Poland inachekesha, Wakati yenyewe imegoma kununua gesi toka Urusi, inaitaka Norway iwagawie faida wanayopata kwa kuwauzia gesi kwa bei ya juu

Poland inachekesha, Wakati yenyewe imegoma kununua gesi toka Urusi, inaitaka Norway iwagawie faida wanayopata kwa kuwauzia gesi kwa bei ya juu

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Huwezi kuamini mawazo na akili ya Viongozi wa Poland!! Wam,eamua kuachana na gesi ya urusi ya bei rahisi kwa kuwa wanaweza kununua gesi pia toka Norway na nyingine toka Ujerumani (inayopata gesi toka urusi).

Lakini wanailalamikia Norway kuwa inawauzia gesi kwa bei kubwa sana karibuni mara NNE zaidi ya ile ya urusi waliyoikataa. Kwa hiyo wanawataka wawagaie kidogo faida wanayopata kutokana na kuwauzia gesi kwa bei kubwa.

=======

Poland tells Norway to hand over oil revenues​

Polish PM Mateusz Morawiecki has accused the Nordic country of making “unjust” oil and gas money amid the Ukraine conflict

Norway should share the “excess” profits it’s been making as oil and gas prices soar amid the ongoing conflict between Russia and Ukraine, Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki said at the National Youth Dialogue Congress on Saturday.

“But should we be paying Norway gigantic money for gas – four or five times more than we paid a year ago? This is sick,” he said, claiming that the excess of the annual average gas and oil profit “will exceed €100 billion” this year for a country of five million people like Norway.

“They should share these excess profits. It’s not normal, it’s unjust. This is an indirect preying on the war started by Putin,” the PM said.

======

Haya ni maajabu, ukatae mwenyewe kununua gesi ya bei rahisi toka urusi, kisha ulalamike kununua gesi kwa bei kubwa zaidi toka kwa majirani, kisha udai wakugawie faida wanayopata kwa kukuuzia gesi kwa bei kubwa!! Norway amemjibu Poland kwa kumtolea nje!! Norway imesema haitaigawia POland wala Ukraine faida yake ya mauzo ya gesi!!

======

Norway responds to Polish demand for shared energy revenues​

Norwegian people and their economy are also suffering from soaring oil and gas prices, Oslo says

Norway has made it clear that it’s not going to give in to Poland’s demand for it to share its growing profits from the oil and gas trade with either Warsaw or Kiev.

On Sunday, Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki claimed that Norway would earn an extra €100 billion ($106.9 billion) from energy sales this year due to a spike in oil and gas prices caused by the conflict in Ukraine and international sanctions on Russia.

“They should share these excess profits. It’s not normal, it’s unjust. This is an indirect preying on the war started by [Russian President Vladimir] Putin,” the PM insisted, adding that Oslo shouldn’t necessarily send its money to Poland, but to Ukraine.

Kinachoshangaza: Poland imeamua kugomea gesi ya urusi ya bei rahisi, halafu inalalamika hadharani kununua gesi kwa Norway kwa bei kubwa!! Tena naona angempandishia bei zaidi labda akili itamrudia!
 
Jamaal bhangi inamchanganya sana
Aache jani bhana
 
Back
Top Bottom