Logic za kazi gani mkuu msimamo wangu unanitosha nyie endeleeni kutatuana malinda na logic zenu😀Black and white fallacy and false dichotomy..ni sawa nikuambie wewe hapo ni either gigy au amber rutty... 😂Huna logic mkuu
Nani kamtatua nani malindaLogic za kazi gani mkuu msimamo wangu unanitosha nyie endeleeni kutatuana malinda na logic zenu😀
Umekosa hojaLogic za kazi gani mkuu msimamo wangu unanitosha nyie endeleeni kutatuana malinda na logic zenu😀
Me hoja sinaga bwana, we simamia unachokipenda.Umekosa hoja
Poland imewahi kutoa papa, kardinali wa krakow, karol wojtyla a,k.a papa yohana paulo wa pili/pope john paul 2, Vipi huko argentina wamekubali huo waraka wa raia wao huko vatican?
Hao ni wafia dini wazee wa ufafanuzi. Hawataki kukubali kwamba baba mtakatifu papa Francis ameagiza sasa wafungishe ndoa za mashoga kanisani.Halafu wakatoliki wa kwampalange wanasema hatujamwelewa papaa
Tanzania hakuna mwenye jeuri ya kumpinga PAPA.Kwa afrika ni Nigeria, Cameron, Malawi na Zambia tu.
wamepinga na hao wengine vipi? Na Tanzania vipi?
We vipi? Bila kukataa wzwz tena kwa kupitia TV ya TAIFA ina maana hawajapinga kauli ya PAPA .TZ haijatoa taarifa rasmi ila haikubaliki