Pole pole napigania NRNE au kuwaondoa wanamtandao ndani ya ccm?

kunowa

Member
Joined
Oct 30, 2024
Posts
49
Reaction score
61
Kama kuna mtu mnafiki na basi huyu Pole pole, hutuba zake za mwanzo alikuwa anadai kurudiwa kwa mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi kwa upande wa CCM ili waingie vizuri kwenye uchaguzi, hakuwa kinyume na uchaguzi. Lengo likiwa na kufanya mabadiliko yatakayo waondoa wanamtandao ndani ya CCM.
Hotuba ya Jana imejikita namna CCM inavyoiba kura kupitia combination ya NIDA+CCM+NEC kwa hiyo akawataka watanzania wasishiriki uchaguzi. Maswali kwake.
1. Inge kuwa CCM imekubali mapendekezo yake ya awali, hili la wizi wa kura angelizungumza?
2. NIDA imeanza kwa Mara ya kwanza kuandikshwa mwaka 2015 tena September, ambapo uchaguzi uliomuingiza yeye madarakani na kuwakasirisha msoga ulifanyika. Anaweza kutuambia ni uchaguzi gani hasa huu mfumo wa wizi ulitumika hasa?
Maana huko nyuma wakati wa wahuni wapinzani bungeni walikuwa wengi, kuliko uchaguzi wa 2020 ndio uliwatoa wapinzani karibia wote bungeni.
Lakini kipindi cha 2016-2021 ndio kipindi kilichoshuhudia uvunjaji mkubwa wa katiba yetu hata hii mbovu iliyopo kuliko vipindi vyote vya nchi yetu, sasa pole pole atuambie yeye na wana mtandao nani wahuni zaidi?
Kosa wa alifanya wapinzani nchi hii ni kuzani utawala wa mwanamke ndio njia rahisi ya wao kuingia madarakani kwa kudhani kuwa mwanamke ni dhaifu, hivyo wanaweza kumtukana, kumdhihaki na kumfanyia kila aina ya dharau na utovu wa nidhamu ili kumdhoofisha ili waingie ikulu kirahisi, hicho ndicho kinachomfanya mamlaka ijihami, na iache ile dhamira ya mwanzo ya maridhiano.
Wa kwanza kuvunja maridhiano ni wapinzani, hasa kwa kutofanya siasa za kiistarabu, hakuna maridhiano kama unahibiri chuki, matusi na kashfa.
Hamna jinsi samia anaweza kuwa adui kwa mtu alimtembelea kumuona Nairobi, na akamfuata Ulaya, ilikuwa ni upendo wa aina yake, lakini alionyesha upendo kwa mtu ambae ana chuki nae.
Kwakifupi matarajio ya samia ya just politics yalikwamishwa na wakina Lissu. Kwa tamaa ya madaraka, kwakuona mwanamke ni rahisi kumuondoa, no wonder wanataka kuvunja katiba uchaguzi usiwepo.
Samia anasema niliapa kuilinda katiba hii, na uchaguzi ni kipengele ndani ya kayiba hii niliyoapa kuilinda, tena kwa kitabu kitakatifu. Uchaguzi utakuwepo lakini kwakutumia katiba hii tutaibadilisha kuipata mpya nyingine.
 
Usituchoshe:

IMG_20240428_070927.jpg
 
Pole pole ndio muumini namba Moja wa kuvunja katiba, no wonder walitaka kumuondoa Samia kwa kuvunja katiba baada ya kifo cha Magufuli. Huyu hawezi kuwa mzalendo ni anatetea mtandao waliouunda wao ndani ya CCM na unepigwa KO
 
Mungu aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu ili ampige kwa mapigo makuu
New bombs coming just wait
 
Kama kuna mtu mnafiki na basi huyu Pole pole, hutuba zake za mwanzo alikuwa anadai kurudiwa kwa mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi kwa upande wa CCM ili waingie vizuri kwenye uchaguzi, hakuwa kinyume na uchaguzi. Lengo likiwa na kufanya mabadiliko yatakayo waondoa wanamtandao ndani ya CCM.
Hotuba ya Jana imejikita namna CCM inavyoiba kura kupitia combination ya NIDA+CCM+NEC kwa hiyo akawataka watanzania wasishiriki uchaguzi. Maswali kwake.
1. Inge kuwa CCM imekubali mapendekezo yake ya awali, hili la wizi wa kura angelizungumza?
2. NIDA imeanza kwa Mara ya kwanza kuandikshwa mwaka 2015 tena September, ambapo uchaguzi uliomuingiza yeye madarakani na kuwakasirisha msoga ulifanyika. Anaweza kutuambia ni uchaguzi gani hasa huu mfumo wa wizi ulitumika hasa?
Maana huko nyuma wakati wa wahuni wapinzani bungeni walikuwa wengi, kuliko uchaguzi wa 2020 ndio uliwatoa wapinzani karibia wote bungeni.
Lakini kipindi cha 2016-2021 ndio kipindi kilichoshuhudia uvunjaji mkubwa wa katiba yetu hata hii mbovu iliyopo kuliko vipindi vyote vya nchi yetu, sasa pole pole atuambie yeye na wana mtandao nani wahuni zaidi?
Kosa wa alifanya wapinzani nchi hii ni kuzani utawala wa mwanamke ndio njia rahisi ya wao kuingia madarakani kwa kudhani kuwa mwanamke ni dhaifu, hivyo wanaweza kumtukana, kumdhihaki na kumfanyia kila aina ya dharau na utovu wa nidhamu ili kumdhoofisha ili waingie ikulu kirahisi, hicho ndicho kinachomfanya mamlaka ijihami, na iache ile dhamira ya mwanzo ya maridhiano.
Wa kwanza kuvunja maridhiano ni wapinzani, hasa kwa kutofanya siasa za kiistarabu, hakuna maridhiano kama unahibiri chuki, matusi na kashfa.
Hamna jinsi samia anaweza kuwa adui kwa mtu alimtembelea kumuona Nairobi, na akamfuata Ulaya, ilikuwa ni upendo wa aina yake, lakini alionyesha upendo kwa mtu ambae ana chuki nae.
Kwakifupi matarajio ya samia ya just politics yalikwamishwa na wakina Lissu. Kwa tamaa ya madaraka, kwakuona mwanamke ni rahisi kumuondoa, no wonder wanataka kuvunja katiba uchaguzi usiwepo.
Samia anasema niliapa kuilinda katiba hii, na uchaguzi ni kipengele ndani ya kayiba hii niliyoapa kuilinda, tena kwa kitabu kitakatifu. Uchaguzi utakuwepo lakini kwakutumia katiba hii tutaibadilisha kuipata mpya nyingine.
kwani huyo sa100 atatawala milele, anyway, kuna siku na saa itafika atajutia kila kitu alichomfanyia LISSU na watanganyika
 
Back
Top Bottom