D
Ni ngumu sana kubadilka kwani mataifa makubwa macho yote yako Africa.Yaani Mimi nashibdwa kuelewa kwa Nini wanajizima data, JPM alipozuia makinikia wananchi wanaotoka katika maeneo ambayo hayo makinikia walifurahi Sana wale wananchi wapo katika dimbwi kubwa la umasikini.
What we are getting is just a peanut of what we are receiving.