Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
binafsi sioni kama kuna chochote amepoteza hapo, ila nignesikia amefungwa gerezani kwa utapeli wake hapo ndio ningejua serikali ina meno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AseeeTulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza
Mwamposa najua unaficha sana hii taarifa ili isienee wala isijulikane ila bahati mbaya kwako na nzuri kwangu cognizant ni kwamba nina utajiri mkubwa wa kupata taarifa ngumu, za hatari na za ndani kabisa kama hii yako na najua utajiuliza mno kuwa nimeipata
Mwamposa kitendo chako cha kuwatukana matusi na kuwajibu jeuri wale askari na wajenzi wa nyumba za mradi wa rais Samia ( Samia housing scheme ) pale Tanganyika packers Kawe ambao walikuwa wametumwa kukupa maelekezo kutoka mamlaka za juu ndiyo kimekuponza
Mwamposa nina taarifa za uhakika kuwa umeshaamriwa na mamlaka ya huo uwanja wa tanganyika packers kawe kuhama haraka hapo lilipo kanisa lako na kuambiwa uhamie nyuma ya shule ya kitajiri / matajiri ya Feza
Na kuonyesha kuwa safari hii umeyakanyaga kweli kweli kiasi kwamba hata hao waandamizi wa serikali wanaokulinda nao wamekuchunia ni kwamba hata uongozi wa shule hiyo ya kitajiri / matajiri ya feza nao wamepinga wewe kujenga kanisa lako jirani na iliko shule yao hiyo kwa sababu ambayo hata mimi cognizant nimeona ina mashiko kuwa haiwezekani ukawa na kanisa lako lenye mikelele mingi na lisiloeleweka jirani na wanafunzi wa kishua / kitajiri ambao ada zao tu kwa mwaka ni sawa na robo tatu ya bajeti ya nchi au wizara
Mwamposa nimetaarifiwa kuwa kwa sasa ni kama vile umechanganyikiwa kwa kutokujua nini cha kufanya kwani umeshaambiwa uhame hapo ulipo sasa Tanganyika packers kawe na kule ambako umeelekezwa uhamie / uhamishe kanisa lako uwanja ulio jirani kabisa na shule ya kitajiri / matajiri ya feza na kwenyewe wamekukataa / imekataliwa
Unachonishangaza zaidi mwamposa ni kwamba unang'ang'ania kubakia hapo tanganyika packers kawe wakati ulishanunua viwanja vyako vikubwa viwili kimoja kikiwa maeneo ya tegeta na kingine kipo jirani tu hapo mbezi beach tangi bovu eneo maarufu la kona baa nyuma ya nyumba ya mbunge na ulikinunua kwa shilingi bilioni 2 na milioni 500 ila kote huko hutaki kuhamia na unataka tu kubanana hapo hapo tanganyika packers kawe unakotamani hata uuziwe moja kwa moja ili liwe lako na uweze kula pesa za wasiojitambua kiimani
Haya anza kujiandaa uondoke!!!
Ushauri.Tulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza
Mwamposa najua unaficha sana hii taarifa ili isienee wala isijulikane ila bahati mbaya kwako na nzuri kwangu cognizant ni kwamba nina utajiri mkubwa wa kupata taarifa ngumu, za hatari na za ndani kabisa kama hii yako na najua utajiuliza mno kuwa nimeipata
Mwamposa kitendo chako cha kuwatukana matusi na kuwajibu jeuri wale askari na wajenzi wa nyumba za mradi wa rais Samia ( Samia housing scheme ) pale Tanganyika packers Kawe ambao walikuwa wametumwa kukupa maelekezo kutoka mamlaka za juu ndiyo kimekuponza
Mwamposa nina taarifa za uhakika kuwa umeshaamriwa na mamlaka ya huo uwanja wa tanganyika packers kawe kuhama haraka hapo lilipo kanisa lako na kuambiwa uhamie nyuma ya shule ya kitajiri / matajiri ya Feza
Na kuonyesha kuwa safari hii umeyakanyaga kweli kweli kiasi kwamba hata hao waandamizi wa serikali wanaokulinda nao wamekuchunia ni kwamba hata uongozi wa shule hiyo ya kitajiri / matajiri ya feza nao wamepinga wewe kujenga kanisa lako jirani na iliko shule yao hiyo kwa sababu ambayo hata mimi cognizant nimeona ina mashiko kuwa haiwezekani ukawa na kanisa lako lenye mikelele mingi na lisiloeleweka jirani na wanafunzi wa kishua / kitajiri ambao ada zao tu kwa mwaka ni sawa na robo tatu ya bajeti ya nchi au wizara
Mwamposa nimetaarifiwa kuwa kwa sasa ni kama vile umechanganyikiwa kwa kutokujua nini cha kufanya kwani umeshaambiwa uhame hapo ulipo sasa Tanganyika packers kawe na kule ambako umeelekezwa uhamie / uhamishe kanisa lako uwanja ulio jirani kabisa na shule ya kitajiri / matajiri ya feza na kwenyewe wamekukataa / imekataliwa
Unachonishangaza zaidi mwamposa ni kwamba unang'ang'ania kubakia hapo tanganyika packers kawe wakati ulishanunua viwanja vyako vikubwa viwili kimoja kikiwa maeneo ya tegeta na kingine kipo jirani tu hapo mbezi beach tangi bovu eneo maarufu la kona baa nyuma ya nyumba ya mbunge na ulikinunua kwa shilingi bilioni 2 na milioni 500 ila kote huko hutaki kuhamia na unataka tu kubanana hapo hapo tanganyika packers kawe unakotamani hata uuziwe moja kwa moja ili liwe lako na uweze kula pesa za wasiojitambua kiimani
Haya anza kujiandaa uondoke!!!
Ada za wanafunzi wa Feza Girls Kawe ni sawa na robo tatu ya bajeti ya nchi?Tulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza
Mwamposa najua unaficha sana hii taarifa ili isienee wala isijulikane ila bahati mbaya kwako na nzuri kwangu cognizant ni kwamba nina utajiri mkubwa wa kupata taarifa ngumu, za hatari na za ndani kabisa kama hii yako na najua utajiuliza mno kuwa nimeipata
Mwamposa kitendo chako cha kuwatukana matusi na kuwajibu jeuri wale askari na wajenzi wa nyumba za mradi wa rais Samia ( Samia housing scheme ) pale Tanganyika packers Kawe ambao walikuwa wametumwa kukupa maelekezo kutoka mamlaka za juu ndiyo kimekuponza
Mwamposa nina taarifa za uhakika kuwa umeshaamriwa na mamlaka ya huo uwanja wa tanganyika packers kawe kuhama haraka hapo lilipo kanisa lako na kuambiwa uhamie nyuma ya shule ya kitajiri / matajiri ya Feza
Na kuonyesha kuwa safari hii umeyakanyaga kweli kweli kiasi kwamba hata hao waandamizi wa serikali wanaokulinda nao wamekuchunia ni kwamba hata uongozi wa shule hiyo ya kitajiri / matajiri ya feza nao wamepinga wewe kujenga kanisa lako jirani na iliko shule yao hiyo kwa sababu ambayo hata mimi cognizant nimeona ina mashiko kuwa haiwezekani ukawa na kanisa lako lenye mikelele mingi na lisiloeleweka jirani na wanafunzi wa kishua / kitajiri ambao ada zao tu kwa mwaka ni sawa na robo tatu ya bajeti ya nchi au wizara
Mwamposa nimetaarifiwa kuwa kwa sasa ni kama vile umechanganyikiwa kwa kutokujua nini cha kufanya kwani umeshaambiwa uhame hapo ulipo sasa Tanganyika packers kawe na kule ambako umeelekezwa uhamie / uhamishe kanisa lako uwanja ulio jirani kabisa na shule ya kitajiri / matajiri ya feza na kwenyewe wamekukataa / imekataliwa
Unachonishangaza zaidi mwamposa ni kwamba unang'ang'ania kubakia hapo tanganyika packers kawe wakati ulishanunua viwanja vyako vikubwa viwili kimoja kikiwa maeneo ya tegeta na kingine kipo jirani tu hapo mbezi beach tangi bovu eneo maarufu la kona baa nyuma ya nyumba ya mbunge na ulikinunua kwa shilingi bilioni 2 na milioni 500 ila kote huko hutaki kuhamia na unataka tu kubanana hapo hapo tanganyika packers kawe unakotamani hata uuziwe moja kwa moja ili liwe lako na uweze kula pesa za wasiojitambua kiimani
Haya anza kujiandaa uondoke!!!
Ndioo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aposto Kuna Miujiza huku
Mchokozeni kilakitu kizuri kikiletwa hapa hata kama sio gentamicine mnamsema ilimradiTaarifa imepokelewa. CC Mwanachama kutoka Kawe ukwamani
Muumini nipo hapa na nipo tayari kwa challengesijawahi kubahatika kukutana na hata tu mmoja wa waumini wake wenye akili timamu sijui mwenzangu / wenzangu
Bora ata umekuja mwamba,ambao ada zao tu kwa mwaka ni sawa na robo tatu ya bajeti ya nchi au wizara
Nimeishia hapo nakutukana nyokooo
Naunga mkono hojaJamaa una post zaidi ya 100 unamponda mwaposa... Vipi alikuvua ubingwa?
Huyu jamaa anamchafua apostle, hana lolote kama anayo nambake kwanini asimtumie ujumbe direct........inafikirisha ata hvoooWaumini tungepataje taarifa?
Sikia nikuambie, Mwamposa hatajiriki kwa sadaka, kanisa ni bosheni tu la kusafisha fedha zake haramu.Tulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza
Mwamposa najua unaficha sana hii taarifa ili isienee wala isijulikane ila bahati mbaya kwako na nzuri kwangu cognizant ni kwamba nina utajiri mkubwa wa kupata taarifa ngumu, za hatari na za ndani kabisa kama hii yako na najua utajiuliza mno kuwa nimeipata
Mwamposa kitendo chako cha kuwatukana matusi na kuwajibu jeuri wale askari na wajenzi wa nyumba za mradi wa rais Samia ( Samia housing scheme ) pale Tanganyika packers Kawe ambao walikuwa wametumwa kukupa maelekezo kutoka mamlaka za juu ndiyo kimekuponza
Mwamposa nina taarifa za uhakika kuwa umeshaamriwa na mamlaka ya huo uwanja wa tanganyika packers kawe kuhama haraka hapo lilipo kanisa lako na kuambiwa uhamie nyuma ya shule ya kitajiri / matajiri ya Feza
Na kuonyesha kuwa safari hii umeyakanyaga kweli kweli kiasi kwamba hata hao waandamizi wa serikali wanaokulinda nao wamekuchunia ni kwamba hata uongozi wa shule hiyo ya kitajiri / matajiri ya feza nao wamepinga wewe kujenga kanisa lako jirani na iliko shule yao hiyo kwa sababu ambayo hata mimi cognizant nimeona ina mashiko kuwa haiwezekani ukawa na kanisa lako lenye mikelele mingi na lisiloeleweka jirani na wanafunzi wa kishua / kitajiri ambao ada zao tu kwa mwaka ni sawa na robo tatu ya bajeti ya nchi au wizara
Mwamposa nimetaarifiwa kuwa kwa sasa ni kama vile umechanganyikiwa kwa kutokujua nini cha kufanya kwani umeshaambiwa uhame hapo ulipo sasa Tanganyika packers kawe na kule ambako umeelekezwa uhamie / uhamishe kanisa lako uwanja ulio jirani kabisa na shule ya kitajiri / matajiri ya feza na kwenyewe wamekukataa / imekataliwa
Unachonishangaza zaidi mwamposa ni kwamba unang'ang'ania kubakia hapo tanganyika packers kawe wakati ulishanunua viwanja vyako vikubwa viwili kimoja kikiwa maeneo ya tegeta na kingine kipo jirani tu hapo mbezi beach tangi bovu eneo maarufu la kona baa nyuma ya nyumba ya mbunge na ulikinunua kwa shilingi bilioni 2 na milioni 500 ila kote huko hutaki kuhamia na unataka tu kubanana hapo hapo tanganyika packers kawe unakotamani hata uuziwe moja kwa moja ili liwe lako na uweze kula pesa za wasiojitambua kiimani
Haya anza kujiandaa uondoke!!!
popoma hujambo?Tulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza
Mwamposa najua unaficha sana hii taarifa ili isienee wala isijulikane ila bahati mbaya kwako na nzuri kwangu cognizant ni kwamba nina utajiri mkubwa wa kupata taarifa ngumu, za hatari na za ndani kabisa kama hii yako na najua utajiuliza mno kuwa nimeipata
Mwamposa kitendo chako cha kuwatukana matusi na kuwajibu jeuri wale askari na wajenzi wa nyumba za mradi wa rais Samia ( Samia housing scheme ) pale Tanganyika packers Kawe ambao walikuwa wametumwa kukupa maelekezo kutoka mamlaka za juu ndiyo kimekuponza
Mwamposa nina taarifa za uhakika kuwa umeshaamriwa na mamlaka ya huo uwanja wa tanganyika packers kawe kuhama haraka hapo lilipo kanisa lako na kuambiwa uhamie nyuma ya shule ya kitajiri / matajiri ya Feza
Na kuonyesha kuwa safari hii umeyakanyaga kweli kweli kiasi kwamba hata hao waandamizi wa serikali wanaokulinda nao wamekuchunia ni kwamba hata uongozi wa shule hiyo ya kitajiri / matajiri ya feza nao wamepinga wewe kujenga kanisa lako jirani na iliko shule yao hiyo kwa sababu ambayo hata mimi cognizant nimeona ina mashiko kuwa haiwezekani ukawa na kanisa lako lenye mikelele mingi na lisiloeleweka jirani na wanafunzi wa kishua / kitajiri ambao ada zao tu kwa mwaka ni sawa na robo tatu ya bajeti ya nchi au wizara
Mwamposa nimetaarifiwa kuwa kwa sasa ni kama vile umechanganyikiwa kwa kutokujua nini cha kufanya kwani umeshaambiwa uhame hapo ulipo sasa Tanganyika packers kawe na kule ambako umeelekezwa uhamie / uhamishe kanisa lako uwanja ulio jirani kabisa na shule ya kitajiri / matajiri ya feza na kwenyewe wamekukataa / imekataliwa
Unachonishangaza zaidi mwamposa ni kwamba unang'ang'ania kubakia hapo tanganyika packers kawe wakati ulishanunua viwanja vyako vikubwa viwili kimoja kikiwa maeneo ya tegeta na kingine kipo jirani tu hapo mbezi beach tangi bovu eneo maarufu la kona baa nyuma ya nyumba ya mbunge na ulikinunua kwa shilingi bilioni 2 na milioni 500 ila kote huko hutaki kuhamia na unataka tu kubanana hapo hapo tanganyika packers kawe unakotamani hata uuziwe moja kwa moja ili liwe lako na uweze kula pesa za wasiojitambua kiimani
Haya anza kujiandaa uondoke!!!
Mleta mada ni mpumbavu sana,huna akili kabisa wewe,bad enough hujui lolote kuhusu Kazi ya MUNGU,umeandika upumbavu sana hapa, useless Topic kabisa,ahame kawe au asihame wewe unawashwa nini?Tulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza