Poland, Denmark na Norway waanza maandalizi ya bomba la gesi, kwaheri Urusi

Hizo ni story tu za vijiweni au watu wasiofatilia mambo.

Mwaka Jana pekee Urusi iliuza Gas & mafuta yenye thamani ya $400 billioni kwa Europe.

Mwaka Jana Europe iliagiza Gas ujazo wa zaidi ya 150 bcm,wakati huohuo China ilinunua 17bcm tu. Hiyo nchi nyingine ulizozitaja hakuna maviwanda makubwa hivyo hata matumizi yake sio makubwa hawawezi kucover soko la Europe hata siku moja.

Kingine mikataba ya Gas mara nyingi inakua ni ya muda mrefu hivyo si rahisi kwa nchi kuanza kununua haraka haraka Gas toka Urusi.

Tatu,je hizo nchi ina miundombinu za kupokea hiyo Gas?! Kumbuka Russia ilijenga pipelines kwenda Europe ambazo zilijengwa kwa muda mrefu,sababu ya usafirishaji wa pipelines ni wa uhakika na Bei nafuu ndio maana Gas ya Russia ilikua inauzwa cheap Europe. Sasa hizo nchi nyingine unakuta zipo mbali na Russia,mpaka waanze kujenga pipelines sio Leo wala kesho,wakisema wachakate hiyo Gas wauze kama LNG je hizo nchi zina miundombinu (LNG terminals) za kuweza hifadhi hiyo Gas. Kumbuka hizi terminal kuzijenga ni gharama na zinachukua muda mrefu (miaka 3-5).
Wakikuelewa niite
 
Hivi US hakuna energy crisis kama Europe?
Na wenyewe wanazalisha mafuta kwa kiwango kikubwa na matumizi yao ni makubwa na ukumbuke ukubwa wa USA ni Sawa na uikusanye ulaya ndio ifikie USA na wanawazidi pia
 
Hizo ni story tu za vijiweni au watu wasiofatilia mambo.

Mwaka Jana pekee Urusi iliuza Gas & mafuta yenye thamani ya $400 billioni kwa Europe.

Mwaka Jana Europe iliagiza Gas ujazo wa zaidi ya 150 bcm,wakati huohuo China ilinunua 17bcm tu. Hiyo nchi nyingine ulizozitaja hakuna maviwanda makubwa hivyo hata matumizi yake sio makubwa hawawezi kucover soko la Europe hata siku moja.

Kingine mikataba ya Gas mara nyingi inakua ni ya muda mrefu hivyo si rahisi kwa nchi kuanza kununua haraka haraka Gas toka Urusi.

Tatu,je hizo nchi ina miundombinu za kupokea hiyo Gas?! Kumbuka Russia ilijenga pipelines kwenda Europe ambazo zilijengwa kwa muda mrefu,sababu ya usafirishaji wa pipelines ni wa uhakika na Bei nafuu ndio maana Gas ya Russia ilikua inauzwa cheap Europe. Sasa hizo nchi nyingine unakuta zipo mbali na Russia,mpaka waanze kujenga pipelines sio Leo wala kesho,wakisema wachakate hiyo Gas wauze kama LNG je hizo nchi zina miundombinu (LNG terminals) za kuweza hifadhi hiyo Gas. Kumbuka hizi terminal kuzijenga ni gharama na zinachukua muda mrefu (miaka 3-5).
na kwa taarifa yako ujerumani hawezi kuacha kununua gesi urusi. ni suala la muda tu linalosababishwa na ujinga wa mmarekani
 
Hii ramani itakuelimisha kitu, namna Mrusi anategemea sana Magharibi kuliko hao maskini unaoshobokea hapo

main-qimg-1d9e31a41c25cf017e721977bcf21dd6
kushobokea ndiyo nini we malaya
 
Itawa
Putin anaimaliza Urusi yake kwa ujinga wake, soko linamtoka kizembe sana...

"The era of Russian domination of gas is coming to an end, an era marked by blackmail, threats and coercion," Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki said Tuesday at the symbolic inauguration of the Baltic Pipe compressor station in Goleniow near the Polish port city of Szczecin.

About 100 kilometres (60 miles) east of Denmark and 75 kilometers north of Germany and Poland, two pipelines meet silently in the dark depths of the Baltic Sea. One is heading from Russia to Germany, the other from Norway to Poland.
Itachukua muda gani mkuu? Wakati Russia ameshatafuta njia nyingine ya Gesi kupitia Uturuki
 
Toilet paper yenyewe ya kufutia mikundu inatushinda. Maji , afya, njaa , utapia Milo, elimu . Anzia tupate uhuru , utasikia . Utawasikia wajinga Fulani wakisema nitawaletea maji , maji
Screenshot_2022-11-16-11-14-03-564_com.android.chrome.jpg
 
Back
Top Bottom