Poland yatafakari mpango wa kumiliki silaha za nuclear za kujihami.

Poland yatafakari mpango wa kumiliki silaha za nuclear za kujihami.

Nyie hamuwezi kuwauzia chakula kwa sababu bado hata kujilisha wenyewe ni shida, Ukraine yenye vita inauza ngano na mafuta ya kula Africa.
Sasa ndo wachapane na hizo nuclear ardhi zao zisizalishe hata punje ya ngano iwe jangwa kabisa....na utokee upepo kama ule wa Chernobyl ile mionzi inasambae kote ulaya
 
Hivi ni kwanin Europe wanamuona Urusi kama threat kubwa sana kwao? Maana NATO ni kwa ajili ya Urusi.

Base za marekani huko ulaya ni dhidi ya Urusi

Hizi nukes wanazoimba sasa hivi ulaya ni kwa ajili ya Urusi

Hii hofu yote inatokanas na nin hasa? Kuna mtu anaweza kunisaidia ufafanusi?
Hizo nukes Zote combined ndio zinamfikia Mrusi
images.png

Kwa Mwaka Urusi Wana Graduate Engineer kama 400,000 hivi wote hao wanaingia kwenye Gunduzi mbalimbali za Machine, Urusi Tech zote Ngumu ngumu utakuta wapo juu, Kuanzia Ndege, Submarine, Tech za Anga ya mbali, Hizo Nyuklia etc.

USA ana balance power, imagine sasa Ulaya bila Usa wanapigana Vipi na Mrusi?
 
Waziri mkuu wa Poland Donald Tusk anasema ni wakati sasa wa Poland kufikiria kuwa na silaha za juu zaidi ya za kawaida ikiwemo silaha za nuclear.

Hatua hii inakuja baada ya Marekani kujiondoa kama mdhamini mkuu wa usalama wa Ulaya pamoja na kuwa na sera zisizotabirika tena katika mahusiano yake na washirika wake mbalimbali.

Donald Tusk amerejelea mfano wa kuvamiwa Ukraine akisema kama wangebaki na silaha zao leo wasingeweza kuvamiwa na Urusi.

Katika hatua za muda mfupi kwa sasa Poland wako katika mazungumzo na Ufaransa kuwa chini ya mpango wao wa ulinzi wa sera ya nuclear.

View attachment 3263801
Rais wa Korea Kaskazini alishasema, ukiwa na silaha za nyuklia hauvamiwi.
 
Hivi ni kwanin Europe wanamuona Urusi kama threat kubwa sana kwao? Maana NATO ni kwa ajili ya Urusi.

Base za marekani huko ulaya ni dhidi ya Urusi

Hizi nukes wanazoimba sasa hivi ulaya ni kwa ajili ya Urusi

Hii hofu yote inatokanas na nin hasa? Kuna mtu anaweza kunisaidia ufafanusi?
Mrusi hajawahi kuwa mnyonge, wakati wowote akipagawa huwa anatumia nafasi nzuri, diplomasia mara nyingi huwa sio njia zake.
 
Mrusi hajawahi kuwa mnyonge, wakati wowote akipagawa huwa anatumia nafasi nzuri, diplomasia mara nyingi huwa sio njia zake.
Warusi ni uzao wa vikings wa huko Scandinavia na hao slavs wa ulaya mashariki . .ni kizazi ambacho kwao vita sio kitu wanachokiogopa tokea enzi za wazee wao.....ndo maana asipokuelewa na ukiingia kwenye anga zake anafanya kweli na sio mtu wa kutumia proxies kama wamagharibi ili kuweka buffer vita isiingie kwenye nchi zao...kama walichokifanya Ukraine......Ukraine katumika kama proxy kupigana na urusi ila wao kama wao kwenda direct kupigana na mrusi hawawezi lazma watafute nchi waitoe chambo ndo waingie kupigana kupitia hio nchi
 
Nchi zenye au zilizowahi kuwa na communist ideology first ni dictatorship regimes hence zinaongozwa na "vichaa". Secondly, kichaa ni wa kwenda naye kwa kujihami vilivyo maana hujui next second ataamua nini.
Ukichaa upi unaongelea?na udictator upi,kumpiga sadam?,kumuua ghadafi?,kupiga na kuua watoto na wanawake serbia,kulazimisha wanaume waoane la sivyo nchi haipati misaada,au mwenzetu unamaanisha nini hasa?
 
You do realize tayari anazo? Kwenye game ya nuclear hakutokuwa na mshindi
Doctrine ya nuclear ni kwamba likianzishwa kwenye makombora mengi ana haki akutandike kadri awezavyo anaweza piga nuclear nchi nzima.....sasa ukiangalia ukubwa wa urusi halafu warushiane makombora na ulaya kwanza tu kwa idadi mrusi anayo mengi bado na yeye ana allies wake wanayo ,....hio ngoma ikianza ni lazma kuna nchi itatolewa kafara inaweza ikabaki jangwa tu......ndo maana wakawekeana mikataba
 
Hizo nukes Zote combined ndio zinamfikia Mrusi
View attachment 3263841

Kwa Mwaka Urusi Wana Graduate Engineer kama 400,000 hivi wote hao wanaingia kwenye Gunduzi mbalimbali za Machine, Urusi Tech zote Ngumu ngumu utakuta wapo juu, Kuanzia Ndege, Submarine, Tech za Anga ya mbali, Hizo Nyuklia etc.

USA ana balance power, imagine sasa Ulaya bila Usa wanapigana Vipi na Mrusi?
Huhitaji kuwa na silaha nyingi za nuclear ili uogopeke, ukiwa na vichwa vya kutosha kuisambaratisha Moscow na St Petersburg inatosha.
 
Doctrine ya nuclear ni kwamba likianzishwa kwenye makombora mengi ana haki akutandike kadri awezavyo anaweza piga nuclear nchi nzima.....sasa ukiangalia ukubwa wa urusi halafu warushiane makombora na ulaya kwanza tu kwa idadi mrusi anayo mengi bado na yeye ana allies wake wanayo ,....hio ngoma ikianza ni lazma kuna nchi itatolewa kafara inaweza ikabaki jangwa tu......ndo maana wakawekeana mikataba
Ukubwa wa urusi haimaanishi wanakalia ardhi nzima kaka. Unajua statisticaly asilimia kubwa ya ardhi ya russia , ambayo watu wanaishi ni 25% ? Na asilimia kubwa ikiishi kwenye western part of russia? While sehem iliyobaki due to harsh conditions wanaish watu wa kuhesabika or hakuna watu kabisa?

When it comes to that france or any other country hatolazikika kupiga sehem nchi nzima. Kuna maeneo ambayo (kila nchi inayo), yakioogwa hayo ni nchi imevurugika
 
Ila yeye ana vichwa vya kuisambararisha nchi yako nzima ikafutika ,,,mji ataujenga kwengine tu hata huko siberia
Moscow, St. Petersburg na miji mingine miwili mitatu ya Urusi ikisambaratika ni Urusi nzima imesambaratika
 
Ukubwa wa urusi haimaanishi wanakalia ardhi nzima kaka. Unajua statisticaly asilimia kubwa ya ardhi ya russia , ambayo watu wanaishi ni 25% ? Na asilimia kubwa ikiishi kwenye western part of russia? While sehem iliyobaki due to harsh conditions wanaish watu wa kuhesabika or hakuna watu kabisa?

When it comes to that france or any other country hatolazikika kupiga sehem nchi nzima. Kuna maeneo ambayo (kila nchi inayo), yakioogwa hayo ni nchi imevurugika
Na yeye atapigwa maana idadi ya makombora hawalingani utapiga moscow ila yeye anaweza akapiga Paris na miji mingine mingi ya nchi yako au akapiga nchi nzima kabisa ...yeye ataweza kujijenga ila kwa size ya nchi za ulaya ukitandika miji kadhaa ushaua nchi nzima....ndo maana wanahangaika kuongeza idadi ya vichwa vya nuclear maana hio ndo strategy ya ushindi na ukitaka kumfuta kabsa mrusi pia lazima upige miji yake yote strategic....shida wewe ukianza kupiga moscow yeye anaweza akajibu hapo paris na center zako zote za uchumi kabla hata ww hujafikiria kurusha kombora lingine.....huku numbers matter
Screenshot_20250308-184702_Chrome.jpg
 
Moscow, St. Petersburg na miji mingine miwili mitatu ya Urusi ikisambaratika ni Urusi nzima imesambaratika
Ukiilewa hii doctrine utajua kwanini Russia anakua mbabe na angalia number ya silaha zake za nuclear vs hao wanaotaka kupigana nae tena akijitoa marekani

Na yeye akipiga Paris na miji kadhaa ya urusi anaichakaza nchi hata kukalika haikaliki maana kale ka nchi ni kadogo madhara ya mabomu ya nuclear yatakua makubwa kuliko kwa Urusi...piga Moscow ahamishie makazi huko Siberia anaanza kujijenga polepole ila France itabd watu waikimbie kabisa nchi maana hakuna sehemu itakalika
Screenshot_20250308-184702_Chrome.jpg
 
Huhitaji kuwa na silaha nyingi za nuclear ili uogopeke, ukiwa na vichwa vya kutosha kuisambaratisha Moscow na St Petersburg inatosha.
UNAFKIRI bases na Nguvu za Urusi zipo Moscow? Pale ni mji tu mkubwa na biashara, pakipigwa watapata Hasara ya Ki fedha.
images (14).jpeg

Bases zote zipo mipakani. Tena kuna Distance kubwa baina ya base na base
 
UNAFKIRI bases na Nguvu za Urusi zipo Moscow? Pale ni mji tu mkubwa na biashara, pakipigwa watapata Hasara ya Ki fedha.
View attachment 3263861
Bases zote zipo mipakani. Tena kuna Distance kubwa baina ya base na base
Hapo mtu akikimbilia economic victory mwenzake anaenda kwenye military victory.....hawa jamaa wanadhani mambo ni rahisi sana.......Kijeshi hizo base za mrusi zinaweza sambararisha base zote za mahasimu wake wa ulaya......kidogo angekuepo Marekani anawapa sapoti ulaya hapo kidogo wangejitamba ila peke yao hawawezi kumpiga mrusi kijeshi labda waende tu kiuchumi
 
Back
Top Bottom