Pole sana Mwamposa baada ya kulikoroga Tanganyika packers na kukataliwa na Feza School ulipoambiwa uhamie jirani nao

Ila nawewe ni mpumbavuuuuu,sasa wakatoliki hapo wameingiaje tena na ushoga.
 
Tuhuma nzito hizi hasa kwa mtumishi wa Mungu kama Mwamposa.

Unaweza kuweka ushahidi wa tuhuma hizi mkuu?
 
sijawahi kubahatika kukutana na hata tu mmoja wa waumini wake wenye akili timamu sijui mwenzangu / wenzangu
Ndo naelewa ulichokimaanisha
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja tuendelee kusubiri tuone utekelezaji...
 
Roho ya yule kahaba mkuu (yezebel) imewatawala watu wengi sana, na itawaangamiza watu wengi hakika. No wander watu wengi wanafurahi sana na kushangilia Mtumishi yoyote wa Mungu anapopatwa na changamoto.

"Watapigana nawe Lakini hawatashinda kwakuwa Niko pamoja nawe". YER 1:19
 
Tabia yako kufatilia maisha ya wanaume waachie akina dadaView attachment 2877066
 
Sifa kubwa ya masikini yeyote ni chuki tafuta Hela mkuu!
 
Sikia nikuambie, Mwamposa hatajiriki kwa sadaka, kanisa ni bosheni tu la kusafisha fedha zake haramu.

Ni drug dealer na mbia mkubwa wa genge la human trafficking.

Ni devil worshipper mzuri anayetumia nguvu za giza kuwa na power na ushawishi
Una uhakika na unachokiongea au unaandika kwa misisimko na hisia.Siku ya mwisho utatolea hesabu mbele za Mungu maneno yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…