Poland, Denmark na Norway waanza maandalizi ya bomba la gesi, kwaheri Urusi

Wakikuelewa niite
 
Hivi US hakuna energy crisis kama Europe?
Na wenyewe wanazalisha mafuta kwa kiwango kikubwa na matumizi yao ni makubwa na ukumbuke ukubwa wa USA ni Sawa na uikusanye ulaya ndio ifikie USA na wanawazidi pia
 
na kwa taarifa yako ujerumani hawezi kuacha kununua gesi urusi. ni suala la muda tu linalosababishwa na ujinga wa mmarekani
 
mtoa mada waota weyeee[emoji3][emoji3] yani ukiichukua Qatar,norway na sweden bado wote kwa pamoja awawezi kufikia japo 30% ya gesi ambayo Russia alikuwa anaipeleka Ulaya
Mpaka hiyo reserve iishe watakuwa wameshapata plan B.
 
Itawa
Itachukua muda gani mkuu? Wakati Russia ameshatafuta njia nyingine ya Gesi kupitia Uturuki
 
Toilet paper yenyewe ya kufutia mikundu inatushinda. Maji , afya, njaa , utapia Milo, elimu . Anzia tupate uhuru , utasikia . Utawasikia wajinga Fulani wakisema nitawaletea maji , maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…