Soma tena habari hii vizuri!! Marekani imesema inaepusha kuitumbukiza NATO kwenye vita na URUSI!! Swali: Wakati inaiomba Poland kupeleka ndege zake Ukraine ilikuwa haijui kufanya hivyo ni kuingia vitani na Urusi?? Haya mambo ya mafunzo kwanza hayajawahi kusemwa popote!! Ukraine wenyewe ndio waliomba hizo Mig 29 maana wana uzoefu nazo na pia wao walikuwa nazo lakini zimeshaharibiwa karibuni zote mpaka sasa!! Tuukabili ukweli, Marekani yuko tayari kumtanguliza mwingine lakini yenyewe haiko tayari. Marekani katumia karibuni miaka 20 nchini Afghanistan akipigana na Taliban lakini ameshindwa na kukimbia na Taliban wakakamata nchi!! Huyo ndo leo umtegemee atangulize pua yake kwa Putin-Thubutu!!!!! Katika hili Poland wameivua nguo Marekani, huo ndio ukweli!