Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
nmeshaweka clipNini kilitokea
mpuuzi kiaje?Kimaro ni mpuuzi kama wapuuuzi wengine
imekueje wananzengo? hebu tujuzeni
nmeshaiweka clipWekeni basi tusikie na sisi
kwa hiyo ime eksipaya?Mbona ya muda sana hii.
angemjibu polite ingependeza sanaBora angesema wapunguziwe ushuru ...ila Magu amenichekesha sana maana nilikua na stress sana hapa...