Pole Mama. Tulikuambia ukimnyanyasa Lissu nuksi hazitaisha

Kwani mzee Ali Kibao aliandamana na kuchoma miundombinu?
Kwanini ninyi msiwakamate na kuwapeleka mahakamani waliochoma miundombinu?

MZEE KIBAO jambo lake zito ndiomana

Mzee mbowe alikaa kimya

Muhimu tu kujua kuna watu wanatembea na Viapo vya Vifo wamesaini kwa mikono yao wenyewe❗️
na wamekula mema mengi
ya kodi yako🫎

Tosheka na maelezo yangu✍️
 
MZEE KIBAO jambo lake zito ndiomana

Mzee mbowe alikaa kimya

Muhimu tu kujua kuna watu wanatembea na Viapo vya Vifo wamesaini kwa mikono yao wenyewe❗️
na wamekula mema mengi
ya kodi yako🫎

Tosheka na maelezo yangu✍️
Lakini Jambo zito hilo angeweza kufikishwa mahakamani na akahukumiwa kifungo au kifo.
Kwanini hakupewa haki hiyo uliyo omba waliochoma wangeitumia MO29?
 
Kwani mzee Ali Kibao aliandamana na kuchoma miundombinu?
Kwanini ninyi msiwakamate na kuwapeleka mahakamani waliochoma miundombinu?

Hakukuwa na Polisi wakuwakamata
Ndiomana ukitaka kufanya Maandamano unatakiwa kufuata miongozo ya Sheria

Yumkin wangeifata wangeambiwa
Msiandamane ktk week hiii
Sababu za msingi hatuna polisi wa kuakikishia Usalama wenu
Manake Polisi wengi wapo kwenye kulinda vituo vya Uchaguzi ✅️

Lkn waliofanya yale walijua kwao ndio siku njema fursa nzuri
Sababu polisi wengi wapo bize kulinda vituo vya Uchaguzi 🫎🫎🫎🫎 🫎🫎

Waza tu Uchaguzi ni wa nchi
nzima manake Polisi wengi watakuwa kulinda vituo vya Uchaguzi

Nanyinyi siku iyoiyo mnataka kuandamana
Eti tena Nchi nzima
Kama lengo sio kuwatoa kafara Watoto wawatu mana lazima Wanajeshi wangeingia
kivyovyote ‼️‼️‼️
 
Waliouwa watu kwa bunduki kumbe hawakuwa askari polisi?! 🤔
Kwanini wasiwasikilize vijana wanachotaka unafanya nao mazungumzo hata ya kuwalaghai kisha wakitulia unajipanga kuwakamata taratibu ziku nyingine?
 
Lakini Jambo zito hilo angeweza kufikishwa mahakamani na akahukumiwa kifungo au kifo.
Kwanini hakupewa haki hiyo uliyo omba waliochoma wangeitumia MO29?

Uwelewa wako unatatizo kidogo

Mahakamani ipo sio kwa wale wenye kusaini Vifo vyao🫎🫎

Uyu unampeleka kufanya nini Mahakamani 🫎🫎🫎

unajua Sababu za kusaini kiapo cha Kifo🫎🫎

Potezea uyo Mzee mungu Amrehemu🤲🤲 Mzee wetu
Kibao ✍️
 
Wazuri HAWAFI.
 
Sawa mkuu.
Court martial ...
Tufunge mjadala hapa.
 
Hivyo unakiri kuwa Polisi kwa amri ya Malaya Samuya ndio walioua Watanganyika zaidi ya elfu kumi... sio..???

Umesema wewe sio mimi
Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Hajawai kugusa Damu ya yoyote ni Msafi mwenye Baraka nyingi za Mungu👈

yupo pale mzima Sababu Mungu mwenye nguvu
Anajua kiumbe wake Niyeye kwa mapenzi yake ndio kampa majukumu ya kuwatumikia Watanzania pamoja naww na familia yako👈

Nyinyi ni Watoto wake kuna wakati Watoto wanawatukana
Wazazi wao mpaka
Mungu wao ‼️

RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN ni mwenye Moyo mgumu mwenye Tumaini kwa Mungu wake zaidi kuliko kusubiria mumwambie Asante👈

Mungu wake akiwa radhi nayeye kwake kafanikiwa zaidi kuliko wewe kumwambia Asante ✍️
 
Mungu yupi atawapenda zaidi?
Which is so special about Lissu.
Umasikini na roho mbaya ndiyo inayokusumbua.
Kukaa na kutafakari juu ya matendo Yako na wapi umeanguka, pia ni akili

Usipofanya hivyo, utakumbushwa

Anakumbusha huyo mshirika wako
 
Anawatumikia?

Kwa kuruhusu utekaji na umwagaji damu nchini?
 
Wazazi wako wamekufa , wewe utakufa na kila mtu atakufa ...
 

Kula chuma hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…