Pole sana Flora Mbasha, huyo ndo Lucifer

Tena unaimba nyimbo za dini , unajifanya yesu amekushukia , angalia videos alizoimba na mbasha , zenye true love , good look , duh naishiwa hamu kbs , hawa wanawake mmmmmhhh !
 
Reactions: MC7
m
maneno kuntu.... napita hivii
 
 
Ndoa ni changamoto sana na ni Mungu tu wa kututenga na shetani
 
Eti sio wa kudumu?! Kwendraaaaaaaa
Kama hutaki andamana"!
Ni rahisi Babu kumuoa mjukuu na wakazaa watoto,na bado babu akawa na heshima ileile kwa jamii. Vip bibi anaweza olewa na mjukuu wake na wakazaa watoto? Na hata wakifanikiwa je heshima yake kwa jamii itabaki kuwa ilivyo?
 
Reactions: MC7
binadamu ni watu wabaya sana mkiwa na ndoa ya furaha huwachekea unafiki kumbe wivu wa kishetani umewajaaaaa! utashangaa tu wanavyosherehekea watu kuachana nakutia mijineno ili wasirudiane wawe kama wao na mahusiano yao yasiyo na furaha
 
Masikini Mbasha! Lkn wasameheane tu ni mapito!

Mleta mada unauhakika alizaa nje ya ndoa?
 
Nakumbuka tulikuwa jangwani kwny mikutano ya mwal. Christopher Mwakasege#akasema roho mtakatifu ananiambia kuna watu wana kesi za kusingiziwa mahakamani ,wasimame Mungu amesikia kilio chao anataka kuingilia kati!#
Kati ya wengi waliosimama siku ile pia nilimuona E.mbasha,nae kasimama! Mwakasege aliomba sn!

Nikashangaa haikupita wiki mbili mbasha akashinda ile kesi! Nilibaki na maswali mengi,lkn mwisho nikajisemea Mungu ndo anajua,manaake nikikumbuka tulivyokuwa tunashadadia huku nyuma dah!!!

#nilijifunza kitu kikubwa#
 
Yesu alisema "tusihukumu kwa kusikia,kuona bali kwa Haki"

Hii ni kwa wote wanao conclude habari za kusikia!
Tuache kunyooshea watu vidole!
 
Si bure, haya maneno yatakuwa yametolewa na mpenzi mpya wa Mbasha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…