Pole sana Mwamposa baada ya kulikoroga Tanganyika packers na kukataliwa na Feza School ulipoambiwa uhamie jirani nao

Pole sana Mwamposa baada ya kulikoroga Tanganyika packers na kukataliwa na Feza School ulipoambiwa uhamie jirani nao

pale ndi mganga wake kamwambia apigie hela akihama tu maanina zake waumini wanashtuka hawauzii tena wese la alizeti, na mchezo unakua umeishia hapo wwenyewe wanasema hiyo imeenda.
 
Namshukuru Mungu kwa kunipa utambuzi huu "wanaojiita manabii wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri, ila waumini wana uwezo mdogo sana wa kufikiri". Utaambiwaje sali upate nyumba na unakubali kama zuzu? Hiyo nyumba ni nani kaisahau?? Manabii nawapongeza kwa maokoto yenu ya kijanja, ila ninawaomba muwashirikishe TRA ili nao wachukuwe chao.
 
Jirani na shule hapa hata ingkuwa ni ya kayumba wanafunzi wanahitaji utulivu hawataki maspeaker
 
Back
Top Bottom