Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
RUSSIA sio ZIMBABWE na UKRAINE NATO EU US na DUNIA wanalijua hiliZelensky atapata misaada toka West ataijenga nchi yake, miaka mitano ijayo itarudi kama awali.
Vikwazo vya Russia havitolewi leo au kesho. Watanyooshwa mpaka wafilisike.
Mpigie simu kesho atangaze kaichukua Kiev maamae anakula vyuma vya nguvu toka ukrain jana jenerali wao ka-deadAnaejamba jamba atakuwa baba ako usirudie kumtukana putin mbele zangu kunguru weye
Hayo makombora 4000 unaoushahidi upo buza ila ni kama upo kwenye store za silaha za mmarekani , vita ni siri wingi wa silaha ni siri ili kumzuga adui , kipindi kile japan anasumbua hamna aliyejua kama mmarekani ana atomic bomb, alishtukiza tu hata sasa usiamini kuambiwa kwamba yule ana 4000 yule 5000 hawatabiriki , ukiangalia upo buza habari unzisoma kwenye udaku tuliaMarekani haimzidi Urusi kivita. Urusi ina makombora ya nyuklia zaidi ya elfu tano, wakati Marekani ina makombora ya nyuklia elfu nne na kidogo. Tukubali marekani kapima kina kaona ni maji marefu!!
Taarifa zako ni za UONGO mtupu na ushabiki tu..Soma tena habari hii vizuri!! Marekani imesema inaepusha kuitumbukiza NATO kwenye vita na URUSI!! Swali: Wakati inaiomba Poland kupeleka ndege zake Ukraine ilikuwa haijui kufanya hivyo ni kuingia vitani na Urusi?? Haya mambo ya mafunzo kwanza hayajawahi kusemwa popote!! Ukraine wenyewe ndio waliomba hizo Mig 29 maana wana uzoefu nazo na pia wao walikuwa nazo lakini zimeshaharibiwa karibuni zote mpaka sasa!! Tuukabili ukweli, Marekani yuko tayari kumtanguliza mwingine lakini yenyewe haiko tayari. Marekani katumia karibuni miaka 20 nchini Afghanistan akipigana na Taliban lakini ameshindwa na kukimbia na Taliban wakakamata nchi!! Huyo ndo leo umtegemee atangulize pua yake kwa Putin-Thubutu!!!!! Katika hili Poland wameivua nguo Marekani, huo ndio ukweli!
Apa umeongea kidogo kakitu kakufikirisha[emoji16][emoji16]Hapo Putin anajazwa ili aendelee kufirisiwa. Marekani ni mjanja sana, anataka vita isiishe mapema ili mrusi afirisike.
Duuhhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu yeyote anayeshabikia huu ujinga na kum support Qumer putin namuona ni kijana mdogo anayekaa sebuleni kwa shemeji yake.
Kisha pia namuona ni msssssenge tu anayepumuliwa na ku earn kipata.
Kama ujajitafutiaga hata senti moja tu ya kula utagundua jinsi gani dunia haihitaji vita.
Nimetoa mfano tu.Sanctions pia. Jana US na UK wamesitisha kununua mafuta na gas Russia. Wao wanategemea kidogo sana ukilinganisha na jinsi EU wanavyotegemea Gas na mafuta kwa Russia. Ujerumani peke yao wanategemea gas ya Russia kwa asilimia 40.Sasa US kawaomba EU nao wafanye the same EU wakiingia mkenge what the next ?Viwanda vitafanya vipi kazi ?Kuna nchi zinategemea gas ya Russia kwa almost asilimia 100.US na UK wana nia mbaya kwa nchi hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hoja inabaki pale pale. Malezi ni kitu kingine kabisa ambacho hapa hakina nafasi
Hizi hasira unazo tokea wapiMtu yeyote anayeshabikia huu ujinga na kum support Qumer putin namuona ni kijana mdogo anayekaa sebuleni kwa shemeji yake.
Kisha pia namuona ni msssssenge tu anayepumuliwa na ku earn kipata.
Kama ujajitafutiaga hata senti moja tu ya kula utagundua jinsi gani dunia haihitaji vita.
Uyo jamaa akili yake ina jinsia gani??[emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo nisikilize propaganda zako!!
Khe! Kumbe kiuchumi pia Russia yuko juu ya US[emoji2][emoji2][emoji2] warusi Koko buana!![emoji1787][emoji1787]
Ke [emoji2][emoji2]Uyo jamaa akili yake ina jinsia gani??[emoji23][emoji23][emoji23]
kama sio wewe nini mimi ukiwa na akili timamu huwezi unga mkono huo uvamizi hakuwa na uhalali wa kuvamia kwa sababu nyepesi hivyo ameingiza nchi yake kweny anguko la uchumi amepoteza wanajeshi pia vifaa na bado wiki ya pili hakuna alicho fanikisha....
Bado mdogo kwenye dunia ya mjemendari ya ujasusi.. rais wa Ukrain sio wa anga hizi... Just tulia uwone kitakacho tokea mrusi atajuta kuanza vita...
Poland wana ujasiri wa hali ya juu.Poland ninawapa big up. Halafu cha kushangaza US wamekataa Ombi la Poland la kupeleka ndege US ya Ujerumani. [emoji23][emoji23][emoji23]US anajidai mjanja. Kuna wajanja zaidi yake.
Kwa hiyo kwa Ukraine kipigo inachopata Uchumi wake utakuwa mzuri kuliko wa Russia? Uchumi wa Russia unaweza kuinuka kwa haraka kuliko wa Ukraine.Ulitaka aongoze nchi kwa kufuata maelekezo kutoka Moscow, kichwa maji ni Putin anayeharibu uchumi wa nchi yake huku akigharimu maisha ya Askari wake. Zelensky kavamiwa ulitaka asitetee nchi yake?!
Hivi unaelewa kinachozungumziwa kwenye hii mada?Again ndege ya USA ya jeshi na Israel haiwezi kurushwa na taifa nyingine .Ni Sawasawa ni kupeleka tesla Sasa Hivi endesha .Ndege ya USA ikipelekwa ukraine lazima uwe na general pilot it means ww111