Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

Bado mdogo kwenye dunia ya mjemendari ya ujasusi.. rais wa Ukrain sio wa anga hizi... Just tulia uwone kitakacho tokea mrusi atajuta kuanza vita...
 
View attachment 2144169
Taarifa ya Marekani ipo wazi, wanaogopa kupeleka ndege kwa kuhofia Putin kushambulia NATO.

Nanukuu hapa:

The United States has rejected Poland’s offer to send its MiG-29 fighter jets to Ukraine via a US airbase in Germany, saying the proposal raised “serious concerns” for the entire NATO alliance.

 
Kama mimi ninavyomchimba choo mama yako
 
Kama mimi ninavyomchimba choo mama yako
Hapana, ni kama Mimi ninavyowashikishaga ukuta bila mafuta wewe, baba yako na mama yako, hiyo kitaalamu inaitwa 4somes [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunaposoma habari hizi, tuwe neutral. Unaweza usielewe hizi habari, kama unasoma Kiputin au Kibiden.
 
Hilo zezeta mpaka likuelewe sijui lini [emoji848][emoji28]
Asichojua hizo data USA anaweza kuzipika tu sababu hizo google SO humilikiwa na USA, na vyombo vyao vya habari ndivyo vimeshika dunia.

Sasa watashindwaje kueneza propaganda wakikuchukia [emoji848][emoji16]
 
Hapana, ni kama Mimi ninavyowashikishaga ukuta bila mafuta wewe, baba yako na mama yako, hiyo kitaalamu inaitwa 4somes [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora utumie mafuta kuwatafuna maana wakikuchenjia, mafuta yatakuwepo
 

Hilo ni swala la muda mfupi tu kurejesha taifa kwenye hali ya awali
 
Bado mdogo kwenye dunia ya mjemendari ya ujasusi.. rais wa Ukrain sio wa anga hizi... Just tulia uwone kitakacho tokea mrusi atajuta kuanza vita...
Sishabikii vita kwa namna yoyote ile. Kama Zelensky anaintelijensia kali ambayo unamsifia hapa nchi yake isingeharibika kiasi hiki.

Ujasusi wake ni wa hovyo, hata kama Urusi akishindwa, maafa na uharibifu uliotokea Ukraine bado utakuwa palepale.

Ujasusi wake anaoufanya kwa kuangamiza nchi yake kwanza unafaida gani kwa wananchi wake?

Mnashabikia mambo ya hovyo wakati ninyi mmetulia nchini kwenu hakuna maafa wala uharibifu kama Ukraine.



Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Zelensky atapata misaada toka West ataijenga nchi yake, miaka mitano ijayo itarudi kama awali.

Vikwazo vya Russia havitolewi leo au kesho. Watanyooshwa mpaka wafilisike.
 
Zelensky atapata misaada toka West ataijenga nchi yake, miaka mitano ijayo itarudi kama awali.

Vikwazo vya Russia havitolewi leo au kesho. Watanyooshwa mpaka wafilisike.
Kama watamsaidia wamechelewa, maisha ya watu hayatengenezeki mkuu.

Ni vyema wangelitatua ikiwa bado ni hali ya kurushiana maneno.

Leo wamechelewa tayari,.

Hao ndio walimset mwenzao asababishe maafa kwa wananchi wake.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 

Marekani hana lolote,,hawezi ingiza mguu vita yoyote bila msaada. Ukraine asingeweza kuivamia peke yake bila msaada.

Puttin ni mwanaume haswaa, ameonyesha uanaume wake
 
Ukweli ni kwamba USA hajawahi kupambana vita bila alliances, yaani iki USA aingie front ni lazima kwanza NATO iwepo, UK, France na Germany ziwe frontline

Siku tuone US kaingia vitani bila kufanya mobilization yoyote nitajua US is a strong nation, of course nintaifa lenye nguvu, Ila tactics zake za vita zinategemea washirika wake watasemaje, then ndio anajiingiza vitani.
 
Wachambuzi wa kiuchumi wanasema hasara kwa Ukraine hadi sasa inaweza kuchukua 20-40yrs ili nchi irudi kwenye reli. Watu hawajui tu jinsi Russia alivyoiharibu Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…