Pole sana ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu ulilopewa na Rais

Pole sana ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu ulilopewa na Rais

Habari zenu wakulungwa wa JamiiForums

Nachukua nafasi hii kumpa pole Ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu alilopewa na rais wetu wa JMT pale Mbezi wilaya ya Ubungo.

Mimi Mangi niliyekulia Dar es Salaam bado nairudia rudia hii clip bila kujielewa!

Hakika mitano tena.

View attachment 1712597
naona hadi huyu mlizi hapa mbele big kacheka akazuga kwa kukuna pua
 
Magu tutamkumbuka.
Baki na mavi yako 🤣🤣🤣🤣.
Mbezi hoyeeee, Kimaro kaduwaa "watu hoyeee"
 
Back
Top Bottom