
Mkuu T14 Armata Umesahau kuwa sisi ni dona kantri?Hii ni comment ya mtu asiyejua chochote kwenye nishati. Afrika inunue gesi wakaitumie kuoga? Kuna uzalishaji gani Afrika wa kufanya Russia ijenge bomba mpaka hapa. Na ni nchi zipi, maana za Kaskazini wale Waarabu hawahitaji gesi kutoka nje, Nigeria hawahitaji gesi, South Africa mbali kote uko kutokea Urusi bado hahitaji gesi. Auziwe nani sasa au Somalia. Hapa hatuzungumzii hii mitungi ya Mihan na Oryx, hii ni upuuzi hata kwenye soko la gesi duniani inawezekana haijulikani kama ipo mitungi. Tunazungumzia mitambo mikubwa ya LNG, viwanda vinavyotumia umeme wa gesi, mabomba, nyumba za Ulaya zinazohitaji gesi kipindi cha winter.
Unadhani kuna mbadala wa mteja wa hiyo gesi, China mwenyewe hawezi kununua gesi iliyokuwa inaenda Ulaya maana tiyari alikuwa ana supply ya gesi. Hawezi nunua gesi ziada kisa inapatikana, anachukua kulingana na mahitaji.
Hadi rais wenu anataka nae kua soko la mrusi...........sasa anakosaje soko??Haijalishi, ataendelea kukosa soko na kurudi nyuma kiuchumi, anapiga pande zote, kulia na kushoto, juu na chini, sasa ameishia kukusanya wanywa gongo wakapigane.
Takriban kilomita 100 (maili 60) mashariki mwa Denmark na kilomita 75 kaskazini mwa Ujerumani na Poland, mabomba mawili yanakutana kimya kwenye kina cheusi cha Bahari ya Baltic. Mmoja anatoka Urusi kuelekea Ujerumani, mwingine kutoka Norway hadi Poland.
UMEELEWA NINI?
Soko kwani ni magharibi tu? Jamaa anazidi kupiga pesa nyie vimbeni....huo ndo mbuyuView attachment 2371439View attachment 2371440
Afrika tunatumia gesi kiduchu sanaAfrika itanunua gesi ya Urusi. Soko ni kubwa halafu ni cheap gas
heading from russia to german....inamaanisha nini...gesi inatoka wapi?
kuna nchi za asia ya kati, nchi za asean, south asia kama india, pakistan, bangladesh, afghanistan etc na china na north korea bado ni soko kubwa sana kwa urusi, na tayari urusi ameshaanza kufoji regional integration maeneo hayo na juzi juzi tu walikuwa na mkutano wa pamoja nadhani ni azerbaijan..,.. Ni mapema sana kusema urusi amefeli
Endeleeni na ndoto zenu............hata hao tu ulaya wenzao kuna baadhi wanawagomea.....soko bado ni kubwa sana na mafuta na gesi bado vinahitajika saana..........acha awashushie gharama ya uzalishaji mchina na muhindi furaha kwetu sieChina hana jeuri ya kumfaidi Putin kama ilivyokua kwa magharibi, Putin ameingia cha kike...
Huyo ni mjuaji asiyejuaUnajua hilo bomba linakopita mzee?
Hahahaha....eti wakaitumie kuoga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JF kuna vituko[emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni comment ya mtu asiyejua chochote kwenye nishati. Afrika inunue gesi wakaitumie kuoga? Kuna uzalishaji gani Afrika wa kufanya Russia ijenge bomba mpaka hapa. Na ni nchi zipi, maana za Kaskazini wale Waarabu hawahitaji gesi kutoka nje, Nigeria hawahitaji gesi, South Africa mbali kote uko kutokea Urusi bado hahitaji gesi. Auziwe nani sasa au Somalia. Hapa hatuzungumzii hii mitungi ya Mihan na Oryx, hii ni upuuzi hata kwenye soko la gesi duniani inawezekana haijulikani kama ipo mitungi. Tunazungumzia mitambo mikubwa ya LNG, viwanda vinavyotumia umeme wa gesi, mabomba, nyumba za Ulaya zinazohitaji gesi kipindi cha winter.
Unadhani kuna mbadala wa mteja wa hiyo gesi, China mwenyewe hawezi kununua gesi iliyokuwa inaenda Ulaya maana tiyari alikuwa ana supply ya gesi. Hawezi nunua gesi ziada kisa inapatikana, anachukua kulingana na mahitaji.
Jeshi la Marekani linatumia mafuta mengi zaidi hata kuzidi baadhi ya nchi kama Peru na Portugal. (Zaidi ya mapipa 250,000 Kwa siku)Marekani anatumia mafuta mengi kwa siku
Marekani hununua mafuta mengi kila siku
Marekani huchimba mafuta ila hayamtoshelezi
Makaa ya mawe ndo usiseme
heading from russia to german....inamaanisha nini...gesi inatoka wapi?
kuna nchi za asia ya kati, nchi za asean, south asia kama india, pakistan, bangladesh, afghanistan etc na china na north korea bado ni soko kubwa sana kwa urusi, na tayari urusi ameshaanza kufoji regional integration maeneo hayo na juzi juzi tu walikuwa na mkutano wa pamoja nadhani ni azerbaijan..,.. Ni mapema sana kusema urusi amefeli
Afrika ipi?Afrika itanunua gesi ya Urusi. Soko ni kubwa halafu ni cheap gas