Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Sheria imemlinda mke
Mchepuko hatambuliki kisheria ila wote tunajua full story
Kila mtu anataka kuonekana influence yake
Inasikitisha sana inapofika wakati mtu anaweka utu wake pembeni na kujiaminisha viKwa kweli mahusiano ya hivi ni changamoto sanaCheka tu ndugu yangu, sasa mtu ambaye in the eyes of law anahesabika kama bado ni mume wa mtu; anakuvalisha pete wewe kama nani yake? Unaweza ukafunga naye ndoa kama talaka haijatoka?
Balaa nanusu!!Leo Cate kaenda km mtu mwingine yoyote tu?.
Kimeumana pale kdg wazichape.,
Kurusha shada mchezo
Ila mhhh wote watata
Huyu kavunja geti yule katupa shada
Kwa ule weupe mwendazake hajajipuliza nae kweli[emoji15]Malaya tu demonstration zenyewe kwa jamii ndio hizi kuwa na mahawara here and there watashindwa nini kugawa mechi kwenye siasa zao za ngono . Catherine na wenzake wanapigwa mzunguko balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sheria imemlinda mke
Mchepuko hatambuliki kisheria ila wote tunajua full story
Kila mtu anataka kuonekana influence yake
Wanawake hawana kupenda,wao pesa mbeleWanawake kwa nini hampendani lakini 🤔
kama alipita na shabibu basi kweli atakua na ngoma huyo dadaNasikia hata tajiri wa mabasi wa Dodoma ambaye pia ni mbunge alipita nae nyakati Fulani.
Pia nasikia Yule msanii icon nae aliteleza nae
Pia nasikia mbunge Fulani wa huko geita alijiburuza nae
Si Haba
Siku hizi michepuko ni hatari akilala na mwanamme siku moja tu basi tayari baby nakujipa majukumu kuwa naye mke, kama ndiyo anamke imekula kwake, pole wafiwaOnly in Tanzania mchepuko anapigania haki apewe msiba wakati Mke halali yupo hai na mbaya zaidi ni mtunga sheria lakini ndiyo wa kwanza kuvunja sheria [emoji849]
Haijalishi amezikwa wapi, kwa nini mke aliyeachwa na marehemu analazimisha kuzika? marehemu alishamkataa akiwa hai ndoa iko wapi hapo? Kwanini ndugu wa Mumu wasizike Ndugu Yao wenyewe? hawa wanawake wanagombania pesa, Sheria za ndoa zibadilishwe kwenye ndoa kila mtu andike mali zake, hutaona haya maigizo ya wanawakeSorry, hivi mke wa marehemu amegombea mwili au mwili umezikwa nyumbani kwa marehemu ambapo mkewe wa ndoa na watoto wanaishi? Maana sijaelewa mnaposema kuna kugombea mwili. Pia naomba kujua tofauti na hapo alipozikwa angeweza kuzikwa wapi labda? Kwa Magige?
Jamii inajua waliachana na kesi iko kwa mahakama, kimsingi hakuna ndoa,kama mwanaume alimkataa kwa nini alikuwa anamfuata huyu mwanamke na kumzuia aiondoke
kwa nini alimwita akiwa anaelekea kwenye umauti?
mambo ya watu ni magumu mno
Yes ndoa mpendane, na mkiona mmeshindwana basi kila mtu ashike 50 zake mapema. More than 10 years kubembeleza mtu arudi afu mtu hataki, labda alikuwa ana imani ipo siku mumewe atakubali kurudi. Au ndiyo kama kawaida yetu wanawake wa kibongo; tunasubirigi waume warudi uzeeni wakiwa wameshajichokea
Siyo siri wapo mji mmoja ila wanaishi tofauti maana waligawana vyumba haikutosha mke kaeenda mbali huko anadanga kivyake na mume anadanga kivyake.Mwaka wa kumi no manenos?
Mume najua Ni mjanja. Mrs anaponea wapi? Maana akigundulika tu......
Wabunge wa waliokuwa ndani ya bunge zamani, waliofanya nchi isiende kama gari bovu ni akina nani?Wengi wameingia kupitia ule mgongo wa nanihii bila shaka. Kumbe ndiyo maana nchi inaenda kama gari bovu siku hizi na viongozi wanafanya wanavyotaka. Wabunge hakuna tena siku hizi.
Wangefanya ujinga huu nchi isingekuwa hapa ilipo sasa hivi.Wabunge wa waliokuwa ndani ya bunge zamani, waliofanya nchi isiende kama gari bovu ni akina nani?
mambo ya watu ndani ni magumu mnoJamii inajua waliachana na kesi iko kwa mahakama, kimsingi hakuna ndoa,
Nope; tulikuwa tunaongelea scenario ya kina Master JHuyu hawajakaa miaka kumi apart. Hujamuelewa huyo uliyemquote.
Ukipata mchepuko Kama huyo Mrs Raha sana. Hawezi kukuambia umnunulie makochi au friji.Siyo siri wapo mji mmoja ila wanaishi tofauti maana waligawana vyumba haikutosha mke kaeenda mbali huko anadanga kivyake na mume anadanga kivyake.
Kuna Uzi unazungumzia hii ishuNo disrespect Ila angalia mke na mcheps kwa kweli mtatulaumunwanaume tu. Mke kanyoa kiduku sijui panki utadhani house dada, ukicheki mcheps umejazia hatari na unawaka balaa. Wanawake mkiolewa msijisahau bana.