Pole sana Flora Mbasha, huyo ndo Lucifer

Anatia kichefu chefu kwa kutaka kurudiana nae, hana aibu kabisa.

Kaka wa watu aendelee salama na maisha yake. Na apate mke mwema na wapate watoto wawape furaha
 
"Tusamehe makosa yetu kama sisi nasi tunavyowasemehe wanaotukosea". Mtu anikosee mara ngapi nimsamhe? Hata saba mara sabini. Mbasha, msamehe mkeo kama unataka kuiona mbingu. Hapa duniani hatuna mji udumuo. Hujui unaondoka lini. Kumbuka kifo hakina kanuni. Ebu jihoji, Je, hujawahi kumkosea mkeo? Basi msamehe. Hakuna mbingu kwa wasiosamehe. Mtaanza tena maisha na Mungu naye atawabariki sana.
 
Mkuu mbona hata hiki chanzo cha gazeti zmsio cha kuaminika?
 
Mmmh! I don no anything about this ,let me pass! See youuu next ! Ya ngoswe ....!
 
Reactions: MC7
yaani hapo alipotaka kukata rufaa ndio alionyesha ana dhamira ovu..Kwani mzee wa malemao papaa Gwajima nae kamtosa mazima?
 
Ushawishi wanao,watunge wimbo wa kutujengea imani tuamini ni shetani tu aliwapitia.
 
Anaweza kurudi sababu kdg kama mtoto wa mama yule jamaa.
Na wakristo wanasema hapana kuachana.
Ila sidhani kama atakuwa kama zamani!
Doa kubwa sana mpaka kutaka kufungana?
Nikiangalia walivyokuwa na manjonjo wenyewe...
aagh.. shetani kweli mbaya... tena kaanzia kwa mchungaji...... katambaa mpaka kwa mamaa na mwisho kaua kabisa ndoa!
Mbasha alikuwa hoi.... arudi kwa machale sana!
Kuifufua imani iliyokufa ni kazi!
 
Huyo mume nani ??
 
Huyo mume nani ??


Mume we floraa ni mbashaa...
au labda sijakufahamu mkuu ulichouliza...
kuwa ni uhuni aliyeshikia bango ndo kapindukia
na kama ni shetani kamshawishi basi huyo ni shetani... gwa....
ujuwe wana majina nao hao mashetani!
 
Lucifer the light-bearer kwa nini tunampa sifa mbaya huyu Lucifer au Venus au The Morning star. ana uhusiano gani na mambo yetu mabaya.
 
Nashangaa sn kuona mke anamsaliti mume , au kisa pesa , na ss wanaume tupunguze kitonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…