Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

Hakuna utafiti unaoonyesha wachaga huua wame zao, ni dhana potovu tu kama tunayoijadili hapa, kwa wanaume wengi wenye mali maneno husemwa, haijalishi Mgogo, Mkwere , Mchaga au Mdigo, watanzania tunapenda sana hearsay
Teh teh teeeh!
 


Usanii katika mapenzi uko sana.
 
heri wali mandondo kuliko walimwengu
 
Yaani tajiri anauwawa na maskin anakufa [emoji25][emoji25]
Kifo cha tajiri lazima kiwe na 'sababu'! Hata ukifa kwa malaria watasema kuna mtu alimtegeshea mbu.

Hapo Kenya kuna battle ya kifamilia baada ya Mzee mkongwe kwenye siasa na tajiri kufariki. Mwaka wa zaid ya ishirini suluhu mahakamani haijapatikana. Mawakili wanakula tu mpunga.

Ukifuatilia hata kwa hili la Mzee wetu utaona sasa hivi kama kuna trend flani hivi watu wameshatengeneza na hukumu juu! Hapo pengine kuna baadhi ya 'wanafamilia' wanachekelea tu. Mbesa
 

Kweli kabisa
Na last time nilimwona mzee ana tetemeka kama mgonjwa

Leo hii amekuwa mzima mpaka kusababishiwa kifo [emoji15][emoji15]
 
Mbona hata ww ni mzushi tuu,ww una uhakika gani kama ameua. Acheni jeshi la polis litafanya uchunguzi bwana, Tz tupunguze ushuzi bwana kwan matajiri hawafi kwa kudra za mungu mpaka ausishwe mtu kuua jaman
Sasa kama wanaua, kwanini hawachukuliwi hatua za kisheria?

Serikali haioni?

Acheni uzushi.

Huyu Malaya wa ki2si lazima anyooshwe nyoko ninyi
 
Kwenye kutafuta pesa unajisifia mbele ya jamii ni jadi yenu ila ulivyosikia kuua wanaume zao umesema sio wote mpaka unataka tutoe na ushahidi, kubali kataa kila shilingi ina pande mbili hahahahahshzhs
 
Kweli kabisa
Na last time nilimwona mzee ana tetemeka kama mgonjwa

Leo hii amekuwa mzima mpaka kusababishiwa kifo [emoji15][emoji15]

Mgonjwa huyo uliyemuona ‘last time’ alikuwa na haja gani ya kutangishwa mara Zanzibar mara Dubai, maharusi yote ya mjini, mahafla??? Busara haikutumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…