Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

Nationalist hawa hawa wa Leo, waliwaua watu wa poland.
Kwa sera zao za "integral nationalism", kwamba Ukraine for ukranians.
Watu wa Poland watakuwa wapuuzi wakisahau "Progroms" za wafuasi wa stepan Bandera juu yao.
 
Tujipe muda kabla ya anguko kubwa la uchumi Ulaya, bidhaa karibu zote za vviwandani huko Ulaya vinategemea gesi ya urusi kuviendesha , sasa urusi kaona isiwe shida
Ulaya na dunia itaumia, ila muda huo Russia itakuwa hoi bin taabani.
 
Again ndege ya USA ya jeshi na Israel haiwezi kurushwa na taifa nyingine .Ni Sawasawa ni kupeleka tesla Sasa Hivi endesha .Ndege ya USA ikipelekwa ukraine lazima uwe na general pilot it means ww111
Poland wanazo za Russia. Ambazo Ukraine wanajua kuzipilot.Sema Poland ikasema itatoa ndege ila zirukie kutokea Ujerumani kwenye base ya US. 😂
 
Kwa EU hawawezi kufanya maamuzi hayo kwa haraka hivyo
So they need time ila by the end of 2022 wamesema watapunguza utegemeezi wao kwa mafuta na gasi za russia
Ila habari nzuri iliyopo sasa ni kuwa Zelensky kakubali kuongea kuhusu yale majimbo ya east kuwa huru na pia kuvuta wazo lake la kujiunga na NATO. Hope tunaelekea mwisho wa vita.
 
Ukisoma statement, Biden amesema nchi zingine zitaendelea sababu hazina mbadala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu hii vita sio ya kushabikia hata kwa sekunde moja. Yaani ilipofikia inahitaji mwendawazimu moja tu kuanzisha 3rd world war na wote tutaumia hakika.
 

Hii ndio taarifa sahihi
 
Vita lengo sio kuharibu maisha ya binadamu, yeyote apiganae vita tamaa yake ni kuona matunda mema wakati ujao.
Mrussi anahitaji hakikisho na hakikisho linapatikana kwa documentation, hivi vikao wanavyovifanya ndivyo vinavyobeba hatima ya vita.
 
Kwahiyo ungekua ni ww ungefanya kama putin anavyotaka
Wakat na ww ni nchi huru
Kama ndio ww hufai kua kiongoz...
Huwezi kuwa shujaa kwa 'kushikiwa akili' kuitumbukiza nchi katika uharibifu kama huu unaofanyika.

Hakuna Chuki iliyofanyakazi mbele ya majadiliano.

Kwahiyo ungelikuwa wewe chaguo lako pekee lingelikuwa ni kupigana?

Kwanini aende kwenye meza ya majadiliano baada ya kuharibu nchi yake?



Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Marekani ni kama yule rafiki anayeongea sana alafu kikitokea cha kutokea anakuweka mbele na mambo yakiharibika anakuruka na kupotea ghafla.
Kuna siku nilisema dunia nzima inamuogopa putin ila kuna watu wanapinga kishabiki.
 
Halafu hapo anasema hayupo vitani yupo kwenye operation ya kijeshi, sasa jiulize akitangaza vita je itakuwaje.
 
Hapo Putin anajazwa ili aendelee kufirisiwa. Marekani ni mjanja sana, anataka vita isiishe mapema ili mrusi afirisike.
Ila wee jamaa !!! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…