Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ndio tumuone sasaAtafanya miujiza hiyo amri ya kumwondoa hapo itayeyuka🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tumuone sasaAtafanya miujiza hiyo amri ya kumwondoa hapo itayeyuka🤣🤣🤣
Ila nawewe ni mpumbavuuuuu,sasa wakatoliki hapo wameingiaje tena na ushoga.Mleta mada ni mpumbavu sana,huna akili kabisa wewe,bad enough hujui lolote kuhusu Kazi ya MUNGU,umeandika upumbavu sana hapa, useless Topic kabisa,ahame kawe au asihame wewe unawashwa nini?
Wasiojitambua ni wakatoliki waliomkumbatia Papa anayependa ushoga ukiwemo na wewe.
Stupid Topic, anzisha na wewe kanisa ili utajirike, Kama unadhani utajiri unapatikana hovyo
Washindani hawaJamaa una post zaidi ya 100 unamponda mwaposa... Vipi alikuvua ubingwa?
Wewe na yeye wote stupid, kwa mfano ujumbe wako usingefika bila kuwakashifu Wakatoliki?..... idiot grow up!!Wasiojitambua ni wakatoliki
Usikute jamaa ni nabii yule wa Kimara temboni....anyway tuachie hapa!Washindani hawa
Tuhuma nzito hizi hasa kwa mtumishi wa Mungu kama Mwamposa.Sikia Gentamycine nikuambie, Mwamposa hatajiriki kwa sadaka, kanisa ni bosheni tu la kusafisha fedha zake haramu.
Ni drug dealer na mbia mkubwa wa genge la human trafficking.
Ni devil worshipper mzuri anayetumia nguvu za giza kuwa na power na ushawishi
Ndo naelewa ulichokimaanishasijawahi kubahatika kukutana na hata tu mmoja wa waumini wake wenye akili timamu sijui mwenzangu / wenzangu
Hakuna mchawi wa kushindana na nguvu za MUNGU, kama shetani alipigwa na malaika wa Mungu mikaeli mpaka akaangukia duniani na huyo tuu ni malaika wa Mungu Bado kipigo Cha Mungu mwenyewe
kama baba yenu shetani alishindwa ninyi wachawi ni kina nani. Moto upo pale pale mtaendelea kula vipigo tuu haijalishi kuhama au kutokuham Tanganyika packers, mwendo ni ule ule
Mwamposa ni mtumishi wa Mungu?Tuhuma nzito hizi hasa kwa mtumishi wa Mungu kama Mwamposa.
Unaweza kuweka ushahidi wa tuhuma hizi mkuu?
Tabia yako kufatilia maisha ya wanaume waachie akina dadaView attachment 2877066Tulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza
Mwamposa najua unaficha sana hii taarifa ili isienee wala isijulikane ila bahati mbaya kwako na nzuri kwangu cognizant ni kwamba nina utajiri mkubwa wa kupata taarifa ngumu, za hatari na za ndani kabisa kama hii yako na najua utajiuliza mno kuwa nimeipata
Mwamposa kitendo chako cha kuwatukana matusi na kuwajibu jeuri wale askari na wajenzi wa nyumba za mradi wa rais Samia ( Samia housing scheme ) pale Tanganyika packers Kawe ambao walikuwa wametumwa kukupa maelekezo kutoka mamlaka za juu ndiyo kimekuponza
Mwamposa nina taarifa za uhakika kuwa umeshaamriwa na mamlaka ya huo uwanja wa tanganyika packers kawe kuhama haraka hapo lilipo kanisa lako na kuambiwa uhamie nyuma ya shule ya kitajiri / matajiri ya Feza
Na kuonyesha kuwa safari hii umeyakanyaga kweli kweli kiasi kwamba hata hao waandamizi wa serikali wanaokulinda nao wamekuchunia ni kwamba hata uongozi wa shule hiyo ya kitajiri / matajiri ya feza nao wamepinga wewe kujenga kanisa lako jirani na iliko shule yao hiyo kwa sababu ambayo hata mimi cognizant nimeona ina mashiko kuwa haiwezekani ukawa na kanisa lako lenye mikelele mingi na lisiloeleweka jirani na wanafunzi wa kishua / kitajiri ambao ada zao tu kwa mwaka ni sawa na robo tatu ya bajeti ya nchi au wizara
Mwamposa nimetaarifiwa kuwa kwa sasa ni kama vile umechanganyikiwa kwa kutokujua nini cha kufanya kwani umeshaambiwa uhame hapo ulipo sasa Tanganyika packers kawe na kule ambako umeelekezwa uhamie / uhamishe kanisa lako uwanja ulio jirani kabisa na shule ya kitajiri / matajiri ya feza na kwenyewe wamekukataa / imekataliwa
Unachonishangaza zaidi mwamposa ni kwamba unang'ang'ania kubakia hapo tanganyika packers kawe wakati ulishanunua viwanja vyako vikubwa viwili kimoja kikiwa maeneo ya tegeta na kingine kipo jirani tu hapo mbezi beach tangi bovu eneo maarufu la kona baa nyuma ya nyumba ya mbunge na ulikinunua kwa shilingi bilioni 2 na milioni 500 ila kote huko hutaki kuhamia na unataka tu kubanana hapo hapo tanganyika packers kawe unakotamani hata uuziwe moja kwa moja ili liwe lako na uweze kula pesa za wasiojitambua kiimani
Haya anza kujiandaa uondoke!!!
Kwan anatapeli?binafsi sioni kama kuna chochote amepoteza hapo, ila nignesikia amefungwa gerezani kwa utapeli wake hapo ndio ningejua serikali ina meno.
aliahindwaga kakobe...sembuse hutu tu dagaa🤣🤣🤣Atafanya miujiza hiyo amri ya kumwondoa hapo itayeyuka🤣🤣🤣
Sifa kubwa ya masikini yeyote ni chuki tafuta Hela mkuu!Tulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza
Mwamposa najua unaficha sana hii taarifa ili isienee wala isijulikane ila bahati mbaya kwako na nzuri kwangu cognizant ni kwamba nina utajiri mkubwa wa kupata taarifa ngumu, za hatari na za ndani kabisa kama hii yako na najua utajiuliza mno kuwa nimeipata
Mwamposa kitendo chako cha kuwatukana matusi na kuwajibu jeuri wale askari na wajenzi wa nyumba za mradi wa rais Samia ( Samia housing scheme ) pale Tanganyika packers Kawe ambao walikuwa wametumwa kukupa maelekezo kutoka mamlaka za juu ndiyo kimekuponza
Mwamposa nina taarifa za uhakika kuwa umeshaamriwa na mamlaka ya huo uwanja wa tanganyika packers kawe kuhama haraka hapo lilipo kanisa lako na kuambiwa uhamie nyuma ya shule ya kitajiri / matajiri ya Feza
Na kuonyesha kuwa safari hii umeyakanyaga kweli kweli kiasi kwamba hata hao waandamizi wa serikali wanaokulinda nao wamekuchunia ni kwamba hata uongozi wa shule hiyo ya kitajiri / matajiri ya feza nao wamepinga wewe kujenga kanisa lako jirani na iliko shule yao hiyo kwa sababu ambayo hata mimi cognizant nimeona ina mashiko kuwa haiwezekani ukawa na kanisa lako lenye mikelele mingi na lisiloeleweka jirani na wanafunzi wa kishua / kitajiri ambao ada zao tu kwa mwaka ni sawa na robo tatu ya bajeti ya nchi au wizara
Mwamposa nimetaarifiwa kuwa kwa sasa ni kama vile umechanganyikiwa kwa kutokujua nini cha kufanya kwani umeshaambiwa uhame hapo ulipo sasa Tanganyika packers kawe na kule ambako umeelekezwa uhamie / uhamishe kanisa lako uwanja ulio jirani kabisa na shule ya kitajiri / matajiri ya feza na kwenyewe wamekukataa / imekataliwa
Unachonishangaza zaidi mwamposa ni kwamba unang'ang'ania kubakia hapo tanganyika packers kawe wakati ulishanunua viwanja vyako vikubwa viwili kimoja kikiwa maeneo ya tegeta na kingine kipo jirani tu hapo mbezi beach tangi bovu eneo maarufu la kona baa nyuma ya nyumba ya mbunge na ulikinunua kwa shilingi bilioni 2 na milioni 500 ila kote huko hutaki kuhamia na unataka tu kubanana hapo hapo tanganyika packers kawe unakotamani hata uuziwe moja kwa moja ili liwe lako na uweze kula pesa za wasiojitambua kiimani
Haya anza kujiandaa uondoke!!!
Kwani hyo pesa inayotengenezwa na mzungu tena kwa masharti ukifa unaenda nayo?Sifa kubwa ya masikini yeyote ni chuki tafuta Hela mkuu!
Una uhakika na unachokiongea au unaandika kwa misisimko na hisia.Siku ya mwisho utatolea hesabu mbele za Mungu maneno yakoSikia nikuambie, Mwamposa hatajiriki kwa sadaka, kanisa ni bosheni tu la kusafisha fedha zake haramu.
Ni drug dealer na mbia mkubwa wa genge la human trafficking.
Ni devil worshipper mzuri anayetumia nguvu za giza kuwa na power na ushawishi