Pole sana Flora Mbasha, huyo ndo Lucifer

Pole sana Flora Mbasha, huyo ndo Lucifer

Gazeti gani hilo? japo majuto uwa ni mjukuu
 
Huyu mtume na nabii aliyekuwa behind hizi mambo nae kala winger. Hakika huyu huyu ni nabiii wa uongo
 
View attachment 373932 Watu wanaoona mbali walijua tu kuwa mbio zako ni za sakafuni.

Ulimtenda mumeo na ukataka afungwe, na hata aliposhinda kesi hukuridhika ukaamua kukata rufaa.

Bahati nzuri ulichelewesha ndo ikawa pona pona ya Mbasha lakini lengo lako lilikuwa ni kuhakikisha kuwa mumeo asiye na hatia anafia jela, nakumbuka vyema, ulivyo kuwa umepania Kwa kweli Mbasha alinitia huruma Sana kipindi kile.

Ukamdhalilisha Sana hadi kufikia kuzaa nje ya ndoa yako.

Naam, ilikuwa ni kazi ya Lucifer, jamii nzima imeshakudharau Kwa matendo yako.

Biashara yako ya muziki wa injili haiwezi kuwa na soko tena maana jina lako ni baya Sana mitaani.

Baada ya kukutumia atakavyo Hatimae Lucifer amekubwaga, unakumbuka shuka pamekucha eti unataka kurudiana na mumeo, bahati nzuri naye kashtuka hakutaki kabisa maana hatosahu matendo yako, eti unawafuata wachungaji wakusaidie, Kwa lipi?

Pole Sana dada yangu huyo ndo Lucifer, amekulaghai na kukuacha njia panda.
Nadhani kuna la kujifunza hapa katika maisha ya wawili hawa. Kwanza kabisa hata mpendane vipi ndoa sio mtermko kama wengi wanavyodhani, kuna mikiki kama hii hutokea.

Lakini pili ni kutambua njia za shetani, na jinsi anavyoweza kupenyeza majeshi yake katikati ya wana wa Mungu pasipo kujua. Biblia inasema tazama utakuja wakati mwanamke ndio atakua mlinzi wa mwanaume (kiroho)...sasa unadhani mlinzi akikamatika itakuaje.....vilevile maandiko yanasema mwanamke anapaswa kumweshimu mwanaume na mwanaume kumpenda mwanamke. Hapo napo shetani akapakamata zaidi.

Swali je maandiko yanruhusu watu wawili kutengana baada ya ndoa.....sina jibu kamili lakini kuna lile andiko ya kuwa ikiwa mmoja wao atatoka nje ya ndoa yani kuzini basi ndoa inaweza kufutwa.

Kilichotokea kwa Flora na Mbasha kiwe fundisho kwetu wapendwa. Siwezi kataaa niliwapenda sana hawa wanandoa jinsi walivyoonyesha upendo wao. Ila pia iliniumiza sana kwa yale yaliyotokea. Nawaombea Mungu awape amani tu katika maisha yao.

Tujifunze kujishusha hata tukiwa level gain maana hatujui kesho yetu. Kusamehe pia ni muhimu.
 
Wakati fulani DPP/Jamhuri hukata rufaa kutokana na kelele za complainant, ujue hilo.
Umeshasema ni DPP anayekata rufaa, by the way Flora hakuwa complainant. Na kukata rufaa hatuangalii "kelele" kama ulivyofunzwa chuoni kwenu. Tunaangalia uwezekano kisheria wa rufaa hiyo kufanikiwa.
 
Umeshasema ni DPP anayekata rufaa, by the way Flora hakuwa complainant. Na kukata rufaa hatuangalii "kelele" kama ulivyofunzwa chuoni kwenu. Tunaangalia uwezekano kisheria wa rufaa hiyo kufanikiwa.
Ungejua na mimi ni mdau wa ofisi ya DPP ungenisalimia kwa adabu na sio kunijibu kijeuri hivyo. Kama na wewe ni mdau basi ni vijana wa juzi sio kama sisi ambao hivi karibuni tutakuwa pensionable.
 
Ungejua na mimi ni mdau wa ofisi ya DPP ungenisalimia kwa adabu na sio kunijibu kijeuri hivyo. Kama na wewe ni mdau basi ni vijana wa juzi sio kama sisi ambao hivi karibuni tutakuwa pensionable.
Kuwa senior si kigezo cha kupotosha umma. Rejea maadili ya taaluma na wajibu wa mwanasheria kwa umma.
 
Ainu niitoe wapi mimi Ciprofloxacin? mimi ni Dawa ninayetibu magonjwa yaliyoshindikana yasababishwao na Bacteria, mimi ni Dawa tu, aibu ataipata muhusika aliyekuwa akichapiwa.
Mkuu, umesahau kuna antimicrobial resistance, na Cipro haijalikwepa janga hilo.
 
View attachment 373932 Watu wanaoona mbali walijua tu kuwa mbio zako ni za sakafuni.

Ulimtenda mumeo na ukataka afungwe, na hata aliposhinda kesi hukuridhika ukaamua kukata rufaa.

Bahati nzuri ulichelewesha ndo ikawa pona pona ya Mbasha lakini lengo lako lilikuwa ni kuhakikisha kuwa mumeo asiye na hatia anafia jela, nakumbuka vyema, ulivyo kuwa umepania Kwa kweli Mbasha alinitia huruma Sana kipindi kile.

Ukamdhalilisha Sana hadi kufikia kuzaa nje ya ndoa yako.

Naam, ilikuwa ni kazi ya Lucifer, jamii nzima imeshakudharau Kwa matendo yako.

Biashara yako ya muziki wa injili haiwezi kuwa na soko tena maana jina lako ni baya Sana mitaani.

Baada ya kukutumia atakavyo Hatimae Lucifer amekubwaga, unakumbuka shuka pamekucha eti unataka kurudiana na mumeo, bahati nzuri naye kashtuka hakutaki kabisa maana hatosahu matendo yako, eti unawafuata wachungaji wakusaidie, Kwa lipi?

Pole Sana dada yangu huyo ndo Lucifer, amekulaghai na kukuacha njia panda.
Wanaume wengine walivyo wa ajabu...usishangae ukisikia wamesuruhisha na wamerudia kwenye mapenzi moto moto..[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mbasha akimrudia Flora atajiaibisha sana

Flora Mbasha ana roho mbaya sana. Sio mfano wa kuigwa.
 
Back
Top Bottom