Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Nakubaliana na wewe. Tupunguze ujinga wetu kwa kusoma, tutafute na kujiongezea maarifa. Vitabu vipo na machapicho mengine yapo. Udanganyifu kwenye chaguzi umekuwepo wakati mwingi. Sokoine alipochaguliwa kuwa mbunge 1965, mchango wake wa kwanza bungeni alizungumzia mambo matano, na matatu ya mwanzo yaligusa udanganyifu kwenye uchaguzi. Kinachobadilika kadri tunavyokwenda mbele ni njia za udanganyifu ila si udanganyifu wenyewe kwani udanganyifu ni udanganyifu. Tukipunguza ujinga na wajinga tutatibu matatizo yetu mengi. Tuache kuwa reactive tuwe proactive.Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.
Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information.
Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema ujinga nchini umeongezeka hadi 16%, ni kwa sababu tunapenda kusikiliza mambo ya uongo uongo tu.
Leo hata akisema Magu aliuawa, Nkapa aliuawa, Mwinyi aliuawa watanzania wanakubali tu
Lkn kumhoji hawamhoji, hatari sana
Matapeli ya CCM yameumia haswaPole pole is Go's messenger .
Just imagine watu wanaamka Ahsubui , wanapanga foleni , wanaudhuria mikutano .
Yote haya is useless kwakuwa mshindi anajulikana .
Alichofanya ni kikubwa Sana he deserve 👊🏼
Sema amegundua Mimi ni MPUMBAVUManipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.
Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information.
Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema ujinga nchini umeongezeka hadi 16%, ni kwa sababu tunapenda kusikiliza mambo ya uongo uongo tu.
Leo hata akisema Magu aliuawa, Nkapa aliuawa, Mwinyi aliuawa watanzania wanakubali tu
Lkn kumhoji hawamhoji, hatari sana
Huyu mleta uzi ni tapeli ameona mrija unaenda kukatwa. Shenzi type, pambania kesho ya watoto wako badala ya kuweka tumbo lako mbele.Kasema anataka kupinga alete expert wa IT asiye na upande wowote akathibitishe asa we unakuja na domo lako tu eti Tanzania asilimia 16 ni wajinga na taasisi hizo za mchongo ndio zikasema samia anapendwa na asilimia 83 ya watanzania 🙂 mavi yake..
Unamaliza bando lako tu, jamaa anasepa na kijiji kizimaAambiwe kile kile alichokuwa anasema "watanzania wanataka maji vijijini sio katiba "😂
Ni zamu yake kuyajua maumivu ya mkuki na asipojiangalia atazeekea na kufia huko huko nje, huyo Pole polehizi hasira zake ni za kutetea maslahi yake hana uzalendo wowote ule, kumbukeni kipindi ambacho alikuwa na cheo alikuwa ana huu moto ?
TAKATAKAManipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.
Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information.
Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema ujinga nchini umeongezeka hadi 16%, ni kwa sababu tunapenda kusikiliza mambo ya uongo uongo tu.
Leo hata akisema Magu aliuawa, Nkapa aliuawa, Mwinyi aliuawa watanzania wanakubali tu
Lkn kumhoji hawamhoji, hatari sana
unafikili watanzania wajinga kwa sasa msomi wa chuo ndiye bodadoda ,watu wanazo fununu sema wanataka nani aseme anayejua vizuri ,nrne ilikuwa sahihi sana ndio maana vita imekuwa kubwaManipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.
Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information.
Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema ujinga nchini umeongezeka hadi 16%, ni kwa sababu tunapenda kusikiliza mambo ya uongo uongo tu.
Leo hata akisema Magu aliuawa, Nkapa aliuawa, Mwinyi aliuawa watanzania wanakubali tu
Lkn kumhoji hawamhoji, hatari sana
Yaani umeona watanzania ni wajinga na wewe ndo mwenye akili. Wanao ua ni watanzania na wanaouwa ni watanzania; wanaosema ni watanzania na wanaosikiliza ni watanzania; wanaoamini ni watanzania na wasioamini ni watanzania, usiwapangie watanzania cha kuamni na kutokuamini; weka fact zako ili wasiamini wanayoyasikia kutoka kwa watanzania wenzao.Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.