Pole sana Mwigulu: Tunajua Kwamba unatetea ugali wako na watoto wako

Pole sana Mwigulu: Tunajua Kwamba unatetea ugali wako na watoto wako

D

DeletedMember281674

Guest
Hali ya utekaji nchini imekithiri na HUWEZI kufananisha utekaji Unaondelea na Yale yaliyo kuwepo Kibiti.

Itoshe kusema ya kwamba kama rasilimali za nchi zitaendelea kuwanufaisha wachache na kuwaacha wasiokuwa nacho wakibaki maskini Basi tambua hakuna Mwananchi atakayepokea hizo hela kutoka kwa hao watu uliowataja.

Hakikisheni Rasimali za Nchi zinasimamiwa vizuri siyo kupeana tu kama njugu mawe. Rasilimali za nchi ziwanufaishe wananchi na ziongeze fursa za Ajira nchini.

Sasa wewe hushituki kule Mara watu wameachiwa mashimo Makubwa ya dhahabu, na wao wakiwa hawana huduma Bora za kijamii kama vituo vya afya, Barabara, maji, n.k.

Watanzania wa Sasa siyo wajinga wanataka usimamizi Bora wa rasilimali zao.

Chao
 
Mtani nikajua ungeuliza swali ukakaa kimya na ulikuwepo kwenye press mkuu
 
Umeongea la maana sana
Lakini kama kiongozi wa kwanza aliachiwa hela nyingi vile akaamua kuwakomboa waafrika wengine badala ya kuendeleza nchi yetu
Haya ndio matokeo yake.
Ingawa yeye alikuwa na nia zake ila hawa wanajipa wao tu

Hizo rasilimali hata Waarabu wana mafuta tu lakini hawakuwa wajinga kwenye mikataba Bali ilikuwa ni win win situation
 

Yaani Mimi nashibdwa kuelewa kwa Nini wanajizima data, JPM alipozuia makinikia wananchi wanaotoka katika maeneo ambayo hayo makinikia walifurahi Sana wale wananchi wapo katika dimbwi kubwa la umasikini.

What we are getting is just a peanut of what we are receiving.
Ni ngumu sana kubadilka kwani mataifa makubwa macho yote yako Africa.
Wako radhi kufadhili Ugaidi ili wanufaike wao.

Rejea USA taarifa zao za kufadhili za hivi karibuni
 
Back
Top Bottom