Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,332
- 7,406
Dada hii sio sehemu ya kuchezea taarabu na vibao kata vyenu hapa . Lakini hata hivyo umeshamaliza eda?Mungu yupi atawapenda zaidi?
Which is so special about Lissu.
Umasikini na roho mbaya ndiyo inayokusumbua.
Kwani yeye alivyouwa vijana October 29 alikuwa anafikiri huyo basha wake angeishi milele?Kwani wewe utaishi milele!!!!!
Sawa mama. Ushampikia mumeo.Dada hii sio sehemu ya kuchezea taarabu na vibao kata vyenu hapa . Lakini hata hivyo umeshamaliza eda?
Umekosea mimi ni baba mlezi nipo Na mama yako huku kliniki wiki mbili zijazo utapata mdogo wako. Vipi wewe na mumeo wasira mnaendeleaje?Sawa mama. Ushampikia mumeo.
Hilo la kuita nux siko huko kabisa ,kwanza binafsi nampa pole mama na familia yake ,ila kutoweza iambia nafsi yako ukweli huuUngejielekeza kujibu sio kutaka kujua usiemfahamu🫎🫎🫎
Mimi nimejielekeza kujibu ujinga wa kuita kifo Nuksi nk❗️
Manake Baba zetu Mama zetu Babu zetu Bibi zetu waliokufa kwamba nk ni Nuksi 🤠
Bado naskia JK anaendelea vizuri kaandika mange alipanda pressure na sukar ya kawaida akapelekwa makumbusho wamempeleka kwake anaendelea poa ,wabongo wamefurahia hii hali sio njemaNimeambiwa Peter Msechu yuko studio tayari
Nuski gani babu kazaliwa mwaka 1934, wewe utafika umri huo?Sasa Mama atapigwa ndugu zake Mungu atawapenda zaidi
Msoga naye wa bagamoyo anasubiri tu
Acheni unyanyasaji tubuni kwa Mungu bila hivyo mtakwisha
Wewe nguruwe siku nchi ikikombolewa ni kuwauwa tu hakuna jingine tena mtauwawa kama Samwel Doe wa Liberia mchana kweupe mitaani labda mkimbie na Koo zenu.Ungejielekeza kujibu sio kutaka kujua usiemfahamu🫎🫎🫎
Mimi nimejielekeza kujibu ujinga wa kuita kifo Nuksi nk❗️
Manake Baba zetu Mama zetu Babu zetu Bibi zetu waliokufa kwamba nk ni Nuksi 🤠