Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Tatizo akina Okwi, Kotei na Niyonzima hawakuwa sehemu ya timu jana. Wangekuwepo hao wanaume Simba angepindua meza.Kitu walichofanya Township rollers Kwa mkapa ndicho walichofanya UD songo.DK za mapema wafanye yao.Tofauti ya Yanga na simba.Yanga tulivyofungwa dk 8 hatukupanik tukatulia kusawazisha. Mapema tukapata mkwaju tukakosa.tukasawazisha mwishon.wenzetu simba walipofungwa wakapoteana.kila mtu akawa anacheza kwa uwezo binafsi.Hatimaye wakasawazisha kwa mkwaju mwishoni kama sisi.Bila shaka walijua watavuka kama walivyofuka kwa nkana mwaka jana.
Mkuu unaanzaje kusema haya wakati kikosi hiki tulichosajili tumeambiwa ndo cha kimataifa cha kupambana na akina al ahly na mazembe? Je ina maana unataka kupingana na uongozi wa timuTatizo akina Okwi, Kotei na Niyonzima hawakuwa sehemu ya timu jana. Wangekuwepo hao wanaume Simba angepindua meza.
Mkuu tangu mwanzo sikuafiki huo usajili wao. Ndio maana nasema hayo!Mkuu unaanzaje kusema haya wakati kikosi hiki tulichosajili tumeambiwa ndo cha kimataifa cha kupambana na akina al ahly na mazembe? Je ina maana unataka kupingana na uongozi wa timu
Wauza madafu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wale wabrazil wa mabox
Dah! So sadMkuu tangu mwanzo sikuafiki huo usajili wao. Ndio maana nasema hayo!
Bara la antakitikaSimba kutolewa kwenye mashindano haiondoi ukweli ya kwamba simba ni bara kuliko yanga.
Nipo bwana shemeji, tunapishana tu.Bwa shemeji long time no see
Dah! So sad
Hivi kwanini wale Wabrazil hawachezi?Mkuu tangu mwanzo sikuafiki huo usajili wao. Ndio maana nasema hayo!
Wewe wasemaHilo jicho ni lako Mkuu?
Mpira unadunda,mpira sio mbwembwe ,mpira ni mbinu.Simba wamecheza vzr sn lakini mwisho wa siku katolewa.Hatua hii ya mtoano ni hatua katili sn. Leo watu watatukana na kusema meeengi sn lakini kwetu wapenzi halisi wa mpira,maumivu km haya hutokea kila msimu.Simba tulieni,hakuna wa kulaumiwa si kocha wala wachezaji. Karibu sn matopeni mjiandae msimu ujao. Wanaume tumerudi kwenye kiti chetu. Hahaaaa
Ubora wake ndio maana kachomolewaSimba kutolewa kwenye mashindano haiondoi ukweli ya kwamba simba ni bara kuliko yanga.
Alishia kujiramba midomo tuHivi yule jamaa mwenye sura ya ajabu kagere alikuwepo uwanjani!?
Hivi kwa nini wamemuacha kotei na Niyonzima?Tatizo akina Okwi, Kotei na Niyonzima hawakuwa sehemu ya timu jana. Wangekuwepo hao wanaume Simba angepindua meza.
Wale wamekuja kumtishia Yanga nyau. Hamna kitu paleHivi kwanini wale Wabrazil hawachezi?
Subirini "mtange tange angani" mara paaa,mnarudi mlipotoka na kusubiri "viti maalum" tena!Lwandamila anawacheki tu.Mpira unadunda,mpira sio mbwembwe ,mpira ni mbinu.Simba wamecheza vzr sn lakini mwisho wa siku katolewa.Hatua hii ya mtoano ni hatua katili sn. Leo watu watatukana na kusema meeengi sn lakini kwetu wapenzi halisi wa mpira,maumivu km haya hutokea kila msimu.Simba tulieni,hakuna wa kulaumiwa si kocha wala wachezaji. Karibu sn matopeni mjiandae msimu ujao. Wanaume tumerudi kwenye kiti chetu. Hahaaaa
Alicheza dakika zote 90 lakini kwa bahati mbaya hakufurukuta hata kidogo! baada ya kukutana na mabeki katili wa UD songo waliomkaba mwanzo mwisho na hivyo kuishia kukimbia kimbia na kuruka ruka tu uwanjani.
Sisi MIKIA tunawazidi nini ndalaSimba kutolewa kwenye mashindano haiondoi ukweli ya kwamba simba ni bara kuliko yanga.
Tatizo akina Okwi, Kotei na Niyonzima hawakuwa sehemu ya timu jana. Wangekuwepo hao wanaume Simba angepindua meza.