Pole Mama. Tulikuambia ukimnyanyasa Lissu nuksi hazitaisha

Pole Mama. Tulikuambia ukimnyanyasa Lissu nuksi hazitaisha

Kwani mzee Ali Kibao aliandamana na kuchoma miundombinu?
Kwanini ninyi msiwakamate na kuwapeleka mahakamani waliochoma miundombinu?

MZEE KIBAO jambo lake zito ndiomana

Mzee mbowe alikaa kimya

Muhimu tu kujua kuna watu wanatembea na Viapo vya Vifo wamesaini kwa mikono yao wenyewe❗️
na wamekula mema mengi
ya kodi yako🫎

Tosheka na maelezo yangu✍️
 
Lakini Jambo zito hilo angeweza kufikishwa mahakamani na akahukumiwa kifungo au kifo.
Kwanini hakupewa haki hiyo uliyo omba waliochoma wangeitumia MO29?
 
Kwani mzee Ali Kibao aliandamana na kuchoma miundombinu?
Kwanini ninyi msiwakamate na kuwapeleka mahakamani waliochoma miundombinu?

Hakukuwa na Polisi wakuwakamata
Ndiomana ukitaka kufanya Maandamano unatakiwa kufuata miongozo ya Sheria

Yumkin wangeifata wangeambiwa
Msiandamane ktk week hiii
Sababu za msingi hatuna polisi wa kuakikishia Usalama wenu
Manake Polisi wengi wapo kwenye kulinda vituo vya Uchaguzi ✅️

Lkn waliofanya yale walijua kwao ndio siku njema fursa nzuri
Sababu polisi wengi wapo bize kulinda vituo vya Uchaguzi 🫎🫎🫎🫎 🫎🫎

Waza tu Uchaguzi ni wa nchi
nzima manake Polisi wengi watakuwa kulinda vituo vya Uchaguzi

Nanyinyi siku iyoiyo mnataka kuandamana
Eti tena Nchi nzima
Kama lengo sio kuwatoa kafara Watoto wawatu mana lazima Wanajeshi wangeingia
kivyovyote ‼️‼️‼️
 
Waliouwa watu kwa bunduki kumbe hawakuwa askari polisi?! 🤔
Kwanini wasiwasikilize vijana wanachotaka unafanya nao mazungumzo hata ya kuwalaghai kisha wakitulia unajipanga kuwakamata taratibu ziku nyingine?
 
Lakini Jambo zito hilo angeweza kufikishwa mahakamani na akahukumiwa kifungo au kifo.
Kwanini hakupewa haki hiyo uliyo omba waliochoma wangeitumia MO29?

Uwelewa wako unatatizo kidogo

Mahakamani ipo sio kwa wale wenye kusaini Vifo vyao🫎🫎

Uyu unampeleka kufanya nini Mahakamani 🫎🫎🫎

unajua Sababu za kusaini kiapo cha Kifo🫎🫎

Potezea uyo Mzee mungu Amrehemu🤲🤲 Mzee wetu
Kibao ✍️
 
Kifo sio nuksi we Mshamba
wawapi
Brother 🫎🫎

Viumbe wote wanakufa wewe kwenu hakuna kifo 🫎🫎❗️

Ivi unajua yule Mzee H. A Mungu Amrehemu anamiaka mingapi 🫎🫎

Kifo kama kile vipi kiwe
nuksi ❗️

Lkn zaidi nyinyi mmejazwa Upumbavu
Makanisani kwenu

Mnadanganywa kikondoo
Sawa tu na waumini wa Mchungaji Joseph kibweteere pale Uganda
Akawachoma waumini
wake kondoo kama nyinyi mia 900
Mpaka leo yupo Lupango

Naomba
Kwa heshima nikuulize swali
dogo ??

Unaamini kwamba kama Rais asingekuwa Rais Dk Samia Suluhu Hassan

Na nyinyi mkafanya kama ya Mo29 yale yale Katiba na Sheria za Uchaguzi mkaenda kuzidai kwenye Miundombinu ya Jamhuri
na yawatu Binafsi
Kwaku kuchoma MOTO

Badala ya Mahakamani ❗️

Kwamba
Msingeuwawa ❓️❓️❓️
Wazuri HAWAFI.
 
Uwelewa wako unatatizo kidogo

Mahakamani ipo sio kwa wale wenye kusaini Vifo vyao🫎🫎

Uyu unampeleka kufanya nini Mahakamani 🫎🫎🫎

unajua Sababu za kusaini kiapo cha Kifo🫎🫎

Potezea uyo Mzee mungu Amrehemu🤲🤲 Mzee wetu
Kibao ✍️
Sawa mkuu.
Court martial ...
Tufunge mjadala hapa.
 
Hivyo unakiri kuwa Polisi kwa amri ya Malaya Samuya ndio walioua Watanganyika zaidi ya elfu kumi... sio..???

Umesema wewe sio mimi
Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Hajawai kugusa Damu ya yoyote ni Msafi mwenye Baraka nyingi za Mungu👈

yupo pale mzima Sababu Mungu mwenye nguvu
Anajua kiumbe wake Niyeye kwa mapenzi yake ndio kampa majukumu ya kuwatumikia Watanzania pamoja naww na familia yako👈

Nyinyi ni Watoto wake kuna wakati Watoto wanawatukana
Wazazi wao mpaka
Mungu wao ‼️

RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN ni mwenye Moyo mgumu mwenye Tumaini kwa Mungu wake zaidi kuliko kusubiria mumwambie Asante👈

Mungu wake akiwa radhi nayeye kwake kafanikiwa zaidi kuliko wewe kumwambia Asante ✍️
 
Mungu yupi atawapenda zaidi?
Which is so special about Lissu.
Umasikini na roho mbaya ndiyo inayokusumbua.
Kukaa na kutafakari juu ya matendo Yako na wapi umeanguka, pia ni akili

Usipofanya hivyo, utakumbushwa

Anakumbusha huyo mshirika wako
 
Umesema wewe sio mimi
Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Hajawai kugusa Damu ya yoyote ni Msafi mwenye Baraka nyingi za Mungu👈

yupo pale mzima Sababu Mungu mwenye nguvu
Anajua kiumbe wake Niyeye kwa mapenzi yake ndio kampa majukumu ya kuwatumikia Watanzania pamoja naww na familia yako👈

Nyinyi ni Watoto wake kuna wakati Watoto wanawatukana
Wazazi wao mpaka
Mungu wao ‼️

RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN ni mwenye Moyo mgumu mwenye Tumaini kwa Mungu wake zaidi kuliko kusubiria mumwambie Asante👈

Mungu wake akiwa radhi nayeye kwake kafanikiwa zaidi kuliko wewe kumwambia Asante ✍️
Anawatumikia?

Kwa kuruhusu utekaji na umwagaji damu nchini?
 
Wazazi wako wamekufa , wewe utakufa na kila mtu atakufa ...
 
Mmeona wanaharakati wanaipost
FB_IMG_1758911940479.jpg
FB_IMG_1759635955078.jpg
 
Wanasiasa uchwara wameanda kuwapambanisha na Mapolisi

Mkafa kama nyumbu Mto Mara
Mshangao wachochezi Wote Watoto wao wapo Salama

Lkn watoto wa masikini ndio
chambo chao 😥😥

Mshangao mwengine yumkin Baba za Watoto wale wamekufa
Wanachukia Mh Lissu kuwekwa Lupango

Kweli kuongoza Mtu mweusi ushindwe wewe tu
Wakishakuamini basi yamekuwa Mazezeta yako🤠🤠🤠🤠‼️
downloadfile-7.jpg

Kula chuma hicho
 
Back
Top Bottom