Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

Zelensky kichwa maji, ameisambaratisha nchi yake kwa kutafuta sifa za kijinga.

Hata ikitokea Warusi wamerudi nyuma uharibifu uliyofanyika ni mkubwa mno.

Serikali yake itakuwa na jukumu la kujenga tena miundombinu iliyoharibika.

'Nchi imejidumaza'.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Bado mdogo kwenye dunia ya mjemendari ya ujasusi.. rais wa Ukrain sio wa anga hizi... Just tulia uwone kitakacho tokea mrusi atajuta kuanza vita...
 
View attachment 2144169
Hii habari haijakamilika, NATO na US walikuwa wanampango wa kupeleka ndege vita kuisaidia Ukraine. Kabla hata mashauriano ya ndani hayakakamilika Poland wakasema wako tayari kukabidhi hizi kwa US ili zipelekwe Ukraine kwa sharti la Marekani kupeleka ndege nyingine Poland. Wamarekani wanasita kupeleka hizi ndege kwa sababu kama mbili hivi, kwanza itabidi waipatie Poland ndege nyingine, ila pia US ana wasiwasi hizi ndege zitahitaji mafunzo kwani ni upgraded version lakini pia Ukraine hana total control hivyo zinaweza angushwa na Urusi muda wowote.
Taarifa ya Marekani ipo wazi, wanaogopa kupeleka ndege kwa kuhofia Putin kushambulia NATO.

Nanukuu hapa:

The United States has rejected Poland’s offer to send its MiG-29 fighter jets to Ukraine via a US airbase in Germany, saying the proposal raised “serious concerns” for the entire NATO alliance.

Ona Sasa hata kwa resources Marekani anavyompumulia kisogoni Russia kama vile Mimi ninavyompumuliaga mama yako[emoji2][emoji2][emoji2], wakati kirasilimali Russia na US wanachuana namba moja na mbili, kiuchumi Russia kaachwa mbali sana na katikati Kuna nchi Tisa nazo zimempiga fimbo.
Kama mimi ninavyomchimba choo mama yako
 
Kama mimi ninavyomchimba choo mama yako
Hapana, ni kama Mimi ninavyowashikishaga ukuta bila mafuta wewe, baba yako na mama yako, hiyo kitaalamu inaitwa 4somes [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunaposoma habari hizi, tuwe neutral. Unaweza usielewe hizi habari, kama unasoma Kiputin au Kibiden.
 
Usisikilize propaganda za magharibi. Urusi ndo nchi tajiri zaidi duniani kwenye natural resources- Mafuta, gas,dhahabu,almas, mbao nk... Kwanini wasiwe matajiri. Marekani na propaganda zake hana uchumi wa china. Ana madeni zaidi ya trillion 65 dollars
Hilo zezeta mpaka likuelewe sijui lini [emoji848][emoji28]
Asichojua hizo data USA anaweza kuzipika tu sababu hizo google SO humilikiwa na USA, na vyombo vyao vya habari ndivyo vimeshika dunia.

Sasa watashindwaje kueneza propaganda wakikuchukia [emoji848][emoji16]
 
Hapana, ni kama Mimi ninavyowashikishaga ukuta bila mafuta wewe, baba yako na mama yako, hiyo kitaalamu inaitwa 4somes [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora utumie mafuta kuwatafuna maana wakikuchenjia, mafuta yatakuwepo
 
Zelensky alainika baada ya makombora ya Putin, asema halazimishi tena Ukraine kujiunga NATO
SmartSelect_20220309-181858_Chrome.jpg

Zelensky kichwa maji, ameisambaratisha nchi yake kwa kutafuta sifa za kijinga.

Hata ikitokea Warusi wamerudi nyuma uharibifu uliyofanyika ni mkubwa mno.

Serikali yake itakuwa na jukumu la kujenga tena miundombinu iliyoharibika.

'Nchi imejidumaza'.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app

Hilo ni swala la muda mfupi tu kurejesha taifa kwenye hali ya awali
 
Bado mdogo kwenye dunia ya mjemendari ya ujasusi.. rais wa Ukrain sio wa anga hizi... Just tulia uwone kitakacho tokea mrusi atajuta kuanza vita...
Sishabikii vita kwa namna yoyote ile. Kama Zelensky anaintelijensia kali ambayo unamsifia hapa nchi yake isingeharibika kiasi hiki.

Ujasusi wake ni wa hovyo, hata kama Urusi akishindwa, maafa na uharibifu uliotokea Ukraine bado utakuwa palepale.

Ujasusi wake anaoufanya kwa kuangamiza nchi yake kwanza unafaida gani kwa wananchi wake?

Mnashabikia mambo ya hovyo wakati ninyi mmetulia nchini kwenu hakuna maafa wala uharibifu kama Ukraine.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Zelensky kichwa maji, ameisambaratisha nchi yake kwa kutafuta sifa za kijinga.

Hata ikitokea Warusi wamerudi nyuma uharibifu uliyofanyika ni mkubwa mno.

Serikali yake itakuwa na jukumu la kujenga tena miundombinu iliyoharibika.

'Nchi imejidumaza'.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Zelensky atapata misaada toka West ataijenga nchi yake, miaka mitano ijayo itarudi kama awali.

Vikwazo vya Russia havitolewi leo au kesho. Watanyooshwa mpaka wafilisike.
 
Zelensky atapata misaada toka West ataijenga nchi yake, miaka mitano ijayo itarudi kama awali.

Vikwazo vya Russia havitolewi leo au kesho. Watanyooshwa mpaka wafilisike.
Kama watamsaidia wamechelewa, maisha ya watu hayatengenezeki mkuu.

Ni vyema wangelitatua ikiwa bado ni hali ya kurushiana maneno.

Leo wamechelewa tayari,.

Hao ndio walimset mwenzao asababishe maafa kwa wananchi wake.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Haya yalikuwa ni maneno ya Marekani kutaka kumwingiza choo cha kike Poland! Hapa Marekani anasema nchi za NATO zinaruhusiwa kupeleka ndege zake Ukraine.

Lakini Poland alivyoshtukia mtego huo akamwambia Marekani sawa, mimi nikuletee hizo ndege halafu wewe uzipeleke huko Ukraine!! Marekani kuona hivyo akala nduki!!!! Ila ni AIBU!! Hakuna tena nchi ya NATO itakayoiamini Marekani kivile!!

Utasukumiaje mzigo kwa mwenzako ambao wewe hauna u8bavu wa kuubeba?? Tusidanganyane, Putin anatisha!! Fikiria anapigana vita huku kafungwa mikono na miguu ya kiuchumi karibuni nyote!!!! Hakuna nchi inayoweza kuhimili hali hiyo!!!

Marekani hana lolote,,hawezi ingiza mguu vita yoyote bila msaada. Ukraine asingeweza kuivamia peke yake bila msaada.

Puttin ni mwanaume haswaa, ameonyesha uanaume wake
 
Ukweli ni kwamba USA hajawahi kupambana vita bila alliances, yaani iki USA aingie front ni lazima kwanza NATO iwepo, UK, France na Germany ziwe frontline

Siku tuone US kaingia vitani bila kufanya mobilization yoyote nitajua US is a strong nation, of course nintaifa lenye nguvu, Ila tactics zake za vita zinategemea washirika wake watasemaje, then ndio anajiingiza vitani.
 
Sishabikii vita kwa namna yoyote ile. Kama Zelensky anaintelijensia kali ambayo unamsifia hapa nchi yake isingeharibika kiasi hiki.

Ujasusi wake ni wa hovyo, hata kama Urusi akishindwa, maafa na uharibifu uliotokea Ukraine bado utakuwa palepale.

Ujasusi wake anaoufanya kwa kuangamiza nchi yake kwanza unafaida gani kwa wananchi wake?

Mnashabikia mambo ya hovyo wakati ninyi mmetulia nchini kwenu hakuna maafa wala uharibifu kama Ukraine.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Wachambuzi wa kiuchumi wanasema hasara kwa Ukraine hadi sasa inaweza kuchukua 20-40yrs ili nchi irudi kwenye reli. Watu hawajui tu jinsi Russia alivyoiharibu Ukraine.
 
Back
Top Bottom