Pole Pole amegundua watanzania bado wajinga kwa hiyo anafanya Political Manipulation

Una hoja na utafika mbali😆ubarikiwe,, alichoeleza Polepole ni wizi wa kura ambao ulikuwepo kwenye vipindi vyote vya uchaguzi,,,kubadili mbinu hakumaanishi Sasa ndio wizi unaanza.
 
Anamanipyulyua makalio yako?Pambafff kabisa wewe!
 

Acha Porojo Na Vi-english Vingi Vya Kindergarten,suala Ni Kwamba Nyie Ni Majambazi Na Mmeshawekwa Mtu Kati.
Unataka Tumsikilize Nani Ambaye Atasema Ukweli ? CCM ?
Hivi Saizi Unapost Ujinga Huu,unakaa Kwa Shemeji Yako,na Unalala Sebuleni Kwenye Viti.
 
Pole pole kasema hivi,kama ninachosema ni cha uongo pelekeni vijana wenu wakaangalie kama hakuna cable kutoka CCM kwenda NIDA na tume(sasa hapa manipulation hiko wapi?)

Swali jepesi mumefanya intergration ya database za NIDA na tume kwenu au hamjafanya?

Kama ni kweli taarifa za wananchi ambao wengine si wanachama wenu mnataka za nini?(kwa maelezo yake ni kwamba amjapewa API bali mumefanya direct connection kwenye servers za hizo taasisi ndio maana kasema kuna waya sijui cable,mnajua mlichokifanya)
 
Wewe.ndiye mjinga. Political manipulation for what reason?
 
Ama wewe ni mwendawazimu nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa nitakundika. Mafala wenzio huko huko. Sasa unaongea ondoka hapa.
 
Naona unatuandikia notes za political science wakati wengine tunaishi bila kunukuu...
Manipulation ni kukataa wanamtandao au ni nini?
Manipulation ni kushauri kuheshimu misingi au?
Manipulation ni kutokusifia wakubwa au?
.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…