Pole Pole amegundua watanzania bado wajinga kwa hiyo anafanya Political Manipulation

Nakubaliana na wewe. Tupunguze ujinga wetu kwa kusoma, tutafute na kujiongezea maarifa. Vitabu vipo na machapicho mengine yapo. Udanganyifu kwenye chaguzi umekuwepo wakati mwingi. Sokoine alipochaguliwa kuwa mbunge 1965, mchango wake wa kwanza bungeni alizunguzia mambo matano na matatu ya mwanzo yaligusa udanganyifu kwenye uchaguzi. Kinachobadilika kadri tunavyokwenda mbele ni njia za udanganyifu ila si udanganyifu wenyewe kwani udanganyifu ni udanganyifu. Tukipunguza ujinga na wajinga tutatibu matatizo yetu mengi. Tuache kuwa reactive tuwe proactive.
Una hoja na utafika mbali😆ubarikiwe,, alichoeleza Polepole ni wizi wa kura ambao ulikuwepo kwenye vipindi vyote vya uchaguzi,,,kubadili mbinu hakumaanishi Sasa ndio wizi unaanza.
 
Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.

Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information.

Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema ujinga nchini umeongezeka hadi 16%, ni kwa sababu tunapenda kusikiliza mambo ya uongo uongo tu.

Leo hata akisema Magu aliuawa, Nkapa aliuawa, Mwinyi aliuawa watanzania wanakubali tu

Lkn kumhoji hawamhoji, hatari sana
Anamanipyulyua makalio yako?Pambafff kabisa wewe!
 
Acha Porojo Na Vi-english Vingi Vya Kindergarten,suala Ni Kwamba Nyie Ni Majambazi Na Mmeshawekwa Mtu Kati.
Unataka Tumsikilize Nani Ambaye Atasema Ukweli ? CCM ?
Hivi Saizi Unapost Ujinga Huu,unakaa Kwa Shemeji Yako,na Unalala Sebuleni Kwenye Viti.
 
Pole pole kasema hivi,kama ninachosema ni cha uongo pelekeni vijana wenu wakaangalie kama hakuna cable kutoka CCM kwenda NIDA na tume(sasa hapa manipulation hiko wapi?)

Swali jepesi mumefanya intergration ya database za NIDA na tume kwenu au hamjafanya?

Kama ni kweli taarifa za wananchi ambao wengine si wanachama wenu mnataka za nini?(kwa maelezo yake ni kwamba amjapewa API bali mumefanya direct connection kwenye servers za hizo taasisi ndio maana kasema kuna waya sijui cable,mnajua mlichokifanya)
 
Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.

Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information.

Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema ujinga nchini umeongezeka hadi 16%, ni kwa sababu tunapenda kusikiliza mambo ya uongo uongo tu.

Leo hata akisema Magu aliuawa, Nkapa aliuawa, Mwinyi aliuawa watanzania wanakubali tu

Lkn kumhoji hawamhoji, hatari sana
Wewe.ndiye mjinga. Political manipulation for what reason?
 
Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.

Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information.

Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema ujinga nchini umeongezeka hadi 16%, ni kwa sababu tunapenda kusikiliza mambo ya uongo uongo tu.

Leo hata akisema Magu aliuawa, Nkapa aliuawa, Mwinyi aliuawa watanzania wanakubali tu

Lkn kumhoji hawamhoji, hatari sana
Ama wewe ni mwendawazimu nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa nitakundika. Mafala wenzio huko huko. Sasa unaongea ondoka hapa.
 
Naona unatuandikia notes za political science wakati wengine tunaishi bila kunukuu...
Manipulation ni kukataa wanamtandao au ni nini?
Manipulation ni kushauri kuheshimu misingi au?
Manipulation ni kutokusifia wakubwa au?
.............
 
Back
Top Bottom