Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Kwa kweli mahusiano ya hivi ni changamoto sanaCheka tu ndugu yangu, sasa mtu ambaye in the eyes of law anahesabika kama bado ni mume wa mtu; anakuvalisha pete wewe kama nani yake? Unaweza ukafunga naye ndoa kama talaka haijatoka?
Inasikitisha sana inapofika wakati mtu anaweka utu wake pembeni na kujiaminisha vi
Leo Cate kaenda km mtu mwingine yoyote tu?.
Kimeumana pale kdg wazichape.,
Kurusha shada mchezo
Ila mhhh wote watata
Huyu kavunja geti yule katupa shada
Balaa nanusu!!
 
Malaya tu demonstration zenyewe kwa jamii ndio hizi kuwa na mahawara here and there watashindwa nini kugawa mechi kwenye siasa zao za ngono . Catherine na wenzake wanapigwa mzunguko balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa ule weupe mwendazake hajajipuliza nae kweli[emoji15]
 
Sheria imemlinda mke
Mchepuko hatambuliki kisheria ila wote tunajua full story

Kila mtu anataka kuonekana influence yake

Sorry, hivi mke wa marehemu amegombea mwili au mwili umezikwa nyumbani kwa marehemu ambapo mkewe wa ndoa na watoto wanaishi? Maana sijaelewa mnaposema kuna kugombea mwili. Pia naomba kujua tofauti na hapo alipozikwa angeweza kuzikwa wapi labda? Kwa Magige?
 
Only in Tanzania mchepuko anapigania haki apewe msiba wakati Mke halali yupo hai na mbaya zaidi ni mtunga sheria lakini ndiyo wa kwanza kuvunja sheria [emoji849]
Siku hizi michepuko ni hatari akilala na mwanamme siku moja tu basi tayari baby nakujipa majukumu kuwa naye mke, kama ndiyo anamke imekula kwake, pole wafiwa
 
Sorry, hivi mke wa marehemu amegombea mwili au mwili umezikwa nyumbani kwa marehemu ambapo mkewe wa ndoa na watoto wanaishi? Maana sijaelewa mnaposema kuna kugombea mwili. Pia naomba kujua tofauti na hapo alipozikwa angeweza kuzikwa wapi labda? Kwa Magige?
Haijalishi amezikwa wapi, kwa nini mke aliyeachwa na marehemu analazimisha kuzika? marehemu alishamkataa akiwa hai ndoa iko wapi hapo? Kwanini ndugu wa Mumu wasizike Ndugu Yao wenyewe? hawa wanawake wanagombania pesa, Sheria za ndoa zibadilishwe kwenye ndoa kila mtu andike mali zake, hutaona haya maigizo ya wanawake
 
kama mwanaume alimkataa kwa nini alikuwa anamfuata huyu mwanamke na kumzuia aiondoke
kwa nini alimwita akiwa anaelekea kwenye umauti?

mambo ya watu ni magumu mno
Jamii inajua waliachana na kesi iko kwa mahakama, kimsingi hakuna ndoa,
 
Yes ndoa mpendane, na mkiona mmeshindwana basi kila mtu ashike 50 zake mapema. More than 10 years kubembeleza mtu arudi afu mtu hataki, labda alikuwa ana imani ipo siku mumewe atakubali kurudi. Au ndiyo kama kawaida yetu wanawake wa kibongo; tunasubirigi waume warudi uzeeni wakiwa wameshajichokea

Huyu hawajakaa miaka kumi apart. Hujamuelewa huyo uliyemquote.
 
Mwaka wa kumi no manenos?
Mume najua Ni mjanja. Mrs anaponea wapi? Maana akigundulika tu......
Siyo siri wapo mji mmoja ila wanaishi tofauti maana waligawana vyumba haikutosha mke kaeenda mbali huko anadanga kivyake na mume anadanga kivyake.
 
Wengi wameingia kupitia ule mgongo wa nanihii bila shaka. Kumbe ndiyo maana nchi inaenda kama gari bovu siku hizi na viongozi wanafanya wanavyotaka. Wabunge hakuna tena siku hizi.
Wabunge wa waliokuwa ndani ya bunge zamani, waliofanya nchi isiende kama gari bovu ni akina nani?
 
Siyo siri wapo mji mmoja ila wanaishi tofauti maana waligawana vyumba haikutosha mke kaeenda mbali huko anadanga kivyake na mume anadanga kivyake.
Ukipata mchepuko Kama huyo Mrs Raha sana. Hawezi kukuambia umnunulie makochi au friji.
Gharama yako beer na gesti tu. Mume bwege atalisha na kulipa bili zote
 
No disrespect Ila angalia mke na mcheps kwa kweli mtatulaumunwanaume tu. Mke kanyoa kiduku sijui panki utadhani house dada, ukicheki mcheps umejazia hatari na unawaka balaa. Wanawake mkiolewa msijisahau bana.
Kuna Uzi unazungumzia hii ishu
 
Back
Top Bottom