Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

Hakuna utafiti unaoonyesha wachaga huua wame zao, ni dhana potovu tu kama tunayoijadili hapa, kwa wanaume wengi wenye mali maneno husemwa, haijalishi Mgogo, Mkwere , Mchaga au Mdigo, watanzania tunapenda sana hearsay
Teh teh teeeh!
 
Yaan kikitokea kifo waswahili lazima tutafuta mchawi nan

Hakika bila shaka jack na mzee mengi walikuwa na mapenzi ya dhati walipendana kiukweli hawez kufanya upuuz huo wanaoufikiria hususan kwa baba wa watoto zake kama angefanya hivyo hiyo dhamb ingemsuta maisha yake yote.angeiweka wap sura yake anapokuwa na watoto zake.Acheni uzushi
Binafs bado nilikuwa nayaona mapenzi ya dhati ya jack kwa mzee mengi hata kama angefilisika naamin angeendele kumpenda kwa dhati

Binadamu tusipende kuzua mambo tusiokuwa na hakika nayo. Fitina ni jambo baya sana haswa katika mahusiano ya watu.watu weng walikuwa wanamuonea husda jack kupendwa na mengi na baada ya kutokea hiki kifo wanataka kuzidhihirisha kwa waz husda zao zilizokuwa zimejificha

Justice will prevail
Be strongView attachment 1088944

Usanii katika mapenzi uko sana.
 
heri wali mandondo kuliko walimwengu
 
Yaani tajiri anauwawa na maskin anakufa [emoji25][emoji25]
Kifo cha tajiri lazima kiwe na 'sababu'! Hata ukifa kwa malaria watasema kuna mtu alimtegeshea mbu.

Hapo Kenya kuna battle ya kifamilia baada ya Mzee mkongwe kwenye siasa na tajiri kufariki. Mwaka wa zaid ya ishirini suluhu mahakamani haijapatikana. Mawakili wanakula tu mpunga.

Ukifuatilia hata kwa hili la Mzee wetu utaona sasa hivi kama kuna trend flani hivi watu wameshatengeneza na hukumu juu! Hapo pengine kuna baadhi ya 'wanafamilia' wanachekelea tu. Mbesa
 
Kweli kabisa
Na last time nilimwona mzee ana tetemeka kama mgonjwa

Leo hii amekuwa mzima mpaka kusababishiwa kifo [emoji15][emoji15]
 
Mbona hata ww ni mzushi tuu,ww una uhakika gani kama ameua. Acheni jeshi la polis litafanya uchunguzi bwana, Tz tupunguze ushuzi bwana kwan matajiri hawafi kwa kudra za mungu mpaka ausishwe mtu kuua jaman
Sasa kama wanaua, kwanini hawachukuliwi hatua za kisheria?

Serikali haioni?

Acheni uzushi.

Huyu Malaya wa ki2si lazima anyooshwe nyoko ninyi
 
Kwenye kutafuta pesa unajisifia mbele ya jamii ni jadi yenu ila ulivyosikia kuua wanaume zao umesema sio wote mpaka unataka tutoe na ushahidi, kubali kataa kila shilingi ina pande mbili hahahahahshzhs
Povu halikusaidii kyasaka.

Pesa natafuta maana ni jadi yangu, ni jadi yetu, na hilo mnalijua.

Lazima ukweli uwekwe bayana. Msitutoe kwenye mstari na povu zenu kama vipi mkafulie.

Kama mamlaka zitasema hakuna shida, basi, na iwe hivyo, ila kama kuna shida bas wazimalize kihalali.

Kimila pia zitamalizwa, na maisha yasonge!

Unasikia we kyasaka?
 
Kweli kabisa
Na last time nilimwona mzee ana tetemeka kama mgonjwa

Leo hii amekuwa mzima mpaka kusababishiwa kifo [emoji15][emoji15]

Mgonjwa huyo uliyemuona ‘last time’ alikuwa na haja gani ya kutangishwa mara Zanzibar mara Dubai, maharusi yote ya mjini, mahafla??? Busara haikutumika.
 
Back
Top Bottom