Pole sana Mwamposa baada ya kulikoroga Tanganyika packers na kukataliwa na Feza School ulipoambiwa uhamie jirani nao

Aseee
 
Ushauri.
Akaombe Lugalo pale, akaongee na kikosi kimoja wampe eneo.
 
Ada za wanafunzi wa Feza Girls Kawe ni sawa na robo tatu ya bajeti ya nchi?
Bajeti ya nchi unaijua mkuu au hujui unachokiandika?
 
Sikia nikuambie, Mwamposa hatajiriki kwa sadaka, kanisa ni bosheni tu la kusafisha fedha zake haramu.

Ni drug dealer na mbia mkubwa wa genge la human trafficking.

Ni devil worshipper mzuri anayetumia nguvu za giza kuwa na power na ushawishi
 
popoma hujambo?
 
Mleta mada ni mpumbavu sana,huna akili kabisa wewe,bad enough hujui lolote kuhusu Kazi ya MUNGU,umeandika upumbavu sana hapa, useless Topic kabisa,ahame kawe au asihame wewe unawashwa nini?
Wasiojitambua ni wakatoliki waliomkumbatia Papa anayependa ushoga ukiwemo na wewe.
Stupid Topic, anzisha na wewe kanisa ili utajirike, Kama unadhani utajiri unapatikana hovyo
 
MWAMPOSA NI MWANAUME PEKEE ANAYEWALAZA MACHO MKIJADIRI KILASIKU...
Uzuri hadi mama zenu wanakimbilia kwake sijui mna wivu atakuwa Baba yenu wa kambo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…