Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
Lets wait and see
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Tusamehe makosa yetu kama sisi nasi tunavyowasemehe wanaotukosea". Mtu anikosee mara ngapi nimsamhe? Hata saba mara sabini. Mbasha, msamehe mkeo kama unataka kuiona mbingu. Hapa duniani hatuna mji udumuo. Hujui unaondoka lini. Kumbuka kifo hakina kanuni. Ebu jihoji, Je, hujawahi kumkosea mkeo? Basi msamehe. Hakuna mbingu kwa wasiosamehe. Mtaanza tena maisha na Mungu naye atawabariki sana.
Mleta mada unauhakika alizaa nje ya ndoa?
Nawashauri warudiane " Alichounganisha Mungu hakuna wa ku kitenga"
Ndio mjifunZeNakumbuka tulikuwa jangwani kwny mikutano ya mwal. Christopher Mwakasege#akasema roho mtakatifu ananiambia kuna watu wana kesi za kusingiziwa mahakamani ,wasimame Mungu amesikia kilio chao anataka kuingilia kati!#
Kati ya wengi waliosimama siku ile pia nilimuona E.mbasha,nae kasimama! Mwakasege aliomba sn!
Nikashangaa haikupita wiki mbili mbasha akashinda ile kesi! Nilibaki na maswali mengi,lkn mwisho nikajisemea Mungu ndo anajua,manaake nikikumbuka tulivyokuwa tunashadadia huku nyuma dah!!!
#nilijifunza kitu kikubwa#
Umenikumbusha mbali sana. Mimi ni mmoja kati wa wanaume wanaomchukia huyu dada kwa maisha yangu yote.View attachment 373932 Watu wanaoona mbali walijua tu kuwa mbio zako ni za sakafuni.
Ulimtenda mumeo na ukataka afungwe, na hata aliposhinda kesi hukuridhika ukaamua kukata rufaa.
Bahati nzuri ulichelewesha ndo ikawa pona pona ya Mbasha lakini lengo lako lilikuwa ni kuhakikisha kuwa mumeo asiye na hatia anafia jela, nakumbuka vyema, ulivyo kuwa umepania Kwa kweli Mbasha alinitia huruma Sana kipindi kile.
Ukamdhalilisha Sana hadi kufikia kuzaa nje ya ndoa yako.
Naam, ilikuwa ni kazi ya Lucifer, jamii nzima imeshakudharau Kwa matendo yako.
Biashara yako ya muziki wa injili haiwezi kuwa na soko tena maana jina lako ni baya Sana mitaani.
Baada ya kukutumia atakavyo Hatimae Lucifer amekubwaga, unakumbuka shuka pamekucha eti unataka kurudiana na mumeo, bahati nzuri naye kashtuka hakutaki kabisa maana hatosahu matendo yako, eti unawafuata wachungaji wakusaidie, Kwa lipi?
Pole Sana dada yangu huyo ndo Lucifer, amekulaghai na kukuacha njia panda.
Imeandikwa ktk maandiko matakatifu kuwa ugoni ni njia tosha ya kuvunja ndoa ya mkristo tena hakuna msamaha. Kitendo cha mwanamke huyu kuzaa nje ya ndoa ni zaidi ya ugoni."Tusamehe makosa yetu kama sisi nasi tunavyowasemehe wanaotukosea". Mtu anikosee mara ngapi nimsamhe? Hata saba mara sabini. Mbasha, msamehe mkeo kama unataka kuiona mbingu. Hapa duniani hatuna mji udumuo. Hujui unaondoka lini. Kumbuka kifo hakina kanuni. Ebu jihoji, Je, hujawahi kumkosea mkeo? Basi msamehe. Hakuna mbingu kwa wasiosamehe. Mtaanza tena maisha na Mungu naye atawabariki sana.
Lakini imeandikwa vilevile anayeacha mke asioe na aliyeachika asiolewe. Anayekwenda kinyume chake anahesabika kuwa mzinzi. Mbona huzungumzii kuhusu kusamehe ili nawe usamehe dhambi zako?Imeandikwa ktk maandiko matakatifu kuwa ugoni ni njia tosha ya kuvunja ndoa ya mkristo tena hakuna msamaha. Kitendo cha mwanamke huyu kuzaa nje ya ndoa ni zaidi ya ugoni.
Mimi namchukulia huyo dada kama gaidi wa ndoa na wakala wa shetaniLakini imeandikwa vilevile anayeacha mke asioe na aliyeachika asiolewe. Anayekwenda kinyume chake anahesabika kuwa mzinzi. Mbona huzungumzii kuhusu kusamehe ili nawe usamehe dhambi zako?
Umeona eeee?Nakumbuka tulikuwa jangwani kwny mikutano ya mwal. Christopher Mwakasege#akasema roho mtakatifu ananiambia kuna watu wana kesi za kusingiziwa mahakamani ,wasimame Mungu amesikia kilio chao anataka kuingilia kati!#
Kati ya wengi waliosimama siku ile pia nilimuona E.mbasha,nae kasimama! Mwakasege aliomba sn!
Nikashangaa haikupita wiki mbili mbasha akashinda ile kesi! Nilibaki na maswali mengi,lkn mwisho nikajisemea Mungu ndo anajua,manaake nikikumbuka tulivyokuwa tunashadadia huku nyuma dah!!!
#nilijifunza kitu kikubwa#
Atawakuta wamekumbatiana atashangaaa na roho yake....maisha ya watu waachie watu wenyewe mjomba!, ukifatilia ya watu,ya kwako atayafuatilia nani?!
Wakati fulani DPP/Jamhuri hukata rufaa kutokana na kelele za complainant, ujue hilo.Kwa hiyo Flora Mbasha kawa jamhuri anakata rufaa kwenye kesi za jinai siku hizi?