Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Kwa kweli wamama wengine wanawatesa wakamwana wao na kuharibu ndoa zao, ila wanataka mabinti zao wakiolewa ndoa zao zidumu, mama wakwe wakawatende mema. Apandacho mtu, ndicho atakachovuna
Si kama mama dangote nadhani jibu alilipata kwa esma na msizwa[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini umeitaja CCM kwa matendo maovu ya mhusika binafsi? Hata kama angekuwa ni wa CHADEMA, aibu ya mbunge ni aibu kwa taifa zima kwa maana analipwa/alikuwa analipwa kupitia kodi za watanzania wote.
Wakifanya chadema mnasema hawana nidhamu, kwa vile wa CCM mnasema wa wote, double standards

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Lakini kwa Catherine Magige hii ni promo kubwa na ya msingi sana.

Tusisahau kwamba watu kama hawa wajasiriamali wa mapenzi wanategemea "kiki" ku-thrive.

Tulivyo wanaume, sasa hivi kila mwenye pesa ataanza kumwinda the popular politika hot chicka aweze kummega.

She knows it. Amepanda dau.

Kwahiyo kama kuna mtu anadhani Catherine kajishushia heshima, ajikosoe. She's playing a different game in a different field.
Matthew 16:26.. For what will it profit a man if he gains the whole world, but loses his soul?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Ukute hata hapo alipo tayari anaye au anao, tuliotulia hata wakuja kutununualia maji ya kandoro hakuna, bahati za watu hizo [emoji25][emoji25]
Sasa saikolojia ya wanaume iko tofauti,mwanamke anaeruka ruka ndio anatakiwa wenyewe wanaamini atakuwa na mautundu ya kudatisha huyo,sasa wewe ulietulia ka maji ya mtungi wana conclude kabisa kwamba wewe utakuwa na mashida yako ya ndani utaki watu wayajue.
 
sasa saikolojia ya wanaume iko tofauti,mwanamke anaeruka ruka ndio anatakiwa wenyewe wanaamini atakuwa na mautundu ya kudatisha huyo,sasa wewe ulietulia ka maji ya mtungi wana conclude kabisa kwamba wewe utakuwa na mashida yako ya ndani utaki watu wayajue.
Kweli kabisa acha wafaidi uumbaji wa MUNGU ![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom